Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Hili suala la BANDARI ambalo limeleta amsha amsha takribani miezi 3 sasa. Watu wanalichukulia jambo hili kawaida. Wengine wanaamini huenda Rais Samia kahongwa pesa ili aupitishe haraka ule mkataba. Hapana.
Hajaongwa hata Senti. Hili suala ni spiritual manipulation (shinikizo la kiroho).
Nilichoona katika ulimwengu wa roho the cabinet waliwekewa ulaghai na waligundua siku ya kutiliana saini.
Walitaka kukataa lakini maandalizi tayari yalikuwa yamefanyika na ile nguvu nyuma yao iliendelea kuwasukuma wakapitisha huku mioyo inawauma.
Kama waliweza kupitisha mkataba ambao walishauona kuwa ni ulaghai, je, wataweza kuugusa sasa huku wameshaupitisha?
Hili jambo wakipatikana watu waaminifu angalau 3 tu wasio na makandokando mbele za Mungu wakipatikana kwa pamoja wanaweza kuziondoa zile nira na mkataba mzima utavunjika na furaha itatawala.