Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Diaspora.jpg

Mambo yanakwenda kama moto wa nyika.

Mkataba huu si usitishwe tu?

Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki?
---
Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi


Speech 1.jpg
Speech 2.jpg
 
Samia anatengeneza tatizo kubwa zaidi, ukaidi wake sio tu unamfanya aonekane mjinga asiyesikiliza wananchi wake, lakini sasa unaanza kuvuka mipaka ya taifa, anazidi kupotea.

Hii inazidi kuonesha serikali yake imepotea, imepoteza mwelekeo, haina tena dira, na ndio inathibitisha vile hafai kuwa kiongozi wa watanganyika.

Ni vigumu sana kujaribu kuongoza watu wasio na imani nawe, hawawezi kukusikiliza, kwa huu ukimya wake, pia anathibitisha alikula vya waarabu.
 
Na mungu anawapenda watanganyika mama kua makini wakianza maombi yao. Cjui nasema cjui itakuaje

Bila kusahau ilikuwa kwa maombi corona ilitakuwa kutoweka au kuishi Kwa adabu in kiroboto's word.
 
Mbona unadandia hoja isiyo yako Mkuu?
Wapi nimesema nakereka?

Ama una hamu tu ya kuniquote kama mimi nilivyopata hamu ya kumquote Denoo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa huwa ni public mkuu ndiyo maana kuna PM.

Ukiweka hapa ni huru kwetu sote kuweka yetu ya moyoni. Hutaki si waenda PM? Ukituona huko tutakuwa tumedandia.

Siyo hapa!

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Hapa huwa ni public mkuu ndiyo maana kuna PM.

Ukiweka hapa ni huru kwetu sote kuweka yetu ya moyoni. Hutaki si waenda PM? Ukituona huko tutakuwa tumedandia.

Siyo hapa!

Au nasema uongo ndugu yangu?
Lengo langu la kumquote si hilo
Kwahiyo umenitafsiri vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom