Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

Mbona habari imekaa kama kisukuma gang flani
 
WABUNGE WAONE JINSI GANI DP WORLD ILIVIVYO NA MIGOGORO NA MATAIFA MENGI DUNIANI HIVI TUNAFANYA HAYA MADUDU TUKIWA NA UBONGO WETU VICHWANI? KISA BAADHI YA WABUNGE WACHACHE KUPATIWA RUSHWA NA HONGO ILI KUUZA UTU NA HESHIMA YA TAIFA ILI.
 
Bandari za Zanzibar hazihusiki.
Hivi unajua kuwa bandari ya dar es salaam ndio geti la nchi zisizo na bandari (Zambia ,Malawi ,Burundi ,Rwanda Kongo)?!!!

Hivi unajua mh.Kagame alipomuambia JPM ampe bandari asimamie hakutaja bandari za Zanzibar?!!!

Mbona "unajitia kabali" na ute wa mwanao mchanga?!!! [emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo kubwa ni kuwa walishona nguo kabla ya kuchukua vipimo, kasheshe ipo kwenye kuifumua ili ishonwe upya
 
Not necessarily kuhusiana na hoja yako kuwa Dar es Salaam ndio bandari pekee kwa nchi hizo ulizoziorodhesha,kwa taarifa yako DRC (future ya Africa kibiashara),mizigo yake mingi inapitia Durban &walvis Bay, kwetu zaidi ni fuels, Zambia amefungua zaidi mipaka ya kusini, nayo inategemea zaidi bandari hizo na ndio maana barabara yake ya kapiri mposhi to nakonde haangaiki nayo sana, ni mbovu sana,watanzania wenzangu tuambiane ukweli kuhusu nchi yetu, bandari zetu tuziboreshe hasa kiutendaji sio kujenga majumba mengi!
 
Wasiyasahau haya

Hapa kuna orodha ya kesi 20 za hivi punde dhidi ya DP World katika mahakama ya kimataifa ya usuluhishi:

1. DP World v. Kenya (2022). Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID) kwa sasa kinasikiliza kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Kenya. DP World inatafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Kenya.

2. DP World v. Ethiopia (2022). ICSID pia kwa sasa inasikiliza kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Ethiopia. DP World inatafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Ethiopia.

3. DP World v. Djibouti (2021). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Djibouti. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Djibouti.

4. DP World dhidi ya Pakistan (2020). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Pakistan. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Pakistan.

5. DP World v. India (2019). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya India. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na India.

6. DP World v. Argentina (2018). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Argentina. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Argentina.

7. DP World v. Chile (2017). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Chile. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kuipokonya ardhi na Chile.

8. DP World v. Uruguay (2016). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Uruguay. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Uruguay.

9. DP World v. Peru (2015). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Peru. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kuipokonya mali na Peru.

10. DP World v. Brazili (2014). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Brazil. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Brazili.

Ni muhimu kutambua kwamba hizi ni baadhi tu ya kesi nyingi ambazo DP World imehusika nazo. DP World ni mhusika mkuu katika sekta ya bandari ya kimataifa, na imehusika katika migogoro kadhaa na serikali duniani kote. . Mizozo hii mara nyingi imekuwa ngumu na imehusisha wadau muhimu wa kifedha.

Kesi zilizoorodheshwa hapo juu bado zinaendelea, na bado haijabainika jinsi zitakavyotatuliwa. Hata hivyo, yanatoa mwanga wa changamoto ambazo DP World inakabiliana nayo inapofanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba unasema kitendo cha kurekebisha kifungu chochote ktk mkataba kitakuwa na maana ya kutokuridhia mkataba. NI LAZIMA KURIDHIA WAPENDE WASIPENDE. Kitendo cha wabunge kuhongwa dollar na magari, na kulipiwa gharama za kwenda dubai ilikuwa ni kitendo cha kununuliwa. Wabunge hawana jeuri ya kukataa.
 
Mikataba yote tangu uhuru ipitiwe upya.
 
Suala hili limeshakuwa cultural sensitive.Wabara wanaona nchi yao inauzwa.!Muda wataanza kuwafukuza watanzania kutoka visiwani!
 
Wana CCM wenzangu pitisheni huo mkataba bila kusikiliza kelele za wapinzani. Wanatuchelewesha Sana
 
Tunaomba wenye namba za hawa wabunge plz tuwekee hapa tuwapigie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…