rosmariini
Senior Member
- May 6, 2017
- 158
- 318
🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏
Anafurahisha sanaMoja ya watu nao furahia uwepo wao, Gily anachekesha sana [emoji23]halafu nje ya JM unaweza kuta ni bwege flani hata kuongea haliwezi lina aibu lijanja kwenye simu tu.
Acha masikhara sikai tandale nakaa manzese🤣🤣 nakumbuka sana maisha ya kino kule kuna pisi za kwenda. Pisi za manzese zinakula miguu ya kuku. Hata Mabwana zao unakuta dume linavyonza miguu ya kuku. Hapana sifananii yani na hiki kitambi siwezi kula miguu ya kuku. Shukrani sana Mungu akubariki na wewe pia😊 matumaini yangu kwa doctor kila kitu kiko sawa. .Dah! Gily 😁Kino Clan na T/Uzuri imeshakuharibu nipo kwenye foleni kumuona Dr nimejikuta nacheka watu washangaa anacheka nini na simu, Mwenyeezi Mungu Akubariki akulinde na akuhifadhi ajalie maisha yako yawe na barka🙏
mshanifanya mimi katuni ngoja nisuse huu uzi wenu🤣🤣🤣 niko seriousAnafurahisha sana
Eeeh Mungu 😂🤣🙌nimecheka kwa nguvu mpaka mume wangu aniambia ona umeamsha mtoto simu itakutia wendawazimu.leadermoe huwa ananipiga majungu haya mnashirikiana
kuna siku nilipewa mzigo na demu Gily mzigo huu hapa wacha nitetemeke🤣🤣 ule mzigo ulikuwa kama ni ufalme wa dahari maana sio kwa mzigo ule. Kwanza lile paja mwili wangu wote😀 alinyoa yule kitumbua kilikuw kipara nikajiona jinsi nilivyotumbua macho, bado kidogo nikiamkie kitumbua shikamoo😊😊
alijuta kunipa maana nilimtoa maji mengi Nikapata mzuka nikampeleka moto akaomba maji nikamsogeza kwenye chupa ya maji huku nimemshikilia na moto unaendelea. Mind you hili sio tangazo. .View attachment 2604709
Sitaki dhambi za kuzini na kuzaa nje ya ndoa unataka nisiende Jannat Firdaus😂Acha masikhara sikai tandale nakaa manzese🤣🤣 nakumbuka sana maisha ya kino kule kuna pisi za kwenda. Pisi za manzese zinakula miguu ya kuku. Hata Mabwana zao unakuta dume linavyonza miguu ya kuku. Hapana sifananii yani na hiki kitambi siwezi kula miguu ya kuku. Shukrani sana Mungu akubariki na wewe pia😊 matumaini yangu kwa doctor kila kitu kiko sawa. .
ikipendeza siku moja unibariki mbususu nikuzalishe tupate kitoto cha kirababu😬😬😬🤣🤣🤣😊
Tunaendelea kumuombea apone haraka mkuu GilyHello
Wapendwa wafuatiliaji wa hii story ya maisha ya ndugu yetu leadermoe nina ujumbe wa kheri kwenu. Jana ndugu yetu alifanyiwa operation ya moyo huko nchini Uturuki. Operation imeenda vyema sasa yuko bedrest nadhani ataruhisiwa kutoka hospitali ndani ya siku hizi mbili. .
Nimewasiliana nae huko nikazungumza na daktari wake. The doctor has assured me that he is doing well, hatakiwi kutumia vifaa kama simu au computer for fews days. Nimepewa ujumbe wa shukrani nilete kwenu. Leadermoe anawashukuru wote kwa kumuombea na ameweza kushinda majaribu. .
Bwana Mungu wetu ni mwingi wa rehema. Basi yapasa kushukuru kila kukicha. Tuzidi kumuombea mpaka pale atakapoweza kuwa salama na kurudi katika hali yake ya kila siku. .
Best, Gily
Kwa wale nitakaosahau kuwatag mnisamehe. .
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Mo mp5
Aaliyyah
etc
Inaonekana hata shule ilikuwa mvivu wa kusoma 😁mbona kaelezea jamaniMkuu@leadermoe,,,hadi sasa sijajua unao wake wawili baada ya kuokoka au au umefanyaje fanyaje maana nnapasubiria hapa,nipate kujifunza mkuu.
hahah ukipigwa simo🤣🤣🤣Inaonekana hata shule ilikuwa mvivu wa kusoma 😁mbona kaelezea jamani
hakina nakueleza kati ya mbususu na ugali nyama choma ya mbuzi nitachagua ugali nyama choma mbuzi bila kinyongo kabisa😀 hivi uache kumezea mate ugali nyama choma mbuzi umezee mate mbusus😀Sitaki dhambi za kuzini na kuzaa nje ya ndoa unataka nisiende Jannat Firdaus😂
Una miaka 32 una kitambi my friend embu fanya mazoezi kutoka sweet corner mpaka darajani uwanja wa Tipi dakika 10 embu kafanye mazoezi acha mbege badili life style yako haswa ulaji detox na smooth kwa sana acha kula sana wanga mafuta sukari kula protein sana na mbogamboga matunda na maji bandar utashindwa kula mbususu 😂
Eeeh Mungu wangu mimba yangu 😭nimetamani napenda nyama ya mbuzi ya kuchoma na supu yake mpaka nimekatazwa nipunguze red meat nimepakumbuka Arusha Carnival na Mandela Squarehakina nakueleza kati ya mbususu na ugali nyama choma ya mbuzi nitachagua ugali nyama choma mbuzi bila kinyongo kabisa😀 hivi uache kumezea mate ugali nyama choma mbuzi umezee mate mbusus😀
View attachment 2605305View attachment 2605306
kitambi ni neema ambayo inawafikia wachache😀 acha kusimanga kitambi changu. Nikila sana kikitoa sauti ya mingurumo huwa kinanibembeleza nalala usingizi mzuri as you know I have insomnia 😀😀
Asante mkuu naomba connection yoyote popote kwa lolote kasoro upindeHello
Wapendwa wafuatiliaji wa hii story ya maisha ya ndugu yetu leadermoe nina ujumbe wa kheri kwenu. Jana ndugu yetu alifanyiwa operation ya moyo huko nchini Uturuki. Operation imeenda vyema sasa yuko bedrest nadhani ataruhisiwa kutoka hospitali ndani ya siku hizi mbili. .
Nimewasiliana nae huko nikazungumza na daktari wake. The doctor has assured me that he is doing well, hatakiwi kutumia vifaa kama simu au computer for fews days. Nimepewa ujumbe wa shukrani nilete kwenu. Leadermoe anawashukuru wote kwa kumuombea na ameweza kushinda majaribu. .
Bwana Mungu wetu ni mwingi wa rehema. Basi yapasa kushukuru kila kukicha. Tuzidi kumuombea mpaka pale atakapoweza kuwa salama na kurudi katika hali yake ya kila siku. .
Best, Gily
Kwa wale nitakaosahau kuwatag mnisamehe. .
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Mo mp5
Aaliyyah
etc
Bado nachagua mbuzi choma😀😀 mpaka umsumbue haji manara akakununulie nyama usiku huu😀😀Eeeh Mungu wangu mimba yangu 😭nimetamani napenda nyama ya mbuzi ya kuchoma na supu yake mpaka nimekatazwa nipunguze red meat nimepakumbuka Arusha Carnival na Mandela Square
Nani mkali kulingana ma matukio yake.
Rosemary
Isabella
Violet
Jamila Nugus
Antonia Lyimo
Zaituni
Zainabu
View attachment 2579791View attachment 2579792View attachment 2579793View attachment 2579794View attachment 2579795View attachment 2579796
Wewe kaka Ina dhambi Wallah 😭😭Bado nachagua mbuzi choma😀😀 mpaka umsumbue haji manara akakununulie nyama usiku huu😀😀 View attachment 2605410View attachment 2605411
Hatari sanahapo kweny vibibi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa hivi vibibi vinawez mzalia Gily mwana mfalme[emoji3][emoji3][emoji3] I don't think so
Dada yako wa kichaga katisha sana kiruuuu😂hili swal hata leadermoe alivyouliz niligoma kujib ni mtego sana😀😀
wanawake wa kichaga ni wazuri sana japo wanapondwa sana hapa jukwaani. Ila ukweli ni kweli siku zote😊Dada yako wa kichaga katisha sana kiruuuu😂