Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamekuwa hayo tena jmnSimba kwa jinsi navyoona, inaenda kufa
Yule jamaa ameondoka mwenyewe hakufukuzwa, baada ya kubaini uhuni na ubabaishaji uliopo Simba akaclose deal na waarabu.Lilikuwa ni suala la muda tu, sababu aliyemleta naye alishakula umeme...
Ni shida Sana ,Hamna majitu yenye ubaguzi ,chuki na unafiki kama matzWaafrika wanaongoza Kwa ubaguzi ila wao hilo hawalioni.
Kauli gani hiyo?Ingawa kunaweza kusiwepo mahusiano, Of course ile kauli ilikuwa ya kibaguzi sana. Hakuna mwafrica angekubali kuitwa vile ulaya. Totally racism.
Si rahisi kwa sababu anapewa dakika chache na wachezaji wenzake wanamnyima pasi. Ngumu kutoboa.Pia uwezo wake unatia shaka,ili abaki alitakiwa awe bonge la mchezaji mwenye kuzifumania nyavu mara kwa mara.
"Mlete nzunguuu"Kauli gani hiyo?
Juzi amepata mipira mingapi? akiguswa kidogo chaliiiSi rahisi kwa sababu anapewa dakika chache na wachezaji wenzake wanamnyima pasi. Ngumu kutoboa.
Lile goli lake moja ni jitihada binafsi.
Ohoo sisi klabu yetu inaendeshwa kisasa,ohoo sisi level yetu Alhly sasa ikiwa kwenye vitu vidogo kama hivi mnachemka.
Bora aende kwa mjomba wake Misri, huku bado wana mambo ya kiswahili.
Waswahili wangemsumbua sanaHilo mbona lilijulikana mapema, Dejan asingeweza kubaki bila uwepo wa Zoran Maki.
Kiwango alichokionyesha pia kimechangia, kujinasibu ni mzungu au kufanya mambo ya kizungu imekua ni sifa nzuri kwa hapa bongo na kuna wachezaji wengi waliopita walitambulika kwa jina la mzungu na ikaonekana sawa kwa sababu waliperfom vizuri mfano kipa fulani hivi wa yanga miaka ya nyuma( nimemsahau jina) hata dejan alivyotambulishwa kama mzungu siku ya simba day bado haikuonekana ni ubaguzi tatizo lilianza baada ya kingia uwanjani na kuonekana kiwango chake ni kidogo ndipo hapo akaanza kuonekana kituko, nina ubakika kabisa angeonyesha kiwango kizuri ilo jina la mzungu lisingeonekana ni ubaguziIngawa kunaweza kusiwepo mahusiano, Of course ile kauli ilikuwa ya kibaguzi sana. Hakuna mwafrica angekubali kuitwa vile ulaya. Totally racism.