Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mwandishi ni muhindi kama akina Akshay Kumar?

Maana naona story kidogo, nyimbo nyingiiii.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mkuu una undugu na Smart devil?

Mkuu nyimbo nyingi zilikuwa zinasikilizwa kipindi cha haya matukio. Ndio maana nasimulia feelings nilizokuwa nazo wakati huo. Kuna chache tu hazikuwepo kipimdi hicho, nimeona mashairi yake yanahusiana na matukio yangu, nikaziweka. utaona mabadiliko mbele[emoji120]
 
Back
Top Bottom