last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😭 😭 😭Karibuni wapendwa story.
Antonnia Bantu Lady Kalpana Gily kaburungu @ Kibunango Lastmost wao ni wao Mpetde Santos06 To yeye niachiemimi JBourne59 harakati za siri Aaliyyah Lovelovie Semere92 mludego Smart AJ Mwana mmnyonge Mwanga Mkali sumbai Zeus1@rashidi jololo barakalyimo Iceberg9 ERoni Dahan @hamachoachi Mwananchi B Watu8 liwaya Ushimen madindigwa The email Gamaha @premji canoon IBRA wa PILI Kaka yake shetani @la ceez Koffi Annan macho_mdiliko fabinyo Jay-milions Mudimkushi
Na wengine Karibuni.
Nakumbuka nilimpa pole ya kufiwa na mama mkwe wake tar 3 April.Pole sana na msiba mkuu.
Kat Kit inauma sana sana sanaInna lillah wainna illaih rajiun. Imeniuma sana wallah.
Mi naona hivi kwani huo uzi hauwezi kuondolewa hapa jf au kwa kuwa ushapelekwa huko netflix,make uko open sana I think wahusika hawa wanawake hawatojisikia vizuri especially maisha yao ya nyumaKat Kit inauma sana sana sana
Mwanzoni kabisa alisema majina yote ni kufikirika . Sasa nani atajiskia vibaya.Mi naona hivi kwani huo uzi hauwezi kuondolewa hapa jf au kwa kuwa ushapelekwa huko netflix,make uko open sana I think wahusika hawa wanawake hawatojisikia vizuri especially maisha yao ya nyuma
Though maudhui sio mabaya but I know kuna watu wanaumia kwa baadhi ya sehemu
Marehemu aliandika Uzi huu ili uishi ndo maana akaamua kutengeneza kitabu na movie ili watu wajifunze Kuna muda tunajifunza kupitia kwa watu wengine,sababu mwishoni alibadili mienendo yake akwa zaidi na Mungu istoshe wahusika hakuna majina ya kweli kwa wote alisema Kuna baadhi kweli Kuna baadhi disguise,na kama wanawake unaongelea mkewe na mzazi mwenzie mfin💜 wanajua haswa mkewe 🌹 Kuna siku nilimuuliza hili swala akanijibu mkewe ni kama rafiki yake na ndio mhariri wa hii simulizi haipostiwi hapa bila mkewe kuipitia ku edit kama Kuna kitu hajapenda hata akimsifia hakuwa anapenda ndo maana simulizi 💜kasifiwa sana kuliko🌹na mkewe alikuwa aki comments hapa kwenye huu uzi.Mi naona hivi kwani huo uzi hauwezi kuondolewa hapa jf au kwa kuwa ushapelekwa huko netflix,make uko open sana I think wahusika hawa wanawake hawatojisikia vizuri especially maisha yao ya nyuma
Though maudhui sio mabaya but I know kuna watu wanaumia kwa baadhi ya sehemu
Nitausubiri huo wakati nipo tayari .Updates: Tarehe 03 May 2023
Mwili wa ndugu yetu leadermoe utaletwa Arusha baada ya siku 21. His children wanted him to be sent to his agrarian at Rovaniemi first, after he was idolized there, then he will be brought to Tanzania for burial.
Nimezungumza na mtoto wa marehemu. Kanieleza kuwa baba yao ingawa aliandika story yake na kuweka taarifa zake za faragha jamvini hii inaweza kuwaathiri wanafamilia. Hata hivyo leadermoe hakutaka kutoa taarifa za wanafamilia zaidi ya taarifa zake. Hivyo kulinda faragha za wanafamilia basi taarifa zinazowahusu wanafamilia hazitajadiliwa hapa JF (zaidi ya taarifa zake marehemu).
Kwa wale wachache watakaohitaji kuhudhuria msiba huu. Basi kutakuwa na taratibu za kuandikisha ambazo zitatolewa na familia. Ndugu zangu naomba tuwe watulivu na wavumilivu huu ni msiba wetu wote nitawajulisha zaidi kadri familia itakavyopanga.
Wenu, Gilbert. .
Inshallah Baba tunaweza kuwa pamoja 🙏Nitausubiri huo wakati nipo tayari .
Itapendeza ila nitafurahi wakitupa location tu sio kujiandikisha ili basi kila awezaye afike yeye kama yeye.Inshallah Baba tunaweza kuwa pamoja [emoji120]
Nikiwa free nitapita kumuaga kaka yangu huyuUpdates: Tarehe 03 May 2023