Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

Wanasheria wanisaidie, nataka kui-sue tume ya uchafuzi...Kunawabunge walichaguliwa kutokana na vitisho tena vitisho vya kubaguliwa kimaendeleo! Tulitishwa na rais mwendazake magu-fool tusipomchagua mgombea ubunge wa SiSieM tutanyimwa Miradi ya maendeleo hivyo tulitishwa Sasa kivipi matokeo hayo yawe halali?? Kesi ifunguliwe hata tusiposhinda LAKINI ibaki kwenye kumbukumbu kuwa kunanduli alibagua watu kiitikadi wasiwasi kwenye mikutano yake ya kampeni na akapingwa hadharani!
 
Babake,ngoma inogile!
 
Kwa mwaka ujao wa fedha, Bandari peke yake inakwenda kuingiza takriban TZS 30 TRILLION.
Briefing ya wabunge hoa haitakuwa mbali na ukweli huo kwa sababu si wote wanaweza kuwa wana taarifa hiyo. Jana Mh. LUSINDE alitoba siri
Pokea taarifa hiyo kutoka kwa Mh. Lusinde
 
Ana uwezo wa kuchambua mkataba huyo kilaza
 
Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge

“Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu na Dunia, umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu na Mabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba, uibariki nchi yetu idumishe uhuru, umoja, haki na amani, umjalie Rais wetu hekima, afya njema na maisha marefu ili pamoja na wanaomshauri, wadumishe utawala bora. Utuongezee hekima na busara, sisi Wabunge wa Bunge hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na utupe uwezo wakujadili kwa dhati, mambo yatakayoletwa mbele yetu leo, ili tufanye maamuzi sahihi yenye manufaa kwa watu wote na ustawi wa nchi yetu. Amina.
 
Kwa kuwa si watanzania....kwa kuwa UTANZANIA wako una thamani zaidi ya UTANZANIA wa mzanzibari?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
No,kwakuwa si watanganyika.
Na bandari zinazouzwa ni za Tanganyika
 
Mswada wa bima ya Afya umerudishwa mara 2 baada ya kuona hautekeleseki Sasa na hili kama Kuna shida si wanaiambia Serikali ikaboreshe makubaliano kwani lazima kuitana?

Unless mnataka mpitishe Mswaada ndio mnaitana kutishana basi sawa.
Nchi shida sanaa hii. Mambo ya maana ndio yanagonga mwamba , yasio na maana uuzaji rasilimali ndio wanapita bila kupingwa.
 
No,kwakuwa si watanganyika.
Na bandari zinazouzwa ni za Tanganyika
Una "mbango" wewe [emoji1787][emoji1787]

Tanganyika ilishaoza kaburini.....tumeizika kwa AMRI ya El Commandante JKN (Rip)....

Unataka kufuata nyayo za wale wazee tuliowasoma...G55?!!!

Ama za harakati za "siasa" za UAMSHO?!!!! [emoji1787][emoji1787]
 
Yaan wameona hizo wanazotukamua daily hazitoshi wameamua kuuza kabisa ili kutukomesha aisee!!
 
Hamna wakukataza huo mkataba kuanzia wa bunge mpaka wananchi, kwanza ndani ya siku mbili hi issue itasahurika na kudadia jingine lolote, sema wazee wa kufanya diversion wamechelewa kuleta issue mpya baada ya toto Fai kuisha.
Ningekuwa Mwenyekiti wao, namteua Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro...alafu naenda zangu Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…