Mzungu aliinesha wazi kuwa hangeweza kukaa simba!!kwanza alikuwa anajitenga sana na wenzie mara nyingi nlikuwa namuona na okwa tuuuu..
Inaonekana ameshindwa kabisa kuzoea mazingira ya tz na afrika,naona ni bora aende tu.
Kila la kheri huko aendako ila ni striker mzuri japo kwa afrika wapo wengi wazuri kumzidi hata yeye..
KWA HERI MZUNGUUUUUUU..