Mkataba wa Dejan Georgijevic, Mzungu wa Simba Wavunjwa

Mkataba wa Dejan Georgijevic, Mzungu wa Simba Wavunjwa

Klabu ya wahuni,boss wao MO muhuni muhuni,wachezaji wahuni ,benchi la ufundi wahuni na timu inaendeshwa kihuni.

Tena mzungu ushukuru umeondoka bila majeruhi maana boko na phiri waliplan waende sumbawanga kijiji cha mtokwisa wakakushindilie misumari
 
[emoji23][emoji23]walikuwa wanamuonea wivu

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Sa itakuaje tena[emoji23][emoji23][emoji23] sema mpira wetu una mambo mengi sana ya kushangaza.
 
Aliyefanya scouting ya akina Dario&Co wa SBS ndiye angetumika na vilabu vingine.
 
Kama kuna upumbavu Simba wanafanya ni kutafuta kocha ili mradi awe mzungu tu.
Waliomleta Zorani ni zaidi ya mapimbi.

Mbona Mgunda anatosha kwa nini kuwaza mzungu kila siku?

Hakuna kauli inayonikera kama tunatafuta kocha mkuu!What a fu*k
 
Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake?

====
View attachment 2370575
Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya Simba kutokana baadhi ya vipengele kukiukwa.

Dejan ameandika kwenye ukurasa wake “Nathibitisha kuwa mkataba wangu wa ajira umevunjika kutokana na baadhi ya vipengele kukiukwa na klabu, nawashukuru mashabiki kwa kuniunga mkono na kunionesha upendo.”

Aende tu
 
Kama kuna upumbavu Simba wanafanya ni kutafuta kocha ili mradi awe mzungu tu.
Waliomleta Zorani ni zaidi ya mapimbi.

Mbona Mgunda anatosha kwa nini kuwaza mzungu kila siku?

Hakuna kauli inayonikera kama tunatafuta kocha mkuu!What a fu*k

Viongozi ndio wanaiua Simba. Siku mashabiki wakizira na kugoma kwenda uwanjani ndio utakuwa mwisho wa Simba.
 
Next
1663619771555.jpg
 
Back
Top Bottom