Part Seven G: It's like sugar sometimes…
[emoji3064]It's very hard to say goodbye to someone close to you.
Baada ya kurudi chuo kumalizia mwaka wa tatu niliendelea na Rosemary wangu. Katika wasichana wote niliokuwa nao kipindi kile nilimpenda zaidi Rosemary, nae alikufa kabisa kwangu.
(hajui kutegea chumbani, sauti nyororo ya kuchombeza, mihemo yake kama anataka kukata roho, kila style nitakayo mkalisha anaijua zaidi)
**
Baada ya graduation nikiwa na 'Bachelor of Arts Economics and Statistics' , nili rudi Arusha kwa mama.
Wiki chache baade nikatumiwa mwaliko rasmi kwenda ufin. Mama hakuleta ngumu sana maana alishajua nimesha penda, nimekua, nahitaji kuamua mambo yangu mwenyewe. Nikaanza maandalizi ya safari.
Nilienda ofisini kwa baba pale TAZARA ili tukachukue hati ya kusafiria maana tulikuwa tumeshakamilisha mahitaji yote tukawa tunasubiri siku ya kurudi.
Tulienda uhamiaji tukakuta iko tayari, tukaichukua na kuondoka.
Mr. Collins aliniagiza nikaonane na Mathew ubalozini kwao, nilimpata na akanipa ushirikiano sana kwa kunielekeza nifanye nini ili nipewe viza.
Baada ya kukamilisha aliniambia atanitumia email kesho kutwa yake mchana.
***
Nilitumia muda huo kuwaaga ndugu na jamaa, nilianza na kaka Edwin, kisha mr. Anthony.
"Mzee alinishauri sana kuhusu ku focus na maisha. Niache mizaha na mapenzi ya bila malengo.
Baba hakuwa rafiki yangu kama mama, hakuwa ananipa ushauri mara kwa mara, ila siku akiamua kunipa darasa, nauona umuhimu wa ukimya wake.
He was a loving father. (RIP daddy, one day we will meet again.) "
Nilimwambia Rosemary naenda kusoma (sikumwambia kuhusu Violet ) nilimwachia Rosemary pale nilipokuwa naishia na vitu vyote, maana nilimpenda sana. Pia sikuona sababu ya kuvipeleka nyumbani wala kuviuza.
Baada ya kupata hati ya kusafiri nilimtafuta Mathew na kukamilisha documents zilizohitajika.
***
Baada ya kuaga ndugu akiwamo kakaa yangu kipenzi Edwin, nilienda Arusha kuongea na mama.
Antonnia: "Edson mwanangu siku zote usije kutoa nafasi kwa mapenzi yakuendeshe, siku ukiruhusu hiyo hali utapoteza malengo yako yote maishani.
Wanawake wazuri wanazaliwa kila leo, wengi watasema wanakupenda ila mwisho wa siku wanakuacha ukiwa na hali mbaya, Muombe Mungu na mimi nakuombea upate mwanamke aliekuandalia."
" nakutakia kila la heri baba, siku zote kumbuka kabla hujaanza jambo lolote mshirikishe Mungu kwanza, utafanikiwa maishani."
"unaenda nchi ya watu, baba usije kututia aibu huko, siku zote zingatia nilicho kufundisha na Mungu atakuongoza mwanangu. Usije nisahau kwa raha za ulaya, ni wewe rafiki yangu na mfariji wangu, usijenipa mawazo kwa kuwa mbali nami. Nakutakia kila la heri, na baraka ziwe juu yako kama umande katika nchi."
Mama alimaliza maongezi yale na akanitemea mate usoni na mikononi ishara ya umande katika nchi.
Edson: "Mama nashukuru kwa kuniruhusu, nakuahidi sitakwenda kinyume na ulichowekeza kwangu, sitakuaibisha nikiwa huko wala hapa. Nitarudi mapema maana nakupenda sana mama. "
**********
'She's a loving mother.'
Kesho yake nilienda internet cafe kuangalia email ya Mr. Matthew, ilikuwa ni baada ya siku 3 toka tuachane. Nilikuta ujumbe kuwa maombi ya viza yako tayari, na kiufupi nikaonane nae kwa ajili ya safari ndani ya siku 3 kwani tiketi iko tayari pia. Sikutumia pesa zangu,alitumiwa pesa zote na Mr. Collins.
Nilienda kutafuta zawadi kwa ajili ya wenyeji wangu. Nilinunua bracelets za shanga 12 zikiwa na bendela ya Taifa, mashuka ya kimasai 12, picha za michoro ya tinga tinga 12.
(sikuona zawadi ya kupeleka ulaya, ibidi ninunue vitu vya kitamaduni tu)
'Naanza vipi kumsahau 'mfin wangu' nilimchukulia cheni,earing, saa na bracelet zikiwa na nakshi za diamond'
'don' t be too cheap to your woman, sometimes you have to improve your standards.'
Baada ya kuhakikisha nimeridhika na zawadi nilizopata, nikanunua beg moja kubwa kiasi nikabebea zile zawadi…
………
Nilirudi Dar kwa ajili ya safari. Nilitumia usiku ule kumuaga Rosemary , nilimdanganya naenda kusoma 'masters' kisha nitarudi, nilimkabithi kile chumba na mali zote rasmi. Nakumbuka siku hiyo Rosemary alishindwa kula, alilia sana.
Edson: "Why are you weeping, beautiful?"
Rosemary : "You know I'm crazy about you, Edson, I can't lose you."
Edson: "Lose me? How?, Why?"
Rosemary: "You don't know how important you are to me, Edson, you mean everything to me."
Edson: "No baby, don't cry, I know all, I promise I'll come back for you soon." "Distance from us doesn't matter because you're still in my thoughts, baby I love you, and I mean every word I say, be strong my love."
…. alifuta machozi akasema…
Rosemary: "There is nobody else I would rather spend my life with than you Edson, It makes me sad to go to bed and wake up without you by my side."
'The lady scorched inside,'
Edson: "I'm lucky to have a girl who makes me feel beloved, your name is written in the deepest part of my heart like a tattoo."
Rosemary: "I'm sure I'll see you again, but this isn't good enough for me. I'm gonna miss you very much, my Edson
Edson: "I needed someone to understand my highs and lows, and here you are, with love and devotion, profoundly touching my emotions.
Rosemary : "Daddy usinipange , but Thank you ."
Edson: ha ha haaa, unavyo deka sasa, kama vile sio wewe ulikuwa unalia mda mfupi tu hapa. "
Tuliongea mengi siku hiyo, nikampa Rosemary pesa za kumsaidi kwa muda ambao sitakuwepo. Sikutaka abadilike kwa kukosa matunzo.
Nilishamzoesha shopping za nguo, handbags, shoes, cosmetics, salon nk kila wiki, sikutaka abadilike sana.
" Don't fight a woman, love her, if you love her, it's over, everything else is a story." [emoji4]
Usiku ule mpenzi wangu alijituma isivyo kawaida, nikama vile alikuwa anasema' take it all my love with you.' Akanimbiia kipande hiki cha wimbo.
How sweet it is (Loved by you) James Taylor (1975)
"I close my eyes at night
Wondering where would I be without you in my life
Everything I did was just a bore
Everywhere I went it seems I'd been there before
But you brighten up for me all of my days
With a love so sweet in so many ways
I wanna stop and thank you, baby
I just wanna stop and thank you baby, oh yes
How sweet it is to be loved by you
It's like sugar sometimes. "
Kesho yake nilienda kuchukua tiketi kwa Matthew kwa ajili ya safari. Ilikuwa tiketi ya 'Turkish Airlines' kwa ajili ya kesho yake.
**********
Next
Part Seven H: I have to go away.
Nov, 1998
[emoji848] I'm in Africa, my mind is in Europe.