MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Yakiitishwa Maandamano utatoka Barabarani?Jioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Ahaaaa! Kimangungo.Jioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Tukiitisha Maandamano hamatoki, mmebakia kulia lia tu kama ke, fungeni midomo yenuTanzania unfortunately doesn’t have leadership that is the reason for giving a lease of 100 years to the Arabs to manage the port!
These ccm politicians are only concerned about the here and now ; meaning the next general election and not the interests of the next generation![emoji23][emoji23][emoji23]
Zuchu na wasanii walipelekwa na Wizara ya Michezo, Sanaa na TamaduniSi umeona wabunge wameitiwa wakina zuchu [emoji1]
Ova
Huyo mwalimu unayemtukana kiasi hicho na kusema ni kazi ya laana ndio aliyekufanya ukajua kusoma na kuandika. Halafu una andika ujinga kama huuHao madogo ni vilaza utaendaje kusoma masomo ya kidwanzi hivyo, kwanza ualimu ni kazi ya laana na kitumwa hawakuona fani za heshima kama sheria na nyinginezo mpaka waende kwenye ualimu fan la kilofer mpaka ngedere wanawacheka
Kwahiyo na wewe umeona umeuliza swali mujarabu ???Yakiitishwa Maandamano utatoka Barabarani? Au unabwekwa tu kwenye social media?
Bibi ushungi abahusika kwenye kadhia hii 2025 nako mbali sanaHawa jamaa wanaturejesha utumwani. Napata wasi wasi kuwa Magu alikolimbwa na hawa hawa aliowaamini akidhani kuwa wanawake na watu wa hovyo wasingemfanya kitu. Angalia kilichotokea Peru ambako makamu wa rais Dina Boloarte alipomdondosha bosi wake Pedro Castillo na kumweka ndani huko Peru. Haya mambo yapo.
Mzee Mwinyi alisema Nyerere, Mkapa na Magufuli walifanya kazi nzuri sana, ila hajui yeye na Kikwete kwanini walishindwaJioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Tukumbuke team inayofanya haya ni kutoka Zbr, wanatuuza mchana kweupeJioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Kwenye hiyo MOU ni wapi wameandika mkataba wa miaka 100?Hivi tutaendelea kulia mpaka lini? hawa jamaa hawabadiliki, walishatuonesha na wanaendelea kutuonesha kwa vitendo hawataki kabisa kubadilika, sasa hawa tutaendelea kuwalalamikia kwa ujinga wao wanaotufanyia makusudi mpaka lini?
Hapo kwenye huo mkataba wa miaka 100 waliotoa kwa hiyo kampuni, maana yake wameirithisha bandari yetu kwa vizazi, kwamba hiki kizazi chetu kipite, mpaka kizazi kitakachofuata kitaukuta huo mkataba wa kinyonyaji bado upo!.
Hivi kwanini Samia asipandishwe mahakamani kwa hili kosa kubwa namna hii? kiongozi asiyetaka kuihangaisha akili yake hata kidogo, kwa chochote, yeye anawaachia wasaidizi wake kila kitu!, ok, she is immune, basi laana yetu iwe juu yake, simply, makosa ya kiongozi tuliyenaye, tunaenda kuyarithisha maumivu yake kwa vizazi, huu sio ujinga tu, hakika ni upumbavu kabisa.
CCM ni ile ileJioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Hawa watu watatuletea balaa! Maana akili zao miaka yote zinaamini Waarabu ndiyo Mabwana zao.Tukumbuke team inayofanya haya ni kutoka Zbr, wanatuuza mchana kweupe
sio wajinga ila wapiga kura wengi wako vijijini na vyama visivyo vya kiraia viko mijini.wanatakiwa kwenda vijijini kuwaelimisha ubaya wa serikali hii iliyoko madarakani.iwafumbue macho na kuwafanya hao walioko vijijini waikatae ccm na vibaraka wake.pia mijini nako nguvu iongezeke sababu kuna watz ambao wanadhani kwamba hakuna haja ya wao kupiga kura.ni kwamba wamekata tamaa.ukiwauliza kwa nini hawapigi kura majibu yao ni kwamba kura zao hawaoni kama zina impact yoyote.wako sawa tu, mitanzania mitumbavu kutwa kushangilia mpira tu huku wanasiasa wanafanya mambo ya kingese bila woga, juzi ajira za walimu zimetoka huku madogo waliosoma masomo ya geography, kiswahili na histori wakikataliwa kuomba bila sababu yoyote hakuna aliyehoji na sasa bandari inapigwa mnada mamtu yapo na yanga na simba. kwao bora nchi ipoteane ila simba na yanga wazione, ***** hii nchi tunaishi tu lakini hakuna maisha.
Jamani naomba niulize huu ni mkataba baina ya serikali ya tanzania na serikali ya dubai au ni mkataba baina ya serikali ya tanzania na kampuni ya worldJioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali