Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Si ndio vizurii jamani au😀😀😀😀😀. Na njia hii hapa leadermoe ametuletea.... Utake ninii tena😂e😂 achana na mambo ya rosecocoo😂😂😂
 
Si ndio vizurii jamani au😀😀😀😀😀. Na njia hii hapa leadermoe ametuletea.... Utake ninii tena😂e😂 achana na mambo ya rosecocoo😂😂😂
Ukikoseq ukanipa mbususu nafungua uzi JF jinsi ulivyopagawa na napeleka barua BBC world wasome jinsi nilivyongaika na mbususu nikakataa kuokoka😀😀😀
 
😂Asante kwa kufanya nicheke kwa nguvu you made my night 🤗
 
Nilisema mimi binamu kaokoka [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sema binamu una kitu....usipuuzwe utafika mbali
 
Sikio la kufa, pamoja na kupigwa risasi bado ulienda kuduu na Livia, umenishinda tabia[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nakazana ndugu yangu ,nimejigundua siwezi bila kwanza kuhama nilipo sasa ,kuna vitu vichache vya kuweka tu naamini ni vichache kwa Mungu hakuna jambo gumu
Accepting Jesus into your heart is simply accepting his way of living, loving, and leading our lives. When Jesus came to earth we believe that he was God in the flesh.
 
Hahahaha ila hujasema jimbo liko wazi au la?😀

Hahahaha ila hujasema jimbo liko wazi au la?😀
Biblia katika Wimbo Ulio Bora 3:5 inasema "Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, MSIYACHOCHEE MAPENZI, WALA KUYAAMSHA, Hata yatakapoona vema yenyewe."

Je nini maana kuyachoochea mapenzi? – Kuyachochea mapenzi ni kufanya kitendo au jambo lolote linalopelekea kuleta uhitaji au kuamsha shauku ya kufanya tendo la ngono kama Gily unavyofanya hapa. Lengo la vitendo vyako ni kuamsha shauku ya kufanya tendo la ngono na Dahan pia Nourhan. Nikukumbushe wewe katibu wa jumuia 😂, hii ina maana vitendo husika (foreplay) ni maalum kwa wanandoa tu na si vinginevyo.
 
Swali la msingi: Wangapi humu wako radhi kuokoka na kanisa lake leadermoe?
1. Gily
2. wao ni wao
3. Nima Imma
4. Dahan
5 Nourhan
6. moneytalk
Mimi hapa 😁
😂😂😂😂
 
Gily njoo usikie huku mistari ya Biblia mie sijui najua ya Quran tu 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…