Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai.

Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla ya siku ya kupitishwa Kwa azimio la Bunge la kuridhia Mkataba huo ambao umesababisha sintofahamu kubwa katika jamii ya watanzania na hata jamii ya kimataifa.

Taarifa za ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kuna mgawanyiko mkubwa miongoni mwao huku kundi moja likiweka bayana kuwa mkataba hauna Maslahi Kwa Taifa na lingine likisemwa kuwa kukataa kupitisha itatia aibu Chama chao hivyo Bora funika kombe Mwanaharamu apite!

Wabunge wanaopinga hoja zao ni zilezile za watanzania wazalendo kuhusu ubovu wa mkataba huo na umilele wake ! Kundi hili linaongozwa na wabunge wawili kutoka majimbo ya DSM na kinara wao anatoka Mkoa wa Manyara! ( Majina kapuni ) .

Watanzania kama kweli ni wazalendo wanashauriwa kuanzisha kampeni ya kuwapigia simu na jumbe (SMS) Kwa wabunge na kuwataka wakatae kupitisha azimio Hilo kwani ni la hatari Kwa Taifa na usalama wa nchi .

Nitawajuza zaidi kwani Kwa sasa vikao viko kila sehemu Dodoma .

Tip: kuna kundi la wabunge wanaopinga kuwa wabunge kutoka Znz wasiwe sehemu ya kupitisha azimio hilo kwani rasilimali za Tanganyika ndio zinaenda kutolewa na hivyo kama wanataka kushiriki basi Bandari za Zanzibar ziwe sehemu ya mkataba huo !

More to follow ; stay tuned !
Sisi tunafuatilia hilo bunge hata yule atakayechangia kuunga mkono tuibiwe bandari hat kura za wizi hazitatosha!
 
HIZI NI ORODHA YA KESI ZA KAMPUNI YA DP WORLD KUTOKANA NA MIGOGORO YA BANDARI

Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:

1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Kenya.
2. DP World v. Ethiopia (2022). The ICSID is also currently hearing a case brought by DP World against Ethiopia. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Ethiopia.
3. DP World v. Djibouti (2021). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Djibouti. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Djibouti.
4. DP World v. Pakistan (2020). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Pakistan. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Pakistan.
5. DP World v. India (2019). The ICSID dismissed a case brought by DP World against India. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by India.
6. DP World v. Argentina (2018). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Argentina. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Argentina.
7. DP World v. Chile (2017). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Chile. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Chile.
8. DP World v. Uruguay (2016). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Uruguay. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Uruguay.
9. DP World v. Peru (2015). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Peru. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Peru.
10. DP World v. Brazil (2014). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Brazil. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Brazil.

It is important to note that these are just a few of the many cases that DP World has been involved in. DP World is a major player in the global port industry, and it has been involved in a number of disputes with governments around the world. These disputes have often been complex and have involved significant financial stakes.

The cases listed above are still ongoing, and it is not yet clear how they will be resolved. However, they provide a glimpse into the challenges that DP World faces as it operates in a number of different countries.
Ni copy and paste
 
Inasikitisha sana yaani Msukuma anauza bandari kwa V8 LC 300?

"Tulikuwa tunawacheka babu zetu waligawa pembe za ndovu ,dhababu ,almasi kwa waarabu kwa kupewa shanga na sahani za udongo na sisi tutakuja kuchekwa na vitukuu/vilembe/vilembekezwa wetu kwa kuuza nchi kwasababu ya V8 miaka ijayo ,maana miaka ya mbeleni huko V8 itakuwa kama simu Tecno T201" - Ole Mushi
 
Tundu Lissu - Auliza Maswali Magumu kwa Bunge la CCM ! Suala la Bandari zetu kupewa DP World

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara Mh. Tundu Antipas Lissu anachambua sakata hili la bandari litakalijadiliwa Dodoma siku ya jumamosi tarehe 10 Juni 2023 na wabunge wa bunge la chama kimoja la CCM
  • Makubaliano haya baina ya serikali ya Tanzania na ya Dubai yanalazimisha bunge letu kubadilisha sheria na kutunga mpya, je itakuwa ya manufaa kwa upande gani ?
  • Misamaha ya kodi ya uwekezaji kwa DP World haitakuwa tofauti na misamaha waliopewa wawekezaji wa migodi ya madini n.k ambayo imesababisha taifa kutonufaika
  • Je kufuatia Bunge kulazimika kubadili sheria, bunge hili la CCM likiridhia mabadiliko watakuwa wamesimama upande wa waTanzania au upande wa mwekezaji ?
  • Je mapato ya dola za kimarekani yatafanyika Dubai au Tanzania
  • Kama hayafahamiki mapato je kodi itakusanywa vipi
  • Mkataba hausemi wala kutamka ukomo je ni miaka 30, miaka 50 au 100 makubaliano yapo kimya
  • Serikali itapora ardhi bila fidia kuipatoa DP World
  • Mizozo ya mkataba baina ya Tanzania na DP World kutumia sheria za English Laws na siyo zile za kina Prof. Palamagamba Kabudi za Sovereignty Acts za mwaka 2017 zilizopitishwa bungeni Dodoma
  • Kesi za mizozo baina ya Tanzania na DP World itasuluhishwa Johannesburg South Africa
  • Je korti zetu haziaminiki pia sheria zetu hubadilika kila mwaka ndiyo maana DP World hata serikali ya Tanzania ya sasa haiamini mifumo ya usuluhishi katika korti zetu ?
Viongozi wa juu wa CHADEMA yaani Mwenyekiti taifa, Makamu mwenyekiti bara na katibu mkuu wa chama wamesema wamestushwa sana na sakata hili la DP World kwani kuna maswali mengi hayajawekwa wazi na serikali ya CCM.

Hususan CHADEMA wakirejea hoja za raia walizotoa katika Oparesheni 255 ya CHADEMA katika mikoa ya magharibi mwa Tanzania.

Vilio vya wananchi walivyoomba CHADEMA iwasaidie kupaza sauti ni ikiwemo kuporwa ardhi, kukosa umiliki wa ardhi na pia kutopewa fidia stahiki serikali inapochukua maeneo ya ardhi zao kwa kisingizio cha uwekezaji au miradi ya kimkakati n.k

CHADEMA inasema watatoa kauli rasmi kama chama mapema iwezekanavyo kuhusu mradi huu wa bandari na bandari-kavu na jinsi mkataba mzima ulivyosukwa baina ya serikali ya Tanzania na serikali ya Emirati kuhusu mradi huu wa DP World mkataba wake baina ya nchi hizi mbili ulivyokosa umakini na kuacha maswali mengi.
Source : Chanzo Kikuu TV
 
Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai.

Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla ya siku ya kupitishwa Kwa azimio la Bunge la kuridhia Mkataba huo ambao umesababisha sintofahamu kubwa katika jamii ya watanzania na hata jamii ya kimataifa.

Taarifa za ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kuna mgawanyiko mkubwa miongoni mwao huku kundi moja likiweka bayana kuwa mkataba hauna Maslahi Kwa Taifa na lingine likisemwa kuwa kukataa kupitisha itatia aibu Chama chao hivyo Bora funika kombe Mwanaharamu apite!

Wabunge wanaopinga hoja zao ni zilezile za watanzania wazalendo kuhusu ubovu wa mkataba huo na umilele wake. Kundi hili linaongozwa na wabunge wawili kutoka majimbo ya DSM na kinara wao anatoka Mkoa wa Manyara! ( Majina kapuni ).

Watanzania kama kweli ni wazalendo wanashauriwa kuanzisha kampeni ya kuwapigia simu na jumbe (SMS) Kwa wabunge na kuwataka wakatae kupitisha azimio hilo kwani ni la hatari Kwa Taifa na usalama wa nchi.

Nitawajuza zaidi kwani Kwa sasa vikao viko kila sehemu Dodoma.

TIP: Kuna kundi la wabunge wanaopinga kuwa wabunge kutoka Zanzibar wasiwe sehemu ya kupitisha azimio hilo kwani rasilimali za Tanganyika ndio zinaenda kutolewa na hivyo kama wanataka kushiriki basi Bandari za Zanzibar ziwe sehemu ya mkataba huo.

More to follow, stay tuned!
ADUI MKUBWA WA WATANZANIA NI CCM
CCM NDIO CHANZO CHA UMASIKINI SHIDA TABU NA MATESO YA WATANZANIA
 
Kwa

Kwa pressure iliyopo nje?

Wakilazimisha, Kuna watu pressure zitapanda na kupitiliza kusikojulikana,

Katika Maslahi ya nchi tunaiweka Kando CCM yetu, tunachagua Tanzania.

Sa100 must go!!!!
 
Mchambuzi wakili msomi Baba Mwita kuhusu maana halisi ya Kanuni za Bunge zinazosisitiza maslahi ya umma katika mkataba

Mkataba huu wa bandari ni aina ya Trojan contract yaani ina mitego mingi itakayo zalisha mikataba mingine kibao.

Mikataba hiyo itakayoibuka itakayoipelekea Tanzania kupelekwa katika mahakama za kimataifa na kusababisha hata tukio la ndege za serikali za ATCL kukamatwa siku ya usoni.

Hii ni kwa kupitia mitego mingi ambayo wabunge wa kawaida, msemaji wa serikali au mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya Bandari TPA hawawezi kuyaona maana wanasoma mikataba kama vile wanasoma gazeti asisitiza mwanasheria msomi Baba Mwita akiwapatia angalizo wabunge na maofisa wa serikali wanaouchukulia sakata hili kwa uwepesi
 
KAMPUNI YA DP WORLD WANA RECORD MBAYA AFRICA:

Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:

1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Kenya.
2. DP World v. Ethiopia (2022). The ICSID is also currently hearing a case brought by DP World against Ethiopia. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Ethiopia.
3. DP World v. Djibouti (2021). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Djibouti. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Djibouti.
4. DP World v. Pakistan (2020). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Pakistan. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Pakistan.
5. DP World v. India (2019). The ICSID dismissed a case brought by DP World against India. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by India.
6. DP World v. Argentina (2018). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Argentina. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Argentina.
7. DP World v. Chile (2017). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Chile. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Chile.
8. DP World v. Uruguay (2016). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Uruguay. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Uruguay.
9. DP World v. Peru (2015). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Peru. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Peru.
10. DP World v. Brazil (2014). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Brazil. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Brazil.

It is important to note that these are just a few of the many cases that DP World has been involved in. DP World is a major player in the global port industry, and it has been involved in a number of disputes with governments around the world. These disputes have often been complex and have involved significant financial stakes.

The cases listed above are still ongoing, and it is not yet clear how they will be resolved. However, they provide a glimpse into the challenges that DP World faces as it operates in a number of different countries.
 
Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai.

Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla ya siku ya kupitishwa Kwa azimio la Bunge la kuridhia Mkataba huo ambao umesababisha sintofahamu kubwa katika jamii ya watanzania na hata jamii ya kimataifa.

Taarifa za ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kuna mgawanyiko mkubwa miongoni mwao huku kundi moja likiweka bayana kuwa mkataba hauna Maslahi Kwa Taifa na lingine likisemwa kuwa kukataa kupitisha itatia aibu Chama chao hivyo Bora funika kombe Mwanaharamu apite!

Wabunge wanaopinga hoja zao ni zilezile za watanzania wazalendo kuhusu ubovu wa mkataba huo na umilele wake. Kundi hili linaongozwa na wabunge wawili kutoka majimbo ya DSM na kinara wao anatoka Mkoa wa Manyara! ( Majina kapuni ).

Watanzania kama kweli ni wazalendo wanashauriwa kuanzisha kampeni ya kuwapigia simu na jumbe (SMS) Kwa wabunge na kuwataka wakatae kupitisha azimio hilo kwani ni la hatari Kwa Taifa na usalama wa nchi.

Nitawajuza zaidi kwani Kwa sasa vikao viko kila sehemu Dodoma.

TIP: Kuna kundi la wabunge wanaopinga kuwa wabunge kutoka Zanzibar wasiwe sehemu ya kupitisha azimio hilo kwani rasilimali za Tanganyika ndio zinaenda kutolewa na hivyo kama wanataka kushiriki basi Bandari za Zanzibar ziwe sehemu ya mkataba huo.

More to follow, stay tuned!
This version was echoed in #Mariaspace word to word by someone calling himself as TanzaniaAbroad TV.
 
Mbona miradi ya mwamba Magufuli hakuna ccm yeyote aliyegusa walqa kujaribu kuisabotage?

acheni ngonjera za kijinga, Mama hatoshi hapo na sisi tumesema kitambo.
 
Mwanasheria Nyanje wa Nyanje
aainisha mapungufu upande wa Tanzania katika mkataba wa bandari kipengele kwa kipengele ndani ya mkataba
 
Back
Top Bottom