Part Five B: In every life we have some trouble.
Mwanzo nikajua ni wenge tu ila nilipomwangalia kwa makini nikagundua kuna kitu anamanisha, nikachungulia tena nyuma ya gari, siti za kati hakukuwa na watu.
Nilipochungulia kwenye buti nikakuta viumbe wawili mwamefungwa kitaalam na wamekunjwa na kulala chini.
Hapo ikanibidi niwashtue jamaa flani walikuwa wanapita, wakaja ila wakaniambia dogo umeshanunua kesi, tena watu wenyewe wazungu.
Basi bahati nzuri kuna mzee mmoja alikuja, akashauri kwa kuwa wahusika wako hai, tuwasaidie tu hata wao wataeleza polisi kuwa tumewapa msaada tu.
Tukawafungua na kuwashusha . Alikuwa mama wa miaka kama 35 hivi na binti alikuwa na kati ya mika 16( kwa makisio yangu) . Ukafanyika utaratibu wa kumtafuta balozi, akaenda kutoa taarifa polisi ikaja difenda akawapeleka hospitali ya mount meru.
Kimbembe kikaja tulipotakiwa kwenda kutoa maelezo polisi, watu wote wakasema mimi ndie mtu wa kwanza kuwaona kwa hiyo naweza kutoa maelezo mazuri zaidi, ila yule mzee alietoa ushauri akajitolea kuungana na mimi tukapelekwa central pale.
Tumechukuliwa maelezo yetu pale, tukazuiliwa hakuna kutoka mpaka wale wagonjwa watoe maelezo yao. Tukawekwa chumba flani hapo na ulinzi ukawepo, chai na chakula mchana tuliletewa bila shida kabisa.
Tatizo tu hakuna uhuru wa kutoka hapo, baada ya kama dakika 20, yule mzee akaitwa nikabaki mwenyewe.
Alitumia kama nusu saa kule akarudishwa akiwa na mkuu wa kituo akawa amekaa pembeni yangu wakati mkuu wa kituo ananihoji.
Baada ya maswali mengi, nikaambiwa nisiwe na wasiwasi, wakishapata maelezo ya wale wageni watajua nini cha kufanya hivyo tuvute subira.
Kipindi hicho chote yule mzee hakuwa na hofu kabisa, alikuwa ananihoji vimaswali vya kunipima anacheka, nikajua tu ananitoa uoga ili nione ni jambo la kawaida.
Ilipofika saa 8 tukaitwa ofisi ya RPC, yule mzee akapewa kiti kwa heshima tu, akapewa pole na RPC mwenyewe.
(Nilikuja kufahamu kuwa yule mzee alikuwa ni Kanali wa JW alikuwa amestafu mwaka mmoja nyuma. Kumbe hata wakati ule ameitwa na mkuu wa kituo, alijitambulisha wakaridhia yeye aende ila nibaki mimi, mzee alikataa na kuwaambia akiniacha watanisumbua hivyo hata yeye atasubiri.)
Tukiwa tunaongea yule mzungu akaletwa na askari mle ofisini, tukawa watu watano. (RPC, Mzee Kanali, Edson , mzungu na mkuu wa upelelezi wa mkoa)
Yule mzungu alikuwa ametoa maelezo yake tayar, amewaeleza kuwa mimi ndie niliwasaidia, aliwaambia sihusika na tukio, wahusika akiwaona atawakumbuka.
Ripoti ya Dr. Ilisema wako salama, hakuna alieumia sana ila ni maumivu tu ya kamba na vibao walivyopigwa basi.
Simu ikapigwa makao makuu, wakaambiwa wawapeleke hotelini wakati wanafanya utaratibu wa kuwataarifu ubalozi husika. Ikabidi wapelekwe hotel ya mount meru kusubiri taratibu zingine.
Baada ya maongezi mengi tulirudishwa na difenda nikakabidhiwa kwa mama, nilikuta mama ametulia tu hana furaha kabisa, hofu imetanda moyoni.
Baada ya polisi kumweleza kilichotokea, wakaondoka kumpeleka Mzee kanali. Lengo la kunirudisha mpaka nyumbani, wapajue endapo kutakuwa na taarifa tofauti waweze kunipata kirahisi.
Ile gari iliyotumika kwenye tukio iliikodiwa na wale watalii toka Dar, walikuwa na safari ya kwenda serengeti.
Mwanaume alikuwa amekuja mara kadhaa Tanzania, hakuwa mgeni sana.
Kesho yake wale wazungu walipelekwa na polisi KiA, wakarudi Dar, Gari likapelekwa polisi kama kielelezo.
****
_We have a lesson here.[emoji116]
Artist: Tim McGraw
Album: Damn Country Music
Awards: Grammy Award for Best Country Song, American Music Award for Favorite Song Country.
Nominations: Grammy Award for Best Country Song, American Music Award for Favorite Song Country, more
Genre: Country
"Humble And Kind"
Tim McGraw Lyrics
Follow Tim McGraw
on Bandsintown
"Humble And Kind"
You know there's a light that glows by the front door
Don't forget the keys under the mat
When childhood stars shine
Always stay humble and kind
Go to church 'cause your mamma says to
Visit grandpa every chance that you can
It won't be wasted time
Always stay humble and kind
Hold the door, say "please", say "thank you"
Don't steal, don't cheat, and don't lie
I know you got mountains to climb
But always stay humble and kind
When the dreams you're dreamin' come to you
When the work you put in is realized
Let yourself feel the pride
But always stay humble and kind
Don't expect a free ride from no one
Don't hold a grudge or a chip and here's why
Bitterness keeps you from flyin'
Always stay humble and kind
Know the difference between sleeping with someone
And sleeping with someone you love
"I love you" ain't no pick-up line
So always stay humble and kind
Hold the door, say "please", say "thank you"
Don't steal, don't cheat, and don't lie
I know you got mountains to climb
But always stay humble and kind
When those dreams you're dreamin' come to you
When the work you put in is realized
Let yourself feel the pride
But always stay humble and kind
When it's hot, eat a root beer popsicle
Shut off the AC and roll the windows down
Let that summer sun shine
Always stay humble and kind
Don't take for granted the love this life gives you
When you get where you're going don't forget turn back around
And help the next one in line
Always stay humble and kind_
**********
Kiitos.
Next [emoji116]
Part Five C: In every life we have some trouble.
How this abduction happened.
View attachment 2555876View attachment 2555878View attachment 2555879View attachment 2555880