Mkataba wa BANDARI dhidi ya DP WORLD hautaongezwa wala kupunguzwa herufi moja

Wananchi tena tuliopata nafasi ya kuona darasa bado hatujitambui na ndio maana tunapelekeshwa kila kukicha!
Madhara ya huu mkataba au makubaliano hayawezi kuonekana kwa sasa. Wale weledi wameshatambua kuwa huko mbeleni kutaleta shida sana na kujinasua itakuwa sio rahisi. Hata Loliondo baadaye tutaona hali itakuwa tete sana. Wananchi wana haki yao hapa duniani na ukimpokonya wakimlilia Mungu atawaponya tu.
 
Tanzania kuna changamoto kubwa kwa raia kuliko huo mkataba wa bandari. Je kwanini nguvu zote zinaelekezwa hapo? Sioni huo mkataba utakapo muathiri bibi yangu uko ukwiriri........ni ubinfsi ndo unao sumbua watu.
Tena ukute wewe na bibi yako wa Ikwiriri mnategemea mshahara wa kwa serikali 100%.
 
Hamna mkuu sisi ni wakulima kama wanakijiji wengine uko ukwiriri hatuna mahusiano yoyote na serikali zaidi ya Amani inao tuwezesha kuenda shambani.
 
Kwa hio mawaziri walipitisha huku mioyo inawauma, lakini wabunge wamepitisha huku wanashangilia!! Nini hatma ya hili taifa ?
 
Tanzania kuna changamoto kubwa kwa raia kuliko huo mkataba wa bandari. Je kwanini nguvu zote zinaelekezwa hapo? Sioni huo mkataba utakapo muathiri bibi yangu uko ukwiriri........ni ubinfsi ndo unao sumbua watu.
We unamuwaza bibi yako unaacha kuwaza watoto wako na vizazi vingine vijao, unataka wakute urithi wao tumeshawapa wageni kwa mikataba mibovu tena isio na Kikomo.....

Shenz
 
Mkuu hata mjuku wangu au wa kwako atakuja kupata chochote katika uendeshaji wa hiyo bandari hi nchi ina wenyewe.
 
Sio leo au kesha, ukosefu wa ajira tangu 1961 upo ukesefu wa huduma ya afya upo una ongozeka kila siku, gharama kubwa za kodi zipo , elimu mbovu inaendelea kila siku, ufisadi na wizi wa mali za umma ndo jina lenyewe la mchezo.......sasa bandari ndo itatatua hayo yote kwa bibi yangu na wanae uko Ukwiriri ........tuna pambana prox-war, hiyo vita sio ya kwetu kuna wenyewe wenye kua na jicho la tatu sio sisi wa Uķwiriri sisi tuna tumika kama chambo, dini na uzalendo ndo vinatumika kuvuta hisia za watu wa kawaida/masikini/ semi literate/ wana siasa.
Kwa hiyo yule mzee aliyekuwa anasema " Wakati wa Nyrere Afu tatu tu unapata huduma...." ambaye mpaka alitoa machozi ikabidi kumbembeleza kwa Juisi alikuwa anaongopa?!! wakati wa Uhuru Ajira zilikuwa nje nje ukimaliza unapangiwa kazi. Exchange Rate ilikuwa 1$ = TZS 2
 
Kulikua na few competition ukuaje wa uchumi haendanu na ukuaji wa idadi ya watu.
 
Habari!
Hili suala la BANDARI ambalo limeleta amsha amsha takribani miezi 3 sasa. Watu wanalichukulia jambo hili kawaida. Wengine wanaamini huenda Rais Samia kahongwa pesa ili aupitishe haraka ule mkataba. Hapana.
Hajaongwa hata Senti .
Hili suala ni spiritual manipulation (shinikizo la kiroho).
Nilichoona katika ulimwengu wa roho the cabinet waliwekewa ulaghai na waligundua siku ya kutiliana saini.
Walitaka kukataa lakini maandalizi tayari yalikuwa yamefanyika na ile nguvu nyuma yao iliendelea kuwasukuma wakapitisha huku mioyo inawauma.
Kama waliweza kupitisha mkataba ambao walishauona kuwa ni ulaghai ,je, wataweza kuugusa sasa huku wameshaupitisha?
Hili jambo wakipatikana watu waaminifu angalau 3 tu wasio na makandokando mbele za Mungu wakipatikana kwa pamoja wanaweza kuziondoa zile nira na mkataba mzima utavunjika na furaha itatawala.
Hakuna cha kumpamba, ni dhahiri amevuta dola za mwarabu za kutosha na ndio maana anaogopa kuliongelea hadharani.
 
Habari!
Hili suala la BANDARI ambalo limeleta amsha amsha takribani miezi 3 sasa. Watu wanalichukulia jambo hili kawaida. Wengine wanaamini huenda Rais Samia kahongwa pesa ili aupitishe haraka ule mkataba. Hapana.
Hajaongwa hata Senti .
Hili suala ni spiritual manipulation (shinikizo la kiroho).
Nilichoona katika ulimwengu wa roho the cabinet waliwekewa ulaghai na waligundua siku ya kutiliana saini.
Walitaka kukataa lakini maandalizi tayari yalikuwa yamefanyika na ile nguvu nyuma yao iliendelea kuwasukuma wakapitisha huku mioyo inawauma.
Kama waliweza kupitisha mkataba ambao walishauona kuwa ni ulaghai ,je, wataweza kuugusa sasa huku wameshaupitisha?
Hili jambo wakipatikana watu waaminifu angalau 3 tu wasio na makandokando mbele za Mungu wakipatikana kwa pamoja wanaweza kuziondoa zile nira na mkataba mzima utavunjika na furaha itatawala.
Uyo roho ni yupi, bandari haziendi popote asema bwana
 
Njia pekee ni Seriakali kuendelea na Makubaliano na DPW, kamwe isifanye kosa la kugeuka nyuma.
Kamwe isirudi nyuma tukizingatia masilahi ya wananchi.
NCHI HII HAIONGOZWI NA TEC WALA BAKWATA.....
Kamwe serikali isiyumbishwe na wanafiki na wazandiki
 
Tanzania kuna changamoto kubwa kwa raia kuliko huo mkataba wa bandari. Je kwanini nguvu zote zinaelekezwa hapo? Sioni huo mkataba utakapo muathiri bibi yangu uko ukwiriri........ni ubinfsi ndo unao sumbua watu.
Wewe ni miongoni mwa Mazuzu maarufu nchini.
 
Njia pekee ni Seriakali kuendelea na Makubaliano na DPW, kamwe isifanye kosa la kugeuka nyuma.
Kamwe isirudi nyuma tukizingatia masilahi ya wananchi.
NCHI HII HAIONGOZWI NA TEC WALA BAKWATA.....
Kamwe serikali isiyumbishwe na wanafiki na wazandiki.

Kuna mihimili mikuu ya serikali.

1. BARAZA /EXECUTIVE

2. BUNGE na

3. MAHAKAMA

TEC sio muhimili wa serikali.
 
Kulikuwa kuna haja gani ya kudai uhuru ili tujitawale wenyewe kama mali zetu muhimu tunawakabidhi tena wageni
Baba wa Taifa na babu zetu wengine waliteseka bila sababu kuwafukuza wazungu na kudai uhuru jitihada zilikua bure kabisa.
 
Habari!
Hili suala la BANDARI ambalo limeleta amsha amsha takribani miezi 3 sasa. Watu wanalichukulia jambo hili kawaida. Wengine wanaamini huenda Rais Samia kahongwa pesa ili aupitishe haraka ule mkataba. Hapana.
Hajaongwa hata Senti .
Hili suala ni spiritual manipulation (shinikizo la kiroho).
Nilichoona katika ulimwengu wa roho the cabinet waliwekewa ulaghai na waligundua siku ya kutiliana saini.
Walitaka kukataa lakini maandalizi tayari yalikuwa yamefanyika na ile nguvu nyuma yao iliendelea kuwasukuma wakapitisha huku mioyo inawauma.
Kama waliweza kupitisha mkataba ambao walishauona kuwa ni ulaghai ,je, wataweza kuugusa sasa huku wameshaupitisha?
Hili jambo wakipatikana watu waaminifu angalau 3 tu wasio na makandokando mbele za Mungu wakipatikana kwa pamoja wanaweza kuziondoa zile nira na mkataba mzima utavunjika na furaha itatawala.
Natamani iwe hvyo
 
Kulikuwa kuna haja gani ya kudai uhuru ili tujitawale wenyewe kama mali zetu muhimu tunawakabidhi tena wageni
Nenda kaangalie pale Kawe Tanganyika Packers halafu uangalie na mashirika mengine ya umma halafu urudi hapa kutuambia kama bado tunaweza kuwaamini wazawa na kuwakabidhi mali zetu. Wizi na ufisadi ndio umekuwa mtindo wetu wa maisha.
 
Tanzania kuna changamoto kubwa kwa raia kuliko huo mkataba wa bandari. Je kwanini nguvu zote zinaelekezwa hapo? Sioni huo mkataba utakapo muathiri bibi yangu uko ukwiriri........ni ubinfsi ndo unao sumbua watu.
Aisee! Ukileta pesa bibi yako atapata huduma za afya..... ukitunyonya vitukuu vyake vitageuka watumwa. Tulijikuta chini ya wakoloni kupitia mikataba....
 
Back
Top Bottom