Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

Kama hajui kilichopeleka huko na kilichojiri arudishe hela za Watanzania zilizotumika kumpeleka huko.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kathibitisha kauli ya Mwabukusi- " hawakujua walichokuwa wanapitisha"- na sasa ameungana na yule wa kanda ya zima aliyesema live kanisani kwamba hajui lugha ya kesheria ingawaje ni mtunga sheria
 
Baada ya Hii ziara ilitakiwa wapelekwe Wataalamu wetu wa bandari wajue huo mfumo na uanze mchakato wa kuupata. Tunacho Chuo cha Bandari kiwezeshwe kututengenezee Wataalamu wakuwezesha efficiency!
C ma expert wa bandari walienda yaan Zembwela, kitenge na hando? Au huna taarifa mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…