Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Basi na wananchi waoneshe hasira zao kwenye uchaguzi 2025 kuwatoa CCM wote urais na ubunge na walinde matokeo yasiibiwe.Huo Mkataba hawauvunji na wala hawatouvunja hiyo Bandari ndio hivo tena tayari imeenda