Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fupi sana. Asante sana,Part Seven F: It's like sugar sometimes…
[emoji182] Bon voyage, my love.
Baada ya siku tatu tukarudi home nako mapenzi yetu yalizidi kushamili. Mama alijua toka siku ya kwanza pale nyumbani, maana alimuona binti amezidisha caring hakuwa na noma, alishajua mwanae nimekua. Maana hata angekuwa na noma bado alikuwa ni wa kutoka asubuhi na kurudi jiono hivyo hajui hapa kati kinatokea nini.
Ila kwa kumheshimu mama hatukufanya chochote usiku, Violet alilala chumba cha wageni na mimi kwangu.
Kulikuwa na uwezekano wa mimi kumfata chumbani kwake kwa siri ila haikufanyaka hivyo.
Likizo yote niko na Violet tu. Baada ya likizo Violet alirudi kwao na mimi nikaenda zangu chuo.
Siku naagana na Violet …..
Violet : "No one and nothing in the entire universe can make me half as happy as you do."
alisema tukiwa airport kusubiri muda wa ndege yake.
Edson: "Real? Your voice sounds sweeter than an angel, and your smile looks prettier than a morning flower.
Violet : smiling" I can't wait to hug you day and night for the rest of my life."
Edson:"Distance will never be an issue for me. Distance means nothing when someone means so much" .
Violet : "Kiitos"
Edson: " Meaning?"
Violet : " Thank you"
Edson: "Karibu mama"
Violet : "What did you say?"
Edson: " You are welcome, mam"
Violet : "Kiitos"
Muda wa ku check in ulifika, nikamuaga mpenzi wangu , tabasamu likampotea usoni, chozi limkaponyoka jichoni…….
'Baby, listen to this song when you worry about me' niliongea nikimpa Cd ya Bobby McFerrin na kumwambia asikilize wimbo "
Song: Don't Worry Be Happy"
Artist: Bobby McFerrin
Released: 1988
Album: Simple Pleasures
Awards: Grammy Award for Song of the Year
Genres: Jazz, A cappella, Reggae
Nominations: Grammy Award for Song of the Year,
Kids' Choice Award for Favorite Song
Here's a little song I wrote
You might want to sing it note for note
Don't worry, be happy
In every life we have some trouble
But when you worry, you make it double
Don't worry, be happy
Don't worry, be happy now
Don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) Be happy
(Ooh-ooh-ooh) Don't worry, be happy
(Ooh, ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh) Don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) Be happy
(Ooh-ooh-ooh) Don't worry, be happy
Ain't got no place to lay your head
Somebody came and took your bed
Don't worry, be happy
The landlord say your rent is late
He may have to litigate
Don't worry, be happy (look at me, I'm happy)
Don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) Be happy
(Ooh-ooh-ooh)
Hey I give you my phone number
When you worry, call me, I make you happy
(Ooh, ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh) Don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) Be happy
(Ooh-ooh-ooh)
Ain't got no cash, ain't got no style
Ain't got no gal to make you smile
But don't worry, be happy
'Cause when you worry your face will frown
And that will bring everybody down
So don't worry, be happy
Don't worry, be happy now
Don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) Be happy
(Ooh-ooh-ooh) Don't worry, be happy
(Ooh, ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh) Don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) Be happy
(Ooh-ooh-ooh) Don't worry, be happy
Now there is this song I wrote
I hope you learned it note for note, like good little children
Don't worry, be happy
Now listen to what I said, in your life expect some trouble
But when you worry, you make it double
But don't worry, be happy, be happy now
Don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) Be happy
(Ooh-ooh-ooh) Don't worry, be happy
(Ooh, ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh) Don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) Be happy
(Ooh-ooh-ooh) Don't worry, be happy
(Ooh, ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh) don't worry, don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) Don't do it, be happy
(Ooh-ooh-ooh) Put a smile in your face, don't bring everybody down like this
(Ooh, ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh) Don't worry
(Ooh-ooh-ooh-ooh) It will soon pass, whatever it is
(Ooh-ooh-ooh) don't worry, be happy
(Ooh, ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh) I'm not worried
(Ooh-ooh-ooh-ooh) I'm happy
-ooh-ooh) Don't worry, be happy
(Ooh, ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh-ooh) Don't worry
Violet aliniganda sana hivyo nikamwahidi nikimaliza chuo nitaenda Finland.
"Tulen kaipaamaan sinua, kultaseni."
[emoji115]I'm gonna miss you, sweetheart.
Kiitos [emoji41]
*******'**
Next
Part Seven G: It's like sugar sometimes…
[emoji3064]It's very hard to say goodbye to someone close to you.
View attachment 2559546View attachment 2559555View attachment 2559557
Mkuu shusha ya kulalia basi.You 2 cousin. [emoji106]
I wasn't complaining mkuu. Nilikua nachangamsha tu kijiwe. Kuhusu smart devil, simfahamu na sina undugu na devils!Mkuu una undugu na Smart devil?
Mkuu nyimbo nyingi zilikuwa zinasikilizwa kipindi cha haya matukio. Ndio maana nasimulia feelings nilizokuwa nazo wakati huo. Kuna chache tu hazikuwepo kipimdi hicho, nimeona mashairi yake yanahusiana na matukio yangu, nikaziweka. utaona mabadiliko mbele[emoji120]
Hahaa.Part Seven E: It's like sugar sometimes.
[emoji182]A sweet Finn girl.
Violet alikuwa binti mrembo sana, ngozi nyororo, hakuwa mnene wala mwembamba. Kama alivyo 'Rihanna' Alikuwa amevaa suruali ya kitambaa raini rangi nyeusi, na Blauzi nyeupe na kikoti cha kaki. Alipendeza sana
Siku ile alilala hotelini sikumpeleka pale nyumbani.
(Isinge kuwa busara kulala na binti room moja na hamjazoeana. )
Rosemary nae alikwenda kwao Songea. Kesho yake tulianza safari ya kwenda Arusha. Maana tulishakubaliana nifanye booking ya kusafiri kesho yake, pia nilitumia nafasi hiyo kumtaarifu mama juu ya ugeni huo.
Ingawa baba na kaka walikuwa Dar lakini hawakujua mishe zangu ila mama pekee, mama alikuwa msiri wangu, Hawakujua kama nimepata mgeni.
'mtoto wa kiume na mama yake ni kama mkate na chai, vinajuana. Ni kama mtoto wa kike kwa baba' ila kama hiyo familia ina malezi mazuri'
Mama alimpokea vizuri sana. Tumekaa nyumbani siku 3, kisha tukafanya utaratibu wa kupata agent tukaenda ngoro ngoro.
Tukiwa ngorongoro niligundua Violet alikuwa na upeo mkubwa sana, alini surprise sana kwa story zake na jinsi ninavyokubalika kwao mpaka na ndugu zao waliosimuliwa tu kila mtu alitaka anione.
"I think she was winning me over. "
Nikaambiwa nikifika Finland maisha yangu yatabadilika sana. Alisema kuwa Mr. Collins alishanipa hisa kwenye kampuni yao, pia ameniandika kama mmoja wa watoto wake, maana hawakuwa na mtoto wa kiume.
Alinieleza kuwa hata pesa ninazotumiwa kila mwezi zinatoka kwenye share ya familia.
Kwa kweli nilipata msukumo sana wa kwenda ulaya. Kitu cha ajabu ni kwamba Violet alikuwa ana take good care of me kama vile ni wapenzi .
'Hapo ndio unajua hakuna urafiki kati ya simba na swala, it's matter of time'
Siku ya kwanza ngorongoro tulizuga kwa stori nyingi sana ingawaje tulikuwa chumba kimoja. Violet alipendekeza tuchukue chumba kimoja ili asiwe mpweke na tupate muda mzuri wa kuongea.
Asubuhi tukaamka tumechoka kwa kuchelewa kulala, kila mtu akajua tulinyanduana sana kumbe walaaaa.
Baada ya breakfast tukaenda porini na guider wetu, huyu jamaa alikuwa fisi sana, pamoja na mimi kuwepo pale ila alikuwa anampiga jicho chochezi Violet .
Uzuri nilimsoma toka day one,
Ikafika wakati ana respond kwa shida maswali yangu, ila ya binti anatoa mpaka maelezo ya ziada. (ni wivu tu, ni wivu tu)
Violet nae alimgundua, hakupenda ile tabia, ikabidi anig'ang'anie kila sekunde amenishika mkono na kumpotezea kiasi jamaa. Hata maswali tulipunguza, ikabidi awe anaeleza akijisikia.
(mwisho wa safari, alituomba radhi, nahisi alizani tutalalamika kwa wakubwa wake. Hatukuwa hata na hilo wazo.)
[emoji57]'utakula kwa macho tu' na hata ukinizidi ujanja ukaoga mjini huendi ng'o'.[emoji41]
****** * * * *
Mida ya jioni tukawa tumerudi hotelini, tukaoga na kupata chakula cha jioni kisha tukaingia chumbani kwetu.
Hatukuwa tukitumia kilevi ni vinyaji raini tu.Baada ya maongezi ya hapa na pale,Violet akaniangalia akaniambia
Violet " Thanks a lot, Mr Edson.Since then, when you helped us, I wanted to thank you. I wanted to thank you with a look in your eyes.I really appreciate your help.
Edson "It's nothing violent, As human beings, we are meant to help each other, that's what I did that day.I helped because I was capable of that."
Violet: "Not everybody can do this, you need a big heart to do something like this."
Edson': "Well, that may be true, but for me I have…"
Violet: "no Mr Edson sound real, very true, I sense it. '"
Edson 'Ok.Thanks Violet '
Violet: "Do you have a girlfriend, right?"
Edson: No. I don't
Baada ya kusikia jibu langu, alitulia kidogo kama vile anawaza kisha akasema
Violet: "real?
Edson 'sure'
Violet:" why"
Edson: "When the right time comes, I'll....... .
Violet : "Do you care about me.?" Alimikatisha kwa swali no
Edson:" Well, i……. "
Violet: *'sssshhhhhhhhh[emoji2958]'
Kabla sijamjibu swali lake aliniwekea kidole kwenye midomo yangu huku akinifanyia ssshhhhhh!, Akanisogelea na kuanza kunikisi mdomoni.
I was like "I'm not afraid to love, for the first time. I'm not afraid of love, this day seems made for you and me, and you showed me what life needs to be"
Nilitii amri yake ikabidi nimjibu kwa vitendo kwanza, nikampa ulimi akapokea bila kujiuliza. Baada ya muda mwingi wa kuchezeana, tulipiga mechi safi bila refa.
Violet akikuwa na unyakyusa mwingi sana mtu wangu[emoji180]. Ila hakumzidi Rosemary , kwa romance nilimnyoshea mikono. Jamani kuna wanawake ni watamu sana, she was hot [emoji91] . Ila nilikuta kuna mjanja kashapita sio sana.
Kifupi tulilala majogoo yalipowika . Saa 1 tukaamkaa na kuzindua tena kuondoa hangover, hiyo siku hatukwenda porini ilikuwa ni chakula na romance, story na sex tu.
''Kuna mwamba alisema pombe na nyama, utani na story play boy by Nikki mbishi'[emoji119] .
Penzi jipya na Violet lilianzia mbugani.
…………….
Part Seven F: It's like sugar sometimes…
[emoji182] Bon voyage, my love.
View attachment 2559465View attachment 2559471View attachment 2559489View attachment 2559490
Shukran sanaLeo niko siti ya mbele dirishani. Acha nikusaidie leo
Antonnia Bantu Lady Kalpana Gily kaburungu Kibunango Lastmost wao ni wao Mpetde Santos06 To yeye niachiemimi JBourne59 harakati za siri Aaliyyah Lovelovie Semere92 mludego Smart AJ Mwana mnyonge Mwanga Mkali sumbai Zeus1 barakalyimo Iceberg9 ERoni Dahan Mwananchi B Watu8 liwaya Ushimen madindigwa The email Gamaha IBRA wa PILI Kaka yake shetani
Koffi Annan macho_mdiliko fabinyo Jay -milions Mudimkushi ndukulusudicho Ms cee mtzmweusi
Njooni muone mtoto Rosemary kamtunuku mwamba tunda lake.
Hiki kipande ungemstua na mzabzabKaribu tuenjoy story ya mwamba mummy
Kipande kipiHiki kipande ungemstua na mzabzab
Viwili vya mwisho part 7E & F kuna mambo yako mkuuKipande kipi
Sikujua kama ndio mambo yake hayo. Ila kwa kuwa umemuita acha apite nayo mkuu.Viwili vya mwisho part 7E & F kuna mambo yako mkuu
Pamoja mkuu.Shukran sana
Asante mkuu, ngoja niandae mambo nipite nayo