Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Naelezwa hivyo na mkuu Gily hivyo ni serious ndugu zanguni .

Ndugu Gily tafadhali kama hutojali njoo katika uzi huu uwaeleze wafuatiaji wake wengine maana hawakuipata taarifa kutokana na ule uzi mpya ulioweka asubuhi kufungwa
Ndio taarifa nilizonazo Rosemary kafariki. Mods waliona account yake iko active asubuhi kwa hiyo hizi taarifa wakawa na wasiwasi nazo. Ila nimewajulisha familia itself taarifa uongozi wa JF. Ila asubuh watoto walinitafuta niombe account zifungwe hata ram alinitafuta baada ya kuzungumza na mtoto wa marehemu basi akanipigia simu. Tuwe wavumilivu kidogo. Kila kitu nitaweka sawa msijali ndugu zangu. .
 
Asante ndugu , pole kwa magumu unayopitia maana nauona mtihani mkubwa hasa hapa jamvini ila jipe moyo , ni dunia tuliyokuwepo na ni kawaida kwenye jamii za kiafrica

Zaidi Mungu akuzidishie roho na moyo wa namna uliyonayo.
 
Ndio taarifa nilizonazo Rosemary kafariki. Mods waliona account yake iko active asubuhi kwa hiyo hizi taarifa wakawa na wasiwasi nazo. Ila nimewajulisha familia itself taarifa uongozi wa JF. Ila asubuh watoto walinitafuta niombe account zifungwe hata ram alinitafuta baada ya kuzungumza na mtoto wa marehemu basi akanipigia simu. Tuwe wavumilivu kidogo. Kila kitu nitaweka sawa msijali ndugu zangu. .

Ooh Aisee!! We plan but Almighty God decide.

Mipango ya M/mungu haina makosa.

Rest easy beautiful souls.
 
Baada ya msiba wa leadermoe kwa kweli nilimtazama mume wangu akiwa kalala nikawaza moyoni ipo siku anaweza nitangulia kuacha Ulimwengu huu au nikamtangulia mume ambae tumekuwa wote kwa miaka 11 nikaapa kuanzia Sasa nitazidisha upendo kwa mume wangu sitotaka hata mifarakano sababu sijui ni muda gani mauti yata tutenganisha maumivu ya kufiwa na mke au mume yanauma sana tuishi kwa wema mapenzi ihsani🙏
 
Ndio taarifa nilizonazo Rosemary kafariki. Mods waliona account yake iko active asubuhi kwa hiyo hizi taarifa wakawa na wasiwasi nazo. Ila nimewajulisha familia itself taarifa uongozi wa JF. Ila asubuh watoto walinitafuta niombe account zifungwe hata ram alinitafuta baada ya kuzungumza na mtoto wa marehemu basi akanipigia simu. Tuwe wavumilivu kidogo. Kila kitu nitaweka sawa msijali ndugu zangu. .
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] onhoo Lord hii Familia imepigwa vibaya jamani

Hapa sasa linakuja lile fumbo la kutenda wema
Familia nzima itakuwa chini ya Purple atatunza Familia kama nguzo
Imagine angemuacha kipindi kile [emoji24][emoji24]
 
Baada ya msiba wa leadermoe kwa kweli nilimtazama mume wangu akiwa kalala nikawaza moyoni ipo siku anaweza nitangulia kuacha Ulimwengu huu au nikamtangulia mume ambae tumekuwa wote kwa miaka 11 nikaapa kuanzia Sasa nitazidisha upendo kwa mume wangu sitotaka hata mifarakano sababu sijui ni muda gani mauti yata tutenganisha maumivu ya kufiwa na mke au mume yanauma sana tuishi kwa wema mapenzi ihsani[emoji120]
Ni kweli binti jiandae wakati unaofaa na usiofaa .
 
Ndio taarifa nilizonazo Rosemary kafariki. Mods waliona account yake iko active asubuhi kwa hiyo hizi taarifa wakawa na wasiwasi nazo. Ila nimewajulisha familia itself taarifa uongozi wa JF. Ila asubuh watoto walinitafuta niombe account zifungwe hata ram alinitafuta baada ya kuzungumza na mtoto wa marehemu basi akanipigia simu. Tuwe wavumilivu kidogo. Kila kitu nitaweka sawa msijali ndugu zangu. .
Kwa hiyo Gily, watoto wake walitumia account ya Rose kukujulisha?? Au hiyo account imekuwaje Active asubuhi??

Mbona kama kuna kitu sikielewi 🥺
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] onhoo Lord hii Familia imepigwa vibaya jamani

Hapa sasa linakuja lile fumbo la kutenda wema
Familia nzima itakuwa chini ya Purple atatunza Familia kama nguzo
Imagine angemuacha kipindi kile [emoji24][emoji24]
Ni msiba mzito sana, tuwaombee hao watoto wanapitia katika kipindi kigumu sana
 
Updates: Tarehe 03 May 2023
Mwili wa ndugu yetu leadermoe utaletwa Arusha baada ya siku 21. His children wanted him to be sent to his agrarian at Rovaniemi first, after he was idolized there, then he will be brought to Tanzania for burial.

Nimezungumza na mtoto wa marehemu. Kanieleza kuwa baba yao ingawa aliandika story yake na kuweka taarifa zake za faragha jamvini hii inaweza kuwaathiri wanafamilia. Hata hivyo leadermoe hakutaka kutoa taarifa za wanafamilia zaidi ya taarifa zake. Hivyo kulinda faragha za wanafamilia basi taarifa zinazowahusu wanafamilia hazitajadiliwa hapa JF (zaidi ya taarifa zake marehemu).

Kwa wale wachache watakaohitaji kuhudhuria msiba huu. Basi kutakuwa na taratibu za kuandikisha ambazo zitatolewa na familia. Ndugu zangu naomba tuwe watulivu na wavumilivu huu ni msiba wetu wote nitawajulisha zaidi kadri familia itakavyopanga.

Wenu, Gilbert. .
Pole sana mkuu@Gily , endelea kutupa updates za mssiba,pole kwa kuumizwa na huu msiba brother.maisha huumiza sana nyakati zingine.
 
Kwa hiyo Gily, watoto wake walitumia account ya Rose kukujulisha?? Au hiyo account imekuwaje Active asubuhi??

Mbona kama kuna kitu sikielewi 🥺
Simu ya mama yao wanayo. Huko hospital alikuw na wanae wawili. Mama yake alitoka kumpoteza mama yake mzazi kwa hiyo hakushauriwa kwenda.
Sasa watu wanatuma ujumbe kule wanapata notifications ndipo kwa account ya mama yao wakanijulisha kafariki. Watoto wanajua kuhusu mimi.

hakijaaribuka kitu, mimi ni msemaji tu hapa JF. Watoto nao wako uko nchi ya watu Turkey Sasa nimewaomba ndugu wawatafute JF uongozi wawajulishe kuweni na uvumilivu. .
 
Gily hongera sana kwakuwa jasiri na moyo waupendo
 
Kweli Nilikua Sijui hakiii ndio nimeupitia huo uzi hapo nimeona umefungwa!! Ni huzuni na majonzi yasiyo na mfano!!

Wapumzike kwa amani hakika walijua kupendana!
May their soul rest in Eternal peace!!

😭😭😭😭😭
Pole nyingi ziende kwa watoto na familia iliyobaki. Wanapitia wakati mgumu
 
Back
Top Bottom