Mkataba wa Bandari: KKKT muelewe hili kwanza

Sisi watu weusi kwa ujumla wetu hatuaminiki itoshe kusema hivyo. Watu weusi tuko so cheap kununulika ni finger click.
Nb: haiuhusiani na mada
 
Hivi wewe unaweza kukataa uwekezaji! Mbona wachina wamewekeza marekani na uingereza, tunachozungumzia ni mkataba lazima uwe na maslahi kwa pande zote mbili, msipende kupindisha maneno kwa makusudi.
Mbona maneno yamekuwa mengi sana ndugu yangu Issue hapa ni DP World, hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
Hauko sahihi kabisa.

Dr Shoo kamshauri Rais kwa lugha ya staha kuwa mkataba, siyo makubaliano, wa IGA haufai kuwa wa uwekezaji ambao nchi inahitaji.

Rais naye akijibu alisema, nanukuu:
1) Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa Taifa hili.
2) Hakuna mwenye misuli na,ubavu wa kuuza Taifa hili.
3) Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na usalama tuliojenga katika Taifa hili.


Ujumbe wa Dr Shoo na Rais ni ushahidi kuwa mjadala wa Uwekezaji Bandari, kwa mkataba batili, umefungwa rasmi.
 
ipi na ni kwa nini Mkubali kusaini mkataba ambao unapinga uanzishwaji au uendelezwaji wa Bandari mpya hadi Dp ato idhini hapa ndipo shida yetu ila tukihoji mnasema tunaligawa Taifa jibuni hizi hoja.
Hiki kifungu kinachosema hivyo umekitoa wapi?
 
Umeandika uongo hadi shetani anashangaa
 
KKKT wametumia uugwana wasimvue nguo mgeni rasmi,ila speech Iko wazi kabisa Kwa mtu yeyote mwenye upeo wa fikra kwamba hawajakubaliana na mkataba, fullstop.
Kama watu wanashindwa kuelewa ujumbe kwenye ile speech... Nadhani tatizo ni shule na mifumo mibovu ya elimu!🤔🤔
 
Kkkt kwenye vikapu hawajambo. Unaweza kukuta unazunguka Mara tano na baada mnada unapigwa na michango ya jumuiya ipo ya kutosha. Waumini mnageuka kuwa miradi.
Wana sadaka nyingi sana
 
Lakini Rais aliruhusu Maoni kwenye Mkataba. Sijui TEC Walikuwa wanatoa maoni au ni Shinikizo. Kama ni Shinikizo Imagine Shinikizo litolewe kwao la Kiserikali wanauwezo wa Kulibeba. Kwenye Kuamua Jambo kama Kiongozi wa Kiimani/Kiroho unatakiwa Kumtanguliza Mungu Mbele na Siyo kulazimisha Matakwa yako. Imagine Kauli ya Padre yule Mnyarwanda wa Karagwe anwaambia waumini Vazi lake Jekundu lipo tayari kumwaga damu.
Na Mbaya Zaidi kumbe ni Familia ya waliosababisha mauaji ya Kimbari kule kwa KGM.
Nb: Ushauri ni Muhimu lakini Kauli za Kumwaga damu hatuzitaki Watanzania.
 
Wewe hata Waraka utakua haujausoma. Nenda ukausome ndiyo utaona kama ni maoni au ni shinikizo.

Mimi nimemsikiliza pia huyo unayemuongelea, lakini sijaona kitu chochote kinachokarabia tafsiri au maneno yako.
Unazidi ku unfold dhamira yako unapojaribu kupotosha habari ya kuhusisha familia yake na mauaji Kimbali ya huko wapi sijui ambako umepaficha wengine tusijue.
Nikiangalia vyema naona dhahiri huu pia ni mwendelezo uleule wa kujaribu kuupotosha waraka wa Maaskofu
 
Kwenye msiba mmoja mchungaji alitaka waamini watoe sadaka mara mbili, kanisa zima waliguna kuonesha mgomo. Yeye alisema watoe sadaka wakati wanaaga mwili, kumbe sadaka ilishatolewa mwanzo!!
 
Mtanzania anachukua kasentensi kamoja anaruka nako.Shoo alichokisema ndio wewe umekisema hapo.Shoo ameongea vizuri sana msikilize vizuri maneno yote sio ile opening sentense ambayo ndio watu mnakimbia nayo.
 
Jinga wewee
 
"Kanisa halipingi uwekezaji, lakini ni lazima uwekezaji huo uwe kwa maslahi ya taifa na wananchi waridhike nao. Wananchi wana haki ya kutoa maoni na viongozi wa dini tukiona mambo hayaendi, ni wajibu wetu kushauri na kukemea. Na tunapofanya hivyo msituambie tunachanganya dini na siasa" Askofu Fredrick Shoo, Mkuu wa KKKT.
 
Huyo atakuwa ni mwana ccm mnufaika na mgawo... Yeye pamoja wenzake wanatafsiri zao kwa malashi binafsi!
Wakishindwa kujibu hoja yako wanakimbilia kwenye uraia na ukabila!
So pathetic!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…