Duh kwa hiyo nyie furaha yenu ni kuwaweka watu hoi na huku wakiendelea tu na msimamo wao.Yani Faiza na the boss wako hoi muda huu kwa nondo za mtoa mada
Ok wako hoi kwa nondo zenu, then what!!?Yani Faiza na the boss wako hoi muda huu kwa nondo za mtoa mada
Udini ndio shida kubwa hapa.mkuu umechanganyikiwa? wewe mambo ya uislamu/ukristo/utanganyika umeyasoma wapi kwenye hilo bandiko?
Jibu lako hili chini👇👇Watu wanagombania mfumo dah inatisha sana kampuni ambayo ipo nchi nyingi ulaya ije ilete ukoloni Tanzania sema tu ukweli mleta Uzi kuwa una hofu na uislam kupewa nguvu na waarabu na mfumo wenu uliotengenezwa kwa miaka mingi kukosa nguvu hapa kila mtu anatetea maslah yake akitawala raisi mkristu inakuwa Tanzania akitawala mwislam inageuka kuwa Tanganyika duh
Mikataba ya huko ni sawa na huu wetu? Huu wetu usiokuwa na ukomo ni halali mtu akisema 'masetla' kwakuwa haawana ukomo wa kuwepo ni permanent.
Eti hakiondoki kitu hapa. Utadhani kweli kumbe ni nyuma ya keyboard tuHakiondoki kitu. Nanyumbulisha hoja hapa chini ili akili ikuingie:
Kwa kifupi nimeandika hoja ifuatayo:
1. Kuna wakoloni wa aina mbili, yaani mkoloni wa kimapokeo (traditional colonialism) na mkoloni wa kilowezi (setller colonialism), ambapo, mkoloni wa kimapokeo anafika kwenye koloni ili kuteka rasilimali watu na kuitumia kuvuna maliasili na kuhamisha faida kwa ajili ya kuipeleka katika nchi mkoloni, wakati mkoloni mlowezi anafika kwenye koloni kuteka ardhi, watu na rasilimali zao ili kujenga makazi mapya ya kudumu, ama kwa kuwahamisha wazawa au kuwateketeza.
2. Mkataba wa Tanzania-Dubai umetoa haki ya umiliki wa milele wa haki za matumizi (eternal use ownership rights) ya bandari 88 za Tanzania Bara, na pia umetoa haki ya umiliki wa milele wa haki za kuvuna faida (eternal fruits ownership rights) kutokana na bandari 88 za Tanzania Bara, jambo ambalo linaipa Dubai haki ya kuanzisha makazi ya kudumu katika ardhi ya Tanzania, na hivyo kuwa na sifa ya kuitwa mkoloni mlowezi.
3. Kwa hiyo, nikahitimisha kwamba, Mkataba wa Tanzania-Dubai unafungua milango ya kuanzishwa kwa kambi 88 za walowezi wa Kiarabu nchini Tanzania, ambapo kambi hizo zitakuwa kwenye mwambao wa Pwani na kwenye mmaeneo ya mmaziwa ya Tanganyika, Viktoria na Tanganyika.
Jazaneni tu maujinga na kujifariji, wenye bandari yao washaiuza na wako kimya...Leo umeugusa sana moyo wangu.
Dijaeahi kukuunga mkono katika bandiko lako kama leo.
Uishi mama
Ibarikiwe sana.
Tuungane kukemea huu uhayaeani
Hii ndo itasaidia wasichukue bandari?na walivyo waharibifu aisee hakuna sehemu walipita pakawa salama. hata njia ya kati ya utumwa ukiangalia kuanzia pwani, dodoma, kondoa hadi ujiji sehemu walizopita utafikiri laana ilimwagwa, ni maeneo yaliyojaa uchawi, uganga, uzinzi na ukame wa rdhi, njaaa na kukosa elimu.
Kilichosainiwa sio mkataba ni azimio la makubaliano ya kuja kufanya biashara. Hatua inayofuata sasa ndio kusaini mikataba yenyewe.Bwana Mtanzania,
Kuna wakati unaweza ukahisi wewe uko sahihi lakini ukweli ni kwamba umepoteza. Itoshe kusema hakuna anayekataa uwekezaji hapa Tanzania. Ninyi mnaoshabikia huu mradi mmeangalia upande wa faida na maslahi bila kuangalia vipengele na aina ya mkataba. Sehemu nyingine zote ambapo mmetoa mifano, DP World imesaini mikataba ya tofauti kabisa na huu wa kwetu.
Mwaka 1994, United Arab Emirates na Uingereza walisaini Bilateral Investment Treaty (BIT) ili kulinda uwekezaji baina ya nchi hizo mbili. Ule mkataba ndiyo umeruhusu concession ya DP World kuendeleza na kuendesha bandari ya London Gateway. Kule Uingereza wamapewa bandari moja tu ya London Gateway. Ule mkataba wetu umekaa vibaya mno na unawapa bandari zetu zote. Mkataba unatupa ukakasi mwingi. Mtu mjinga tu ndiyo anaweza kushadadia faida bila kuangalia vifungu.
Duh!Mbona kidogo sana?
Sasa hivi Waarabu walio settle Tanzania kwa enzi na enzi wappo wangapi?
Warangi 90% Waarabu.
Wa iraqw ndiyo hata jina lao loinajieleza.
wanyantuzu?
Wanyaturu kibao Waarabu kabisa.
hhaya anzeni kwanza kubaguwana na wajomba na shngazi zenu.
Mkimaliza mje kwa Wamisri wanaojenga Bwawa, hawajaacha wapwa huko?
Nusy au Zaidi ya Kariakoo ni Waarabu.
Sasa ingia wimbi litakalokuja na DPW
Mradi Ongezea.
Shida yenu ni waarabu mengine ni kutafuta kwa kujifichia tu
Shida yao pia ni urais wa Samia, umekuwa unawauma sana tangu JPM alipofariki dunia, hakuweza hata kuwaza kwamba Magufuli angeaga dunia kipindi kile wakawa wanajitanua huko kwenye nafasi zao za juu serikalini.Shida yenu ni waarabu mengine ni kutafuta kwa kujifichia tu
Kama unadhani kilichosainiwa ni makubaliano basi wewe ni mjinga sana.Kilichosainiwa sio mkataba ni azimio la makubaliano ya kuja kufanya biashara. Hatua inayofuata sasa ndio kusaini mikataba yenyewe.
Wewe nazani utakuwa ni ndugu yake nape mpo vizuri sana kupinga bila hojaJF ondoeni uzushi huu wa kipuuzi, au nanyi mnafaidika na upuuzi huu? Kumbukeni tuna nchi moja na mauaji ya kimbari ya Rwanda yalianza na chuki km hizi na uwongo mwingi uliopaliliwa na vyombo vya habari. Tambueni wajibu wenu km mhimili wa nne wa dola
Kuwa na hoja na kuandika uongo ni sawa?
Kambi za masetla? Dpworld wako Rwanda ..kuna kambi ya masetla?
Dpworld wako Uk na German kote huko kuna kambi za masetla? seriously??
Hayupo wa kufuta thread hizi,
Ni Kwa maslah mapana ya nchi.
Jazaneni tu maujinga na kujifariji, wenye bandari yao washaiuza na wako kimya...
A 15th century Portuguese caravel. it had three masts and a lateen or triangular sail which allowed the caravel to sail against the wind Conquerors: How Portugal Forged the First Global Empire by Roger Crowley (2015)
na walivyo waharibifu aisee hakuna sehemu walipita pakawa salama. hata njia ya kati ya utumwa ukiangalia kuanzia pwani, dodoma, kondoa hadi ujiji sehemu walizopita utafikiri laana ilimwagwa, ni maeneo yaliyojaa uchawi, uganga, uzinzi na ukame wa rdhi, njaaa na kukosa elimu.
Inajirudia historia