Mkataba wa Bandari: Propaganda na upotoshaji wa kauli ya Freeman Mbowe uliofanywa na Nape Nnauye bungeni wachambuliwa

Yeye alitolewa bastola mchana kweupe Tundu Lisu alipigwa mchana peupeBado anataka apewe nafasi ya kumshughulikia m/kiti Mbowe mchana kweupe Huyu akili zake ni tope linalonuka
 
Mungu mbariki Ngurumo
 
Jamaa Nape Nnauye hakusema lolote kuhusu mkataba hata katika kifungu kimoja tu na badala yake dakika zote hizo alizitumia kumjadili na kumshambulia M/kiti CHADEMA(T) ndugu Freeman Mbowe.[emoji848][emoji3064][emoji2827]
Mbowe ni shujaa
 
Ukiona mtu mwenye uthubutu wa kutembea juu ya wowowo za kina mama waliojilaza chini mbele yake, tena hadharani, basi tambua mtu hiyo ni "empty case".
Duh!

Mbona sijakuelewa vizuri mkuu 'mbenge', una maana gani hapa?

"Mtu" huyo ni nani?
"...kutembea juu ya 'wowowo'". Hizi 'wowowo' ni kitu gani?
Hili jambo lilitokea wapi na lini?

Hawa "akina mama", kwa nini "walijilaza chini mbele" ya huyu mtu, na huyo mtu alijuaje kuwa kujilaza kwao chini ilikuwa ruhusa kwake" kutembea juu ya 'wowowo'" zao?

Kama unavyoona mwenyewe hapa, maswali ni mengi sana kuhusu hili jambo la ajabu sana uliloliandika hapa!

Kuna video au picha yoyote inayoonyesha tukio hili?

Tukio linalokaribiana na hili, ambalo picha yake niliwahi kuiona ni lile la akina mama wa CCM (walivaa magwanda ya kijani, pamoja na mkuu wao mwanaume waliopiga magoti mbele ya mke wake Kikwete, wakionekana kama walikuwa wanaomba kitu muhimu toka kwake.

Lakini hili la "wowowo" na mtu kutembea juu ya hizo 'wowowo', kwa kweli linanipa shida sana kujenga hiyo picha kichwani mwangu.
Pengine ningeona picha halisi ingenisaidia sana kuelewa unachokizungumzia hapa.

Kwa yeyote aliyeshuhudia tukio la aina hiyo, tafadhali saidia kuongeza maelezo kidogo ili tuwe na ufahamu zaidi juu ya jambo lenyewe.
 
Hee hee hee🥱🥱🥱🥱

Hii ni Photoshop au ni tukio halisi?

Ilitokea lini hii, wapi na kwanini alitembea juu ya matako/migongo ya wanawake hawa?

Tukio kama hili nimeliona akifanya mwanamke mmoja mtu WA dini moja ya ajabu huko Mwanza na anajiita "Mfalme Zumaridi"...

Wafuasi wa dini ya mwanake huyu, mara kadhaa hujilaza chini kufudifudi (haileweki kama huwa ni kwa amri/maelekezo yake au hufanya hivyo kwa mapenzi yao) na huyu mwanamke hupita juu yao akiwakanyaga kanyaga...

Sasa hii ya Nape iko vipi?
 
Mkuu hii ilitokea kwenye kampeni za uchaguzi 2020..
Jimboni Mtama.
 
Hakuna cha propaganda hapa. Mbowe ni dhahiri anamchukia samia na wazanzibar wote vibaya mno.
Anam chuki sana na Rais Samia. Na katika hili wakulaumiwa ni mhe Rais mwenyewe kwa kuanzisha siasa za kistaarabu wakati akina Mbowe wamezoa siasa za kufungwa gerezani na kuharibiwa mashamba yao ndo akili inawakaa vizuri.
Madam President anapaswa kulaumiwa saana kwa kuanziaha maamiliano ya kiungwana na watu wasio waungwana hata kidogo kama mbowe.
 
Nape ni muimbaji wa taarabu hivyo hajawahi kuwa na hoja zaidi ya mipasho.sifa za kuwa mbunge zero,sifa za kuwa waziri zero =hakuna kitu au an empty set or a pumpkin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…