Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Umesitisha au kumaliza kisa hiki cha maisha yako kwa huzuni sana mzee wetu,nimekua nikifatilia kimyakimya tokea mwanzo hadi sasa unahitimisha,nimiongoni wa tanzania wachache waliobarikiwa kula mema ya nchi nauzao wako...ktk hekaheka hizi za za uzeeni uendelee kuifuta njia imfaayo mtu kama ulivyo tuasa sisi hapakuu.
 
Asante sana Benbulugu
Nimefurahi kusikia umefatilia, natumai umepata la kijifunza.

Kwa upande wangu, niliona mwanga mpya maishani mwangu, naishi huo ujumbe niliowapa.
 
Duh mbona imekuwa ghafla sana...all in all thank you for sharing....all da best...till next time Mungu akitupa uzima
 
Jamani binamuu[emoji19][emoji19]
 
Nilikuwa na likizo ya mwezi mmoja, nikahisi nitaimaliza, ila mpaka leo niko asilimia 52. Hizi siku nne hazitoshi. Kuanzia tarehe 15 Sitakuwepo. Samahani sana ram
All the best binamu
Asante kwa kila sekunde uliyotumia kuandika humu..sio kazi rahisi ht kidogo
Nmejifunza mengi mno through your story
Naamini Kuna green pasture huko mbele

Binafsi nitakumis sana [emoji24]
 

Shukrani sanaa mkuu kwa muda na upendo wako kwetu👍 .. Hakika nimejifunza mengi na kufurahia vimbwenga tofaut katika story hii.. 😀Uzidi kubarikiwa.. 👏.
 
Mzee baba shukrani sana kwa mda wako ulio toa kwaajili yetu hatuwezi kukulipa chochote zaidi ya upendo na shukrani nyingi pia wasalimu wanao wote na familia tunatumai siku ukipata nafasi utatumalizia
Nikimaliza mizinguko ya kikazi nitakutafuta PM tunaoweza badilishana mawili matatu nakutakia Usiku mwema

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Duh! Ahsante sana Mkuu tumejifunza pia tumeburudika, ahsante sana kwa kujitoa kwako Mungu akusimamie na akupe maisha marefu Inshallah leadermoe
 
Kudos mkuu, asante kwa ushauri na entertainment umetupa though I wish ingekua ile JF ya enzi hizo ambayo watu waliweza kuficha ujinga wao but this one inabidi tu tuizoee[emoji1787].....again congrats for having a very marvelous life
 
Mmmh mbona nimekosa neno mie,ila shukran sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…