leadermoe
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 1,392
- 4,588
- Thread starter
- #401
Part Seven C: All I think about is you.
#I got Rosemarymary's sweet fruit.#
Baada ya maongezi mengi, Rosemary alisema anajisikia usingizi anaomba alale kidogo, nilimpeleka chumbani nikampa taulo akaoge kuondoa joto la Dar kisha nikarudi sebuleni.
Sikuwa na haraka ya kumtongoza Rosemary maana nilishaona dalili zake kuwa ananipenda, nikasubiri akolee zaidi na lile tukio la msaada lipite, asije kudhani nimemsaidia ili nimtongoze .
(kwanza kitendo cha kuja kwangu akiwa peke yake, means alishafanya maamuzi ya kunitunuku tunda. )
'I hope you're old enough to understand, i don't have to fight to be a man'
'I chose to wait'
Rosemarymary alipomaliza kuoga aliniita ili nimpe lotion na t-shirts ya kuvaa, nilimkuta amefunga taulo huku sehemu kubwa ya mapaja iko nje, nilimpatia kisha nikataka nitoke ili kumpa nafasi avae.
Rosemary aliniwahi na kuniomba nisiondoke kuna jambo anataka kuniambia. Lengo lake lilikuwa aniamshe hisia wakati akivaa.
Nilikaa kitandani huku yeye anapaka mafuta kisha akavaa bukta na t shirt niliyompa ndio akatoa taulo. Alikuja kukaa pembeni yangu na kuniambia
Rosemary : " Edson nakupa ruhusa sema chochote utakacho kwangu nikiweza nikupe, I mean anything" (msichana akisha ona kuna future, hawezi kujizuia)
Edson: " Ha haa haaa kwa nini unasema hivyo Rosemarymary ?"
Rosemary: " Naamini kuna kitu naweza kukusaidia ili na mimi nipate amani kwa fadhili zako."
I was trying to stay out of trouble while I could, please don't think I'm weak, but this lady wants me to ask her anything.[emoji39]
**********
Edson: "Rosemarymary niamina, wewe ni rafiki yangu, sikukufadhili ili unilipe nilishakueliza hilo, siku nikiwa nahitaji msaada wewe utakuwa mtu wa kwanza kujua"
"tena sipendi kuuongelea huo msaada kila mara, ule haukuwa msaada kwa ajili yako ni kwa ajili ya mama"
Rosemary"i'm sorry Edson , ila moyo wangu unaniambia kuna jambo napaswa kufanya naomba usinikatalie."
[emoji85]'She was like, Would you lie down with me, put your head on my chest, and press your lips on my neck till we fall asleep?
Edson " kuwa na amani Rosemary , siwezi kukukatalia kama liko ndani ya uwezo wangu."
I was like, 'I got a lot of surprises for you, but I'm sure you'll like what belongs to your lips more than anything else. '
I played it like I didn't know.
usijaribu kumrushia jiwe kuku alie ndani ya banda, sikuwa na papara kwa Rosemarymary maana nilishajua hachomoki, nilitaka heshima tu. Sio ukiona paja network inahama (kidding) [emoji119] .'
(ukiweza kumfanya mwanamke ahisi anakuhitaji zaidi, kuliko wewe unanvyo mhitaji, 99% atakuheshimu sana.)
Baada ya jibu lile, Rosemary alinyamaza kimya kisha akajilaza juu ya kifua changu, maana nilikuwa nimejilaza miguu iko chini. Akaanza kunipapasa kifua, baada ya kuona simkatazi, aliingiza mkono ndani ya t shirt niliyovaa akaanza kucheza tumbo na kifua.
Niliamua kutoa ushirikiano baada ya kujua lengo lake, ingawaje nilijua toka aliponiita chumbani ila nilitaka ajihukimu mwenyewe ili asinione nina papara.
Kwa mara ya kwanza nilianza kunyonya ulimi wa Rosemary , alikuwa anatoa ushirikiano sana. Rosemary alikua amechezwa unyago kwa hiyo alikuwa anajua anayotakiwa kufanya ili nikolee. Baada ya purukushani za hapa na pale nilikula tunda lake.
Uzuri wa nje wa Rosemary, unazidiwa na uzuri na utamu wa ndani. Alikuwa amejitunza vizuri, msafi, mtundu chumbani. Alikuwa na joto kali kiasi kwamba usipotumia akili ya ziada, unafika Kilimanjaro baada ya dk1. Alikuwa tight sana pale kati, kiuno laini.
Rosemary sikumkuta na bikra, aliniambia hajawahi kufanya ilitoka akiendesha baiskeli, Ukweli anaujua yeye ila njia ilikuwa nyemba mba sana. Baada ya mizunguko mitatu tulipumzika maana kesho yake ilikuwa ni jumapili Rosemary angeondoka jioni.. wakati huo Don Williams anaunguruma..
Song: Listen to the Radio
Album: Listen to the Radio
Artist: Don Williams
Released: 1982
Genre: Country
I guess as a lover I have a ways to go
When someone wants you they should just say it's so
But you'll understand if you'll take my hand
And then we can dance real slow
To something on the radio
Listen to the radio
Oh, listen to the radio
Let's spend the night together
Baby don't go
They sing it on the radio
I try to find a way to explain to you
What's on my mind and not sound so plain to you
But you'll realize if you close your eyes
The feelings my words can't show
They're playin' on the radio
Listen to the radio
Oh, listen to the radio
Let's spend the night together
Baby don't go
They sing it on the radio
The words I'd say
Don't seem to sound as real
The songs they play
That's how I really feel
So, listen to the radio
Oh, listen to the radio
Let's spend the night together
Baby don't go
They sing it on the radio
Listen to the radio
Oh, listen to the radio
Let's spend the night together
Baby don't go
They sing it on the radio
Hivi ndivyo penzi langu na Rosemarymary lilianza.
**********
Tukaanza maisha mapya ya mapenzi, niliamua kumhudumia Rosemarymary ' kwa pesa zangu kuanzia nguo mpaka nywele na chakula.
(Nilimpenda sana Rosemary, nikaanza kumtengeneza na kumpendezesha ili awe mke wangu maishami. Alikuwa mrembo sana ila kwao hawakuwa na uwezo mkubwa, akawa kama dhahabu ndani ya tope. Juhudi kidogo tu za kuifuta woo! it's shunning like a star).
Na pia nilikuwa nampa hela awatumia wazazi wake bila sababu. Alinipenda na kuniahidi hatakuja mpa mwingine kamwe kwa maana upendo wangu kwake ni wa ajabu sana.
'alifanikiwa kuuteka moyo wangu'
Kipindi hicho niiliachana rasmi na Zuhura na Zaituni katika kichwa changu baada tu ya kulala na Rosemary , wao pia waliondoka kwenda Saudi Arabia kwa ndugu za baba yao, nikapata nafuu.
Nilikuwa nakopesha wanachuo wenzangu pale chuo ila boom likitoka, wasichana wanaona bora wanilipe tunda lao kuliko kunilipa pesa. Sikuwa mtu wa kupenda ngono hivyo niliwapotezea na pesa ikawa inaliwa kwa dizaini hiyo.
……….
Maisha ya chuo yalikuwa mazuri mno.nilikuwa na pesa, mpenzi mrembo sana, kitabu kinapanda..
Starehe yangu ikawa ni Rosemary , movies, music especially country music. Nilikuwa na collection za Don Williams: Time 1966, I can make it with you 1967, Harmony 1976, Country boy 1977,I believe in you 1980, Listen to the radio 1982, Lord i hope this day is good 1993 and so on
Kenny Rogers, Frank Sinatra, Dolly Parton, Jim Reeves nk…
No clubs, no cigarettes, no alcohol, only soft drinks and my baby.
Nikiwa mwaka wa mwisho pale chuo nikapokea email toka kwa Mr. Collins akinijulisha ujio wa yule binti yake. Alikuwa anakuja mapumziko nikaombwa kuwa mwenyeji wake.
Kifupi ni kwamba yule binti tulikuwa tunachati sana yahoo messenger kipindi hicho, hata wazazi wake Walikuwa wananitafuta mara kwa mara.
Hata zile pesa nilizokuwa natumiwa dola 500 kila mwezi,mtumaji alikuwa ni yeye kwa kupewa na familia yake.Tulipanga nikimaliza mitihani, ndio nimpokee.
Likizo ilipoanza nikampokea Dar tukaenda Arusha kesho yake
Next
Part Seven E: It's like sugar sometimes.
. Finnish beauty in the home.[emoji179]