Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mecky mexime aliwahi sema mpira wa bongo unaongozwa na wajinga wajinga...ikianza TFFNipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake?
====
View attachment 2370575
Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya Simba kutokana baadhi ya vipengele kukiukwa.
Dejan ameandika kwenye ukurasa wake “Nathibitisha kuwa mkataba wangu wa ajira umevunjika kutokana na baadhi ya vipengele kukiukwa na klabu, nawashukuru mashabiki kwa kuniunga mkono na kunionesha upendo.”