Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Weka mbaree na wanawake wasiokojozwaaaa🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️😂😂🤭🤭!![emoji23][emoji23][emoji23]ni noma
Cuzooo hatare nanusuuuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka mbaree na wanawake wasiokojozwaaaa🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️😂😂🤭🤭!![emoji23][emoji23][emoji23]ni noma
Namie ndio nimerudi kusoma vizuri nikaona banaaaa🤣🤣🤣😂😂😂!!Ume comment bila kusoma 😂😂😂
Flee from sexual immorality. Every other sin a person commits is outside the body, but the sexually immoral person sins against his own body.Weka mbaree na wanawake wasiokojozwaaaa🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️😂😂🤭🤭!!
Cuzooo hatare nanusuuuu!!
Cousin Ana balaa sio la nchi hii 😂😊[emoji1787][emoji1787]kumbe nawe umeona kashindikana eeeh
Hio Ngeli sasa ndio kashesheeeee hapo umeniachaaah!! ☺️Flee from sexual immorality. Every other sin a person commits is outside the body, but the sexually immoral person sins against his own body.
And the body is the home of the Lord. The Lord does not dwell where there is sin and darkness. Our Lord is full of light and grace. .Flee from sexual immorality. Every other sin a person commits is outside the body, but the sexually immoral person sins against his own body.
Asante sana , tunashukuru pia kwa muda wako maana hakika tulipata funzo kupitia mapito yako .Bonus portion: Mpakani mwa ujana na uzee.
Education
Watoto wa Violet na wa Rosemary wote wamepata elinu yao nchini Finland.
{Elisa na Elise walichukuliwa wakiwa wadogo 2005, baadae mdogo wao Edson Jr2 aliungana nao}.
Violet alifanya mpanga wa kuwatafuta uraia ili wanufaike na elimu ya bure, na faida zingine.
Walipata uraia kabla ya kuanza shule {Miaka 6-7} .
*****
Edson JR1 Sept 28, 1999 (Mtoto wa Violet)
2006(7 yrs old)-2014(16 yrs old)
Comprehensive school education {Primary & Secondary} . {9 yrs}
2014 - 2017, 3 yrs,credit 180.
Bachelor degree in Electrical Engineering and Computer Science (EECS) ' LUT University.
2017-2019, 2 yrs, credit 120
Masters degree in Electrical Engineering and Computer Science (EECS) ' LUT University.
*****
Eila Edson. Sept 28, 1999 (Mtoto wa Violet)
2006(7yrs - 2014.
Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs)
2014-2017, 3 yrs,credit 180
Bachelor of Business Administration in International Business.
Lapland University of Applied Science.
2017-2019, 2 yrs, credit 120
Masters of Business Administration in International Business.
Lapland University of Applied Science
*****
Elisa Edson. Jan 2 2000 (Mtoto wa Rosemary )
2007 (7 yrs) - 2015.
Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs)
2015 - 2018, 3 yrs, credit 180. Bachelor Programme in Strategic Finance and Analytics.
LUT University.
2018-2020, 2 yrs, credit 120
Master's Programme in Strategic Finance and Analytics.
LUT University. ...
*****
Elise Edson. June 12, 2003 (Mtoto wa Rosemary )
2010 (7 yrs) - 2018.
Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs)
2018 - 2021, 3 yrs, credit 180. 'Bachelor of Culture and Arts in Smart and Sustainable Design.
Häme University of Applied Sciences
2021-2023, 2 yrs, credit 120
'Masters of Culture and Arts in Smart and Sustainable Design.
Häme University of Applied Sciences
*****
Edson Jr2 April 22 2005 (Mtoto wa Rosemary )
2012 (7 yrs) - 2020.
Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs)
2021 - on going
Bachelor in Finance.
University of Oulu
**********
Edson Jr3 August 8,2009 (Mtoto wa Isabella )
2016 (6 yrs) - 2023.
Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs) anamaliza secondary mwaka huu Munichen, Germany.
****
Electronics company
MD: Edson Jr1
Finance: Edson Jr2
Elise (huyu anataka kufanya mambo ya kijamii)
***
Beef company
MD : Elisa
Finance: Eila
**********
Wapendwa wasomaji wa mkasa huu.
Napenda kuwashukuru sana toka moyoni, kwa kuwa nami hapa kila siku. Nathamini uwepo wenu sana. [emoji120]
Niwaombe radhi, nalazimika kukatisha huu mkasa, kutokana na likizo yangu kubakiza siki 4 tu. Nilianza kusimulia march 15, nikadhani nitamaliza kabla ya April 15. Ila imeshindikana. Pamoja ma kuweka episodes ndefu, nimefikia 52% /100%. Nilitoa angalizo wakati naanza kuwa ni mkasa mrefu, ila nitajitahidi kumaliza kwa wakati, kwa kweli imekuwa vigumu kumaliza kwa wakati. [emoji120]
Tukitunukiwa uzima na muumba wetu, tunaweza kupata nafasi ya kuumalizia huu mkasa kwa hizi 48% zikizobaki. Hapa sitaki kuahidi maana siijui kesho yangu nisiwe muongo. [emoji120]
Nawashukuru sana memba wote mlio like na ku comment kwenye huu mkasa. Nathamini sana upendo na mchango wenu. [emoji120]
Nawashukuru sana memba wote mlio nifata PM kwa mambo mbali mbali, mazuri na mabaya, chanzo ni huu mkasa. Nathamini sana mawazo yenu. Tulichokubaliana nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kitimie, ila kisipotimia basi haikuwa bahati yetu. [emoji120]
Nawashukuru sana memba wote mlio nifata PM kwa shida mbali mbali baada ya kuusoma huu mkasa, mkaamini naweza kufanya jambo kwenu. Nathamini sana imani yenu kwangu, sikuweza kufanya kila mmoja alichotamani, ila hata mawazo niliyowapa ni msaada pia. [emoji120]
Wanashukuru sana memba wote mlioona fursa na kunifata PM kwa matumaini ya kuwa mtafanikiwa kutimiza matamanio yenu. Niwahakikishie kuwa nilichowajibu ndicho nilichomaanisha. Nathamini sana imani yenu kwangu ila sijakubaliana na mawazo yenu. [emoji35]
Ushauri wa bure kwa baadhi ya wanawake wa jamii forum, na wanaume wenye personality ya kike hapa jamii forum.
Andiko hili liwe hekima kwa wenye hekima, nuru kwa walio vipofu na liwe ukungu kwa wapumbavu, watu wasiojua umuhimu wao wenyewe.
"Usije ukampa Mtu tupu yako kwa tamaa ya moyo, usije jiongezea uchungu katika siku zako za mwisho.
Heri mtu yule aitunzaye nyeti yake isipulizwe na kila upepo wa nje, isipokuwa wa nyumbani kwake.
Basi nanipumzike kwa maana hainifai kuendelea ikiwa elimu ni nyingi duniani lakini watu wamechagua ujinga.
Muwe na wakati mwema. [emoji120]
#Mpakani mwa ujana na uzee
#Akili za kizee.
Mpendwa msomaji.
Kama ulisoma mkasa[emoji116]
(Nilivyo Okoa Maisha Ya Watalii toka Finland).
Huu ni mkasa kamili wa kisa kile. Nilielezea visa vichache kwa ufupi, lengo lilikuw kuonyesha msaada niliotoa kwa wafin.
Hapa utapata historia nzima ya maisha yangu na mwendelezo wa ule mkasa na wale watalii in details. Ni mkasa mrefu, ila nitajitahidi kumaliza kwa wakati.
Angalizo: Lengo ni kujifunza, kupitia mapito ya wenzetu, sina maana ya kutaka kuonyesha nilicho nacho, wala sina nia ya kujikweza. Imani yangu ni kupitia mkasa huu, kuna watu watapata jambo la kujifunza, kuna watakao burudika, nk.
******'
Tahadhari:
Picha zilizo tumika katika mkasa huu zimegawanyika katika makundi mawili:-
Kundi la 1:
Hazina uhusiano na mkasa huu, nimeziweka kama Mfano wa yale ninayoyaeleza yanavyofanana na picha husika.
(Mfano: Muonekano wa Rosemary , Zainabu na Zaituni n.k)
Kundi la 2:
Zina uhusiano na mkasa huu, ila sikuzipiga mimi, ziko mtandaoni. (Mfano: majina ya Airport, maduka, hotel n.k)
Majina yote ya watu yaliyotumika sio halisi, yamebuniwa kuleta radha, Wahusika wanayo majina yao halisi.
Maelezo mengine yote ni matukio na majina halisi ya maeneo husika.
Note 'disguised'
*********************
Utangulizi.
Katika maisha tunakutana na changamoto nyingi, mateso, kukatisha tamaa, umasikini, chuki, hasira, uongo, usariti, na mengine mengi.
Ndio maana kuna maandiko yanasema
"ulimwenguni kunayo dhiki nyingi"
Huu ni mkasa unaohusu familia moja ya mzee Anthony na mke wake Antonia. Baada ya changamoto, mateso na manyanyaso mengi, hatimae Anthony anafanikiwa kuandikishwa shule, jambo ambalo baba yake hakuwa ana litaka.
Anthony anapata msaada wa kulelewa na rafiki wa baba yake, malezi ambayo baba yake hakuona umuhimu wa kumpa.
Hatimae Anthony anafanikiwa kuanza maisha mapya, anapata watoto ambao anajitahita kuwapitisha njia salama na malezi bora.
Kijana mdogo anaonekana kipenzi cha wazazi, lakini anapata heka heka kipindi cha masomo yake, yaliyopelekea kuwa mbali na wazazi wake.
Mzee Anthony anawakabidhi vijana wake majukumu, je watayatimiza?
Mama anakataa kijana wake asiende kuishi ulaya, je atasikilizwa?
Fuatana nami katika mkasa huu kwani kuna mengi ya kujifunza, kuburusisha na kusikitisha.
Kiitos
***********
1939
Part One
Anthony
Anthony amezaliwa mwaka 1939 katika kijiji cha 'X', wilaya ya 'X' mkoa wa 'X'. Haiba yake ni mpole.
Ni mtoto yatima , mama yake alifariki Anthony akiwa na miaka mitatu tu. Aliugua malaria kutokana na umbali kutoka hapo kijijini ''X'' mpaka hospitali ya wilaya 'X', alipoteza maisha akiwa njiani.
Anthony amelelewa na baba yake kwa msaada wa bibi yake, bibi yake alifariki Anthony alipofikisha miaka 7. Akabaki na bana pekee.
Baba yake Anthony alioa mke mwingine, mke mdogo hakumpenda Anthony, alimtumikisha na kumtuhumu mambo ya uongo.
Siku moja mzee George alitembelewa na rafiki yake mzee John, mzee John alikuwa anaishi kijiji 'X' kiko jirani na kijiji 'X' anakoishi mzee George .
Mzee John alimkuta Anthony akifanya kazi ya kutwanga kisamvu, mama yake mdogo amekaa anakula karanga, Ilikuwa ni majira ya saa 10 jioni.
Kumbe toka asubuhi mtoto wa miaka 8 hakuwa amekula, mama yake wa kambo alipika chakula mchana akala peke yake kikaisha, mtoto aliporudi toka machungani ndio akapewa kazi ya kutwanga kisanvu, kisha kipikwe ndio ale.
Baba yake aliyajua yote hayo ila alipuuza kwa madai kuwa anamfundiasha maisha. Mzee George hakuwa amempeleka shule Anthony japo ana miaka 8.
Mzee John hakupendezwa na mazingira anayoishi Anthony, alijaribu kumshauri rafiki yake, lakini haikusaidia.
Mzee John hakupendezwa na majibu ya rafiki yake, akaomba apewe yule mtoto ili akamsomee kwake, mzee George kwa kuona anapunguziwa mzigo alikubari. Mzee John aliondoka na Anthony huku akiahidi kumpeleka shule.
***
Anthony akiwa kwa mzee John alikuwa mtoto mtiifu, mzee John na mke wake walimpenda sana. Walikuwa na watoto wawili, Paul na Antonia. Paul alikuwa darasa la 1 shule ya mission. Antonia alikuwa ni binti mdogo.
Anthony aliandikishwa shule ile ile ya mission aliyokuwa anasoma Paul, alikuwa mtiifu sana nyumbani na shuleni. Walimu wake walimpenda.
****
Akiwa darasa la 3, walipokea taarifa ya kifo cha baba yake, nyumba yao ilishika moto akiwa amelala ndani, kutokana na ulevi mzee George alishindwa kujiokoa , akachomwa na ule moto mpaka mauti.
Mke wake alifanikiwa kukimbia, ila hakurudi tena pale nyumbani. (kulikuwa na tetesi ndie aliwasha ule moto , sababu haikujulikana).
Anthony akawa amepoteza wazazi wote wawili, akabaki yatima. Mzee John aliendelea kumlea kama mwanae bila kumbagua, alipomaliza darasa la nne, mzee John alihamia mkoa wa Arusha na familia yote.
Waliishi kijiji cha ngurudoto wilaya Meru. Akiwa arusha aliendelea kuwa kijana mwema. Alipofikisha umri wa kuoa, alimshirikisha mzee John kama baba, mzee alimwambia anapenda amuozeshe binti yake maana iliona atamfaa zaidi. Hakupenda amruhusu kuoa kabila la wenyeji wao.
Kipindi hicho Antonia alikuwa na miaka 16, ilikuwa mwaka 1962, mzee John aliamua kumuozesha kijana wa rafiki yake ili amtunzie baba yake jina, alimpa binti yake Antonia awe mke wake.
Baada ya kuoa kimira , Anthony aliamua kuhama pale nyumbani, alihamia kijiji ''X'' mkoa ''X''. Maisha mapya ya ndoa yalianza rasmi.
**********
View attachment 2552603View attachment 2552605
Santoo sana kwa kunitafsiriaaa cousin mie English nilifeliiigii mwenzio 😂😂😂😁!!Ikimbieni zinaa. Kila dhambi nyingine anayofanya mtu ni nje ya mwili wake, lakini mwasherati hutenda dhambi dhidi ya mwili wake mwenyewe.
Asante sana kaka wao ni waoAsante sana , tunashukuru pia kwa muda wako maana hakika tulipata funzo kupitia mapito yako .
Uwe na wakti mzuri .
Umazingua chalii angu, ntakufanya kisusioSantoo sana kwa kunitafsiriaaa cousin mie English nilifeliiigii mwenzio 😂😂😂😁!!
Kisusio ndio nini trenaa mkuu ??? Na kiswahili pia nilifeliiigii ☺️☺️☺️☺️Umazingua chalii angu, ntakufanya kisusio
Shikamoo kwanza!umetuacha njiani wengine tulikuwa tunafwatilia kimya kimya.Mini tena mkuu
Marahaba mkuu wangu.Shikamoo kwanza!umetuacha njiani wengine tulikuwa tunafwatilia kimya kimya.