Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

. Wabheja sana cousin!!
Tubasubiria mwendelezo

Bantu Lady Lovelovie Tayukwa Nakadori baby zu Kalpana mtzmweusi Lastmost mshaisoma hii??
 
"Know the difference between sleeping with someone and sleeping with someone your love"

Mwisho wa kunukuu!
Nataka nikupe neno kutoka kwenye Bible. .

Biblia imeandika Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu, Upendo hautakabali, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli, huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote (1 Wakorinto 13: 4-7). .
 

Santo sana mkuu hakika neno limenibariki na Siku yangu naimani itaisha vizuri kabisa kutokana nahuu mstari!!
Barikiwa sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…