Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

Una mwezi sasa hapa jukwaani umeshindwa kutetea huo uhuni, umebaki kuuliza maswali kama kuna wake zako huku jukwaani. Ww ni muhuni unayevaa suti.
Nimeshindwa kutetea nini?

Kwa mwenye akili suala la Bandari zetu kuendeshwa kwa ufanisi linahitaji utetezi?
 
Natetea uhuni gani?

Nyie ndo mnashikiwa akili na mnapapalikia jambo lolote tu ili mradi mnafirahia kulisikia
Umemsikiliza huyo mama kwenye video hiyo kwenye hoja mama hapo juu?

Nani kashikiwa akili na nani? Mkataba uko wazi na Kila mtu anausoma..

Kwanini wengine wasiseme pia kuwa wewe ndiye hujui kusoma na kuelewa??
 
Mimi nimesoma. Wewe umesoma pia. Sasa elezea sehemu iliyoandikwa bandari zetu zimeuzwa?
 
Nani wewe kunipangia Cha kukujibu?

Amini nakwambia, hamwezi fanikiwa kufanya UBATILI huu juu ya nchi yetu mkaangaliwa.

Wewe ambae hata bandari hupajui, hata biashara ya usafirishaji huijui unapataje nguvu ya kupinga watu wanaoongelea maslahi ya Taifa?

Ukisema kitu ukiulizwa uthibitisho kuonesha umakini wako jibu unachoulizwa
 
Wewe ndo wa kuniuliza uthibitisho?
 
Hao viongozi wa ccm washaingiwa na pepo. Hata mkiwatukana vipi hawatobadilika!
Katiba Mpya, kanuni, taratibu, miongozo na miiko ya uongozi pekee ndo itatutoa hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…