black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake?
====
Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya Simba kutokana baadhi ya vipengele kukiukwa.
Dejan ameandika kwenye ukurasa wake “Nathibitisha kuwa mkataba wangu wa ajira umevunjika kutokana na baadhi ya vipengele kukiukwa na klabu, nawashukuru mashabiki kwa kuniunga mkono na kunionesha upendo.”