Unafikiri mpaka wachaga wanafika mjini wanavuka mito mingapππππ€£ ukamkamate kirahisi. Analyse naye alikizwa na mchaga akalia kama mtoto mdogo na alichezea makofi hapo marangu mtoniπAcha uchokozi mkuu.
Antonnia ni mke wa mtu, ni shemeji yangu, usisumbue hisia zake tafadhari. π
Umeona umvae huyo? Yule ni wakishimundu kule hakuna maendeleo, tena ndugu yako Alfred alijiona mjanja akaenda kula chuma South.
Nina RB na chagga nature wote, nanza
na weweππππππ
Hapo ulipigwa laki tatu na napigia hesabu nauli ulitoa wewe. Haha ila wachaga wazuri sana hutojutia. .π€£π€£ Kuhonga tena.
Nilitoa msaada mtoto wa kishimundu aende kufanya interview akiwa ameshiba.
Ndivyo Nilivyo mkuu, pesa ni karatasi tu, utu kwanza.Hapo ulipigwa laki tatu na napigia hesabu nauli ulitoa wewe. Haha ila wachaga wazuri sana hutojutia. .
Kweli kabisa.Unafikiri mpaka wachaga wanafika mjini wanavuka mito mingapππππ€£ ukamkamate kirahisi. Analyse naye alikizwa na mchaga akalia kama mtoto mdogo na alichezea makofi hapo marangu mtoniπ
Ila siku hizi watu hawaaminiki kabisa ukitaka upoteze mda wako fanya kazi na watu wenye roho za kimasikini
Naunga mkono ma mguu kwenye kila shape hapo ππ€£π€£π€£Wanawake wa kichaga wana kila shape unazozitaka duniani ndio maana ukafa ukaoza kwa Antonnia π ukahonga na laki tatuπ
Kuku wameshapata na futari kabisa π naona waasubiri daku. .
Hivi kila ndoa nazoona kwenye TV asilimia kubwa kama dstv ni za wachaga. Nawaza jinsi mnavyotuponda ila mnatukubali sanaπNaunga mkono ma mguu kwenye kila shape hapo ππ€£π€£π€£
Ukiwa na roho ya kimasikini hata ukipewa billion moja huwezi kuwa Tajiri. Mwisho wa ubaya ni aibu, dah South hawana dogo wanaua tena kikatili. .Kweli kabisa.
Alfred alikuwa mjinga sana. Cha ajabu akaenda kujihusisha ma sembe South, jamaa wakam murder baada ya kuleta janja janja.
Ila nilichangia mwili wake kurudishwa hapa ili azikwe, mzee wake alikuwa mtu mwema sana.
Kuna mmoja nilikuw nae Rombo huko analiaa "mamaaaa" "shsshhhhh" "yeuwiiiiiii" kusema kweli nilisikia raha sanaπNdivyo Nilivyo mkuu, pesa ni karatasi tu, utu kwanza.
Sasa ulitaka nisimpe hata nauli? Tena alipata ya tax kutoka ubungo mpaka mtoni kijichi, sema kwa kuwa ni chagga nature, akaona apande daladala. Elewiiiiiii
Wambie wapunguze kuongea kichagga wakinogewa. π€£
Tunaoa tukiwa hatujui kama yaliyomo yamo, ndio maana zinavunjika haraka mkuu tukishajua. π€£π€£π€£Hivi kila ndoa nazoona kwenye TV asilimia kubwa kama dstv ni za wachaga. Nawaza jinsi mnavyotuponda ila mnatukubali sanaπ
Bora nione mchaga kuliko mngoni kwa kweli wangine siwawezi. .Tunaoa tukiwa hatujui kama yaliyomo yamo, ndio maana zinavunjika haraka mkuu tukishajua. π€£π€£π€£
Kuongeleshwa kichaga mtu anapokolea yataka moyo sana. ππ
Umeona ee, kumbe na wewe umekutana nae wa hivyo.Kuna mmoja nilikuw nae Rombo huko analiaa "mamaaaa" "shsshhhhh" "yeuwiiiiiii" kusema kweli nilisikia raha sanaπ
Yes. Kwanza hawataki mgeni aonekane ana pesa ndefu. Ndugu yako alikutana na police wazungu, akataka kujifanya mjanja na sembe analo, wakampa chuma.Ukiwa na roho ya kimasikini hata ukipewa billion moja huwezi kuwa Tajiri. Mwisho wa ubaya ni aibu, dah South hawana dogo wanaua tena kikatili. .
Santoo sana cousin Gily akili zake anazijua mwenyewe huyo umzoee tu sa utamtupa wapi ndio wakwenu hukoβΊοΈπ!!Acha uchokozi mkuu.
Antonnia ni mke wa mtu, ni shemeji yangu, usisumbue hisia zake tafadhari. π
Umeona umvae huyo? Yule ni wakishimundu kule hakuna maendeleo, tena ndugu yako Alfred alijiona mjanja akaenda kula chuma South.
Nina RB na chagga nature wote, nanza
na weweππππππ
Utani wa ngumi huu cousin kumbe nawe una fujooππππ!
Wajina kamwaga maji mengi eti wachaga wana maji?πWajina ameniangushaa analiwaje kirahisi hivo mtyuuu!!