The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Hivi yule Askofu Bagonza wa Karagwe ni wa dhehebu gani?
Yule ndio Askofu kama Desmond Tutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi yule Askofu Bagonza wa Karagwe ni wa dhehebu gani?
kkktHivi yule Askofu Bagonza wa Karagwe ni wa dhehebu gani?
Majini yataendesha mradiUkisikiliza kwa makini Askofu Shoo hakuunga mkono mkataba wa Bandari!! Amesema walimpa ushauri Samia juu ya huo mkataba na yeye aliahidi kuwa angeyafanyia kazi mapendekezo yao.
Asante kwa mada nzuri. Sahihisho kidogo. Sio Roman bali CatholicMimi ni muumini wa hili kanisa usharika wa Mbezi Louis, tokea nianze kusali nikiwa sunday school pale ni mwaka wa 18 sasa, katika vitu nlivyogundua ni kwamba haya makanisa hasa Kkkt yanaendeshwa kupitia sadaka za waumini yaani waumini wakisema wasitoe sadaka ndani ya miezi 3 tu hali ya viongozi ipo taabani
Usiposhiriki misa au kutoa Sadaka unaonekana mkosaji, ibada nzima ni michango tu kikapu kuanzia mwanzo hadi mwisho watu wanakamuliwa ni pesa kwenda mbele ila sijui kama wanajua hizo pesa zinapotokea ni wapi
Linapokuja swala la uchumi tunatakiwa tuwe kitu kimoja, kesho kama taifa tukiingia mikataba mibovu alafu kesho tukaja kuivunja nchi ikiingia kwenye madeni mazito haumii mtu mwingine tunaumia wote ndio haya matozo na kodi kubwa walizoweka huu ni mwanzo tu picha linakuja Viongozi wetu wa KKKT ikifika mahali mkaambiwa kuwa hatuna pesa sababu uchumi umeharibika muwe wasikivu maana ibada zenu ni kuomba pesa mwanzo mwisho, hajawajenga wachungaji na wainjilisti kujitegemea kiuchumi mmewajenga kuwakamua waumini kwenye kapu la sadaka.
Askofu Shoo unasema unabariki uwekezaji ni uwekezaji gani huo wa kijinga namna hii, unampa mtu Bandari kwa mkataba wa kudumu huo ni uwekezaji au uuzaji wa Bandari? Kesho akiingia kiongozi type ya Magufuli akauvunja mwishowe DP world wataenda mahakamani halafu tukidaiwa mabilioni ya pesa wanatuwekea Tozo na kodi kubwa tulipe wananchi, wananchi tukishapigika tukija makanisani mikono mitupu muwe waelewa maana kodi kubwa ni chanzo cha kufanya watu wafilisike.
Niwapongeze Roman kwa kuwa wakweli maana mmeona mbali, waumini wenu mnajua kabisa uchumi wao ukiyumba utaleta shida hadi kwenu ila uchumi ukinyooka hata kwa kanisa ni faida kubwa.
Kila MTU anakubali Uwekezaji. Ila Mkataba WA huo Uwekezaji unakataliwa Una Mapungufu yafanyiwe KAZI.Mimi ni muumini wa hili kanisa usharika wa Mbezi Louis, tokea nianze kusali nikiwa sunday school pale ni mwaka wa 18 sasa, katika vitu nlivyogundua ni kwamba haya makanisa hasa Kkkt yanaendeshwa kupitia sadaka za waumini yaani waumini wakisema wasitoe sadaka ndani ya miezi 3 tu hali ya viongozi ipo taabani
Usiposhiriki misa au kutoa Sadaka unaonekana mkosaji, ibada nzima ni michango tu kikapu kuanzia mwanzo hadi mwisho watu wanakamuliwa ni pesa kwenda mbele ila sijui kama wanajua hizo pesa zinapotokea ni wapi
Linapokuja swala la uchumi tunatakiwa tuwe kitu kimoja, kesho kama taifa tukiingia mikataba mibovu alafu kesho tukaja kuivunja nchi ikiingia kwenye madeni mazito haumii mtu mwingine tunaumia wote ndio haya matozo na kodi kubwa walizoweka huu ni mwanzo tu picha linakuja Viongozi wetu wa KKKT ikifika mahali mkaambiwa kuwa hatuna pesa sababu uchumi umeharibika muwe wasikivu maana ibada zenu ni kuomba pesa mwanzo mwisho, hajawajenga wachungaji na wainjilisti kujitegemea kiuchumi mmewajenga kuwakamua waumini kwenye kapu la sadaka.
Askofu Shoo unasema unabariki uwekezaji ni uwekezaji gani huo wa kijinga namna hii, unampa mtu Bandari kwa mkataba wa kudumu huo ni uwekezaji au uuzaji wa Bandari? Kesho akiingia kiongozi type ya Magufuli akauvunja mwishowe DP world wataenda mahakamani halafu tukidaiwa mabilioni ya pesa wanatuwekea Tozo na kodi kubwa tulipe wananchi, wananchi tukishapigika tukija makanisani mikono mitupu muwe waelewa maana kodi kubwa ni chanzo cha kufanya watu wafilisike.
Niwapongeze Roman kwa kuwa wakweli maana mmeona mbali, waumini wenu mnajua kabisa uchumi wao ukiyumba utaleta shida hadi kwenu ila uchumi ukinyooka hata kwa kanisa ni faida kubwa.
Kama ni mtihani kajibu kwa kukurupuka hajaelewa katikati ya mistariHakuna kosa katika kubariki uwekezaji. Wote tunataka uwekezaji.
Shoo aligusia swala la bandari, ila hakutaka kuuweka msimamo hadharani kwa waumini sababu anasema walishakutana na rais na kumpatia Maoni yao.
Hivyo basi, sioni kama upo sahihi kumlaumu Askofu Shoo katika hili. Kama kuna kitu utataka umlaumu Shoo, basi ni kutowashirikisha ninyi waumini kuhusu Msimamo wao kama viongozi wenu au msimamo wa Kanisa na kupelekea mkiwa hamuelewi msimamie kipi.
Hakuna nchi inayokataa uwekezaji, hapa tatizo ni elimu ndogo ya uelewa inayowakabili wengi, sidhani kama wewe unaukataa uwekezaji na ndicho kinachofanyika kwenye klabu za michezo, viwanja binafsi vya nyumba, makampuni na viwanda binafsi, ila kinachojadiliwa ni aina ya mkataba ambao unatakiwa uwe na maslahi pande zote mbili hivyo Shoo asingeweza kusema hatutaki uwekezaji na hakuna mpaka sasa aliyekataa uwekezaji bali kinachokataliwa ni mkataba unaoegemea upande mmoja; si vizuri kujitahidi kupindisha hoja ilimradi usiyempenda aonekane mbaya, weka hapa sehemu aliyosema hawataki au wanataka uwekezaji husika wa DPW.Huyo Shoo mwenyewe amejichanganya, hata alikuwa haelewi anaeleza nini, Mara tulileta mapendekezo yetu, mara naunga mkono jitihada zote na tunaunga mkono uwekezaji! Hali mradi mzee wa watu alijikuta katika wakati mgumu kwa kibano alichojiwekea mwenyewe kwa uropokaji wake.
Tunashauriana, mbinguni mbali, tukokotane hivyohivyoMsimpangie cha kusema
Askofu ni Mtu mkubwa na muhimu sana na anapoongea jambo ajue watu wanamsikiliza kwa makini sana, hivyo hapaswi kuwa mnafiki vinginevyo yeye ndiye atakuwa anawagawa waumini wake na pale alitakiwa aongee kwa mtizamo wake bila ya kuwahusisha watu ambao hajakubaliana nao kwamba wanaunga mkono uwekezaji au vipi achia mbali huo wa DPW, TEC wameonesha msimamo na kutoa walicho kubaliana, maana inaonekana wazi hawakukurupuka waliupitia mkataba, waka pitia maoni ya watu mbalimbali wakiwemo Serikali wenyewe, wakajadiliana na hatimae wakaja na jawabu la nini wamekiona katika yote waliyopitia na kutoa mapendekezo yao katika huo Walaka wao, hao ndiyo hawana unafiki, Nyeupe wanaita Nyeupe na Nyeusi wameita Nyeusi.Hakuna nchi inayokataa uwekezaji, hapa tatizo ni elimu ndogo ya uelewa inayowakabili wengi, sidhani kama wewe unaukataa uwekezaji na ndicho kinachofanyika kwenye klabu za michezo, viwanja binafsi vya nyumba, makampuni na viwanda binafsi, ila kinachojadiliwa ni aina ya mkataba ambao unatakiwa uwe na maslahi pande zote mbili hivyo Shoo asingeweza kusema hatutaki uwekezaji na hakuna mpaka sasa aliyekataa uwekezaji bali kinachokataliwa ni mkataba unaoegemea upande mmoja; si vizuri kujitahidi kupindisha hoja ilimradi usiyempenda aonekane mbaya, weka hapa sehemu aliyosema hawataki au wanataka uwekezaji husika wa DPW.
Well said!!Hakuna nchi inayokataa uwekezaji, hapa tatizo ni elimu ndogo ya uelewa inayowakabili wengi, sidhani kama wewe unaukataa uwekezaji na ndicho kinachofanyika kwenye klabu za michezo, viwanja binafsi vya nyumba, makampuni na viwanda binafsi, ila kinachojadiliwa ni aina ya mkataba ambao unatakiwa uwe na maslahi pande zote mbili hivyo Shoo asingeweza kusema hatutaki uwekezaji na hakuna mpaka sasa aliyekataa uwekezaji bali kinachokataliwa ni mkataba unaoegemea upande mmoja; si vizuri kujitahidi kupindisha hoja ilimradi usiyempenda aonekane mbaya, weka hapa sehemu aliyosema hawataki au wanataka uwekezaji husika wa DPW.
Yes!sijui watu wameshindwa vipi kuelewa Ile speech iliyojaa hekima na utulivu katika kupinga Huo mkataba.Well said!!
Viongozi wa KKKT wametumia busara kubwa sana kumwambia SSH kuwa li mkataba lake halifaii!
Ila wasiokuwa na akili hawaelewi!
Hongera sana Askofu Dr. Shoo.
KKKT na TEC wamesimama na wananchi!!
Nina imani hata Nape, Tulia, na watetezi wengine wa DP World wakitumbuliwa Leo kesho watakuwa upande wa TEC na wananchi!!
Hivi wewe unaweza kukataa uwekezaji! Mbona wachina wamewekeza marekani na uingereza, tunachozungumzia ni mkataba lazima uwe na maslahi kwa pande zote mbili, msipende kupindisha maneno kwa makusudi.Askofu ni Mtu mkubwa na muhimu sana na anapoongea jambo ajue watu wanamsikiliza kwa makini sana, hivyo hapaswi kuwa mnafiki vinginevyo yeye ndiye atakuwa anawagawa waumini wake na pale alitakiwa aongee kwa mtizamo wake bila ya kuwahusisha watu ambao hajakubaliana nao kwamba wanaunga mkono uwekezaji au vipi achia mbali huo wa DPW, TEC wameonesha msimamo na kutoa walicho kubaliana, maana inaonekana wazi hawakukurupuka waliupitia mkataba, waka pitia maoni ya watu mbalimbali wakiwemo Serikali wenyewe, wakajadiliana na hatimae wakaja na jawabu la nini wamekiona katika yote waliyopitia na kutoa mapendekezo yao katika huo Walaka wao, hao ndiyo hawana unafiki, Nyeupe wanaita Nyeupe na Nyeusi wameita Nyeusi.
KKKT wametumia uugwana wasimvue nguo mgeni rasmi,ila speech Iko wazi kabisa Kwa mtu yeyote mwenye upeo wa fikra kwamba hawajakubaliana na mkataba, fullstop.Askofu ni Mtu mkubwa na muhimu sana na anapoongea jambo ajue watu wanamsikiliza kwa makini sana, hivyo hapaswi kuwa mnafiki vinginevyo yeye ndiye atakuwa anawagawa waumini wake na pale alitakiwa aongee kwa mtizamo wake bila ya kuwahusisha watu ambao hajakubaliana nao kwamba wanaunga mkono uwekezaji au vipi achia mbali huo wa DPW, TEC wameonesha msimamo na kutoa walicho kubaliana, maana inaonekana wazi hawakukurupuka waliupitia mkataba, waka pitia maoni ya watu mbalimbali wakiwemo Serikali wenyewe, wakajadiliana na hatimae wakaja na jawabu la nini wamekiona katika yote waliyopitia na kutoa mapendekezo yao katika huo Walaka wao, hao ndiyo hawana unafiki, Nyeupe wanaita Nyeupe na Nyeusi wameita Nyeusi.
Kuna watu kuelewa hata kiswahili tu ni tatizo halafi ndio hao eti na wao wanataka kuujadili mkataba wa DPHajasema anaunga mkono dp world,Amesema anaunga mkono uwekezaji kwani Kuna anaepinga uwekezaji?
Sikiliza tena hotuba yake utamwekewa,pale alifinya kimyakimya
Vikao vinaendelea Makumira na agenda ya DP world inawezekana ikawepo na tamko likatoka. Tuwe na subra.Mimi ni muumini wa hili kanisa usharika wa Mbezi Louis, tokea nianze kusali nikiwa sunday school pale ni mwaka wa 18 sasa, katika vitu nlivyogundua ni kwamba haya makanisa hasa Kkkt yanaendeshwa kupitia sadaka za waumini yaani waumini wakisema wasitoe sadaka ndani ya miezi 3 tu hali ya viongozi ipo taabani
Usiposhiriki misa au kutoa Sadaka unaonekana mkosaji, ibada nzima ni michango tu kikapu kuanzia mwanzo hadi mwisho watu wanakamuliwa ni pesa kwenda mbele ila sijui kama wanajua hizo pesa zinapotokea ni wapi
Linapokuja swala la uchumi tunatakiwa tuwe kitu kimoja, kesho kama taifa tukiingia mikataba mibovu alafu kesho tukaja kuivunja nchi ikiingia kwenye madeni mazito haumii mtu mwingine tunaumia wote ndio haya matozo na kodi kubwa walizoweka huu ni mwanzo tu picha linakuja Viongozi wetu wa KKKT ikifika mahali mkaambiwa kuwa hatuna pesa sababu uchumi umeharibika muwe wasikivu maana ibada zenu ni kuomba pesa mwanzo mwisho, hajawajenga wachungaji na wainjilisti kujitegemea kiuchumi mmewajenga kuwakamua waumini kwenye kapu la sadaka.
Askofu Shoo unasema unabariki uwekezaji ni uwekezaji gani huo wa kijinga namna hii, unampa mtu Bandari kwa mkataba wa kudumu huo ni uwekezaji au uuzaji wa Bandari? Kesho akiingia kiongozi type ya Magufuli akauvunja mwishowe DP world wataenda mahakamani halafu tukidaiwa mabilioni ya pesa wanatuwekea Tozo na kodi kubwa tulipe wananchi, wananchi tukishapigika tukija makanisani mikono mitupu muwe waelewa maana kodi kubwa ni chanzo cha kufanya watu wafilisike.
Niwapongeze Roman kwa kuwa wakweli maana mmeona mbali, waumini wenu mnajua kabisa uchumi wao ukiyumba utaleta shida hadi kwenu ila uchumi ukinyooka hata kwa kanisa ni faida kubwa.
Kama mleta mada ndio hajaelewa hata robo🙆Kuna watu kuelewa hata kiswahili tu ni tatizo halafi ndio hao eti na wao wanataka kuujadili mkataba wa DP
Acha upotoshaji.Acha kupotosha umma,Ben Mkapa alikuwa ni muumini wa Anglican.