Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023



Ndio tatizo la kuwa na maandazi Bungeni ambayo hayakushinda kura za wananchi , Hawana uchungu kabisa kwa sababu hawawakilishi

Hayo magari waliyohongwa Huku Mitaani wananchi watoe Matairi upepo
 
Viongozi kutoka Pwani na Zanzibar kuna siku wataipiga mnada nchi hii.
Tayari wao wameshapewa pa kuishi Uarabuni ikiwezekana tushike mali zao kuanzia sasa.



Mlimnyima Salim Urais kwa kuwa tu kaka yake yuko Oman….haya sasa watu wana wajomba kaka wa mama Oman na kila wakipata likizo wanaenda huko na wana Makazi
 
Hii nchi hii[emoji848][emoji848][emoji848] mwishowe si watabinafsisha na hichi kibanda cha familia cha kuokota vimia mia vya pipi[emoji848][emoji58][emoji58]
 
NImeanza kumchukia niliyeanza kumpenda hata kutaka junywa sum* juu yake.
 
Wanaenda kupewa maelekezo wasipinge huu uchafu
 
tuungane watz kukataa huu mpango ovu wa kuuza rasilimali za bara kwa manufaa ya wabara.kama wabunge wa bara wataukubali huo mpango hakika twende nchi nzima tukahamasishe wananchi kuwafukuza wabunge wote wa ccm 2025 kwenye sanduku la kura.pia tuhakikishe katiba lazima ipatikane ili kuondoa upuuzi huu na wahusika wote baada ya kupitisha katika tuwaburuze mahakamani.tuhakikishe kwenye katiba hiyo hakuna mwanasiasa kuwa na kinga yoyote ile ili kukomesha huu uzandiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…