inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Tz Ina watu 60+m,hao kondoo wa TEC acha waendelee kuliaMambo yanakwenda kama moto wa nyika.
View attachment 2720854
Mkataba huu si usitishwe tu?
Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki?
Hakuna kinachositiishwa na hamna atakaetumia busara kuacha jambo lenye faida kwa nchi eti kisa kuna wazandiki wanapotosha.Mambo yanakwenda kama moto wa nyika.
View attachment 2720854
Mkataba huu si usitishwe tu?
Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki?
Hawa diaspora sio wazalendo hawataki maendeleo ya Nchi yao.. in uvccm's voice!!
Mambo yanakwenda kama moto wa nyika.
Mkataba huu si usitishwe tu?
Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki?
---
View attachment 2721051
Mashairi ya waraka huu yamekaa poa sana..
Mambo yanakwenda kama moto wa nyika.
Mkataba huu si usitishwe tu?
Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki?
---
View attachment 2721051
Tatizo ni kwamba watu wameshakula cha juu!Mkataba huu si usitishwe tu?
Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki?
Mtu unaishi ulaya bado unaogopa unaficha uso, anyway wamejitahidi
Mambo yanakwenda kama moto wa nyika.
Mkataba huu si usitishwe tu?
Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki?
---
View attachment 2721051
Akiukubali ataonekana hajali raslimali za nchi kauza bandari kwa manufaa yake binafsi.Samia anatengeneza tatizo kubwa zaidi, ukaidi wake sio tu unamfanya aonekane mjinga asiyesikiliza wananchi wake, lakini sasa unaanza kuvuka mipaka ya taifa, anazidi kupotea.
Hii inazidi kuonesha serikali yake imepotea, imepoteza mwelekeo, haina tena dira, na ndio inathibitisha vile hafai kuwa kiongozi wa watanganyika.
Ni vigumu sana kujaribu kuongoza watu wasio na imani nawe, hawawezi kukusikiliza, kwa huu ukimya wake, pia anathibitisha alikula vya waarabu.
Ujumbe si umefika? Nyani kashatema bungo!!Sema wakatoliki kutoka Tanzania waishio London. Siyo Watanzania.
Na ukimumunya nchale!Ukisimama nchale, ukikaa nchale 😀
PointTaifa hili kuna watu,hawana uchungu kabisa na watanzania halisi pamoja na mali zao,uzalendo ni wimbo wa mdomoni lkn katika matendo hakuna kabisa ipo siku HAKI itasimama
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Icho kikundi cha watu 7?