Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

Mambo yanakwenda kama moto wa nyika.

View attachment 2720854

Mkataba huu si usitishwe tu?

Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki?
Hakuna kinachositiishwa na hamna atakaetumia busara kuacha jambo lenye faida kwa nchi eti kisa kuna wazandiki wanapotosha.

Mmenda mahakaman mmeonekana hamna mashiko. Huku uraiani hamna chochote zaid ya bla bla zenye upotoshaji

Never never
 
Samia anatengeneza tatizo kubwa zaidi, ukaidi wake sio tu unamfanya aonekane mjinga asiyesikiliza wananchi wake, lakini sasa unaanza kuvuka mipaka ya taifa, anazidi kupotea.

Hii inazidi kuonesha serikali yake imepotea, imepoteza mwelekeo, haina tena dira, na ndio inathibitisha vile hafai kuwa kiongozi wa watanganyika.

Ni vigumu sana kujaribu kuongoza watu wasio na imani nawe, hawawezi kukusikiliza, kwa huu ukimya wake, pia anathibitisha alikula vya waarabu.
Akiukubali ataonekana hajali raslimali za nchi kauza bandari kwa manufaa yake binafsi.

Akiukataa ataonekana kupoteza ushawishi na huenda serikali yake ikapoteza nguvu zaidi.

Yuko njia panda kwa sababu ya kukosa maono
 
Huyo Mwarabu hawezi kuja kwa nchi yenye muamko huu. Kama mwekezaji ni makini, lazima aogope juu ya usalama wa assets zake na hata watu wake.. achilia mbali kuwaza uungwaji mkono wake kwa wananchi ambao ndio atafanya nao kazi.
 
Sakata la DPW Lilipoanza CCM waliandaa Wahuni kila mahali kutuaminisha kwamba wanaungwa mkono mkataba.

Kulikuwa na vimaandamano vya kijinga kijinga hapa tanzania na matamasha ya kitapeli.

Huko duniani kila kukicha diaspora wanaandama kuupinga huu uuzwaji wa Bandari. Tunaamini ni watu wenye upeo na uelewa mkubwa. Je, Diaspora wanaunga mbona hatuwaoni? Najua hawawezi kufanya hivyo maana ni aibu kubwa

Inshort hii DPW ni janja ya mafisadi wa CCM na imeamua kuwatumia wajinga wajinga kupata uhalali wake . Ila kwa ufupi CCM haitafanikiwa na ujinga huu.
 
Taifa hili kuna watu,hawana uchungu kabisa na watanzania halisi pamoja na mali zao,uzalendo ni wimbo wa mdomoni lkn katika matendo hakuna kabisa ipo siku HAKI itasimama
 
Watanzania tuamke huu ujinga utatumaliza ukipata nafasi ya kuwaelimisha watu wape elimu
 
Back
Top Bottom