Resolution Azimio 1701 lilipitishwa Mwaka 2006 na Israel ikaondoa Vikosi vyake Lebanon lakini Hezbola wakashupaza shingo na haswa Hassan Nasrallah alikuwa ni mbishi sana Gaidi yule.
Kwahiyo hizo Story za "Mipesa ya kwenye Meza za UN" ni story tu za kwenye Kahawa.
The United Nations Security Council unanimously adopted Resolution 1701 on August 11, 2006👈
We wacha ujinga msikie huyu US envoy Amos Hochstein aliye wasaidia Israel anasema nini kwenye interview na Al Jazeera. Kwanza anasema 1701 inaongelea Ardhi ya Lebanon yote irudishwe kwenye 1701 safari hi Israel katema bungo lazima atekeleze sharti la resolution 1701. We unayesema Hezbullah ndio walipinga sio kweli. Mtangazaji wa Aljazeera anamuhoji huyo Myahudi ambaye alikuwa mwanajeshi wa Israel na aliwahi pigana vita amevaa gwanda za Israel. Leo eti ndio kawa US envoy kawa mtu wa kupatanisha pande mbili hahaha.
Ameulizwa mbona resolution 1701 Lebanon alitekekeza hayo, lakini Israel ndio hakutekeleza akajidai hata Hezbullah badaye na wao wakaenda karibu na border, kasahau pale kuna UNIFIL Hezbullah kasogea pale bada ya Israel kuwacha kuimpliment resolution 1701 na kuspy Lebanon mara kwa mara. Kwenye vita ya Gaza Hezbullah akaona hio ndio fursa yake yakuishambulia Israel, sababu hakuna siku serekali ya Lebanon ili lalamika Israel wana spy Lebanon.
Pili fatilia huyo US envoy na France ndio walijitahidi kuwatia pressure serekali ya Lebanon, ili wawatie pressure Hezbullah kwamba vita vya Gaza haviwahusu watu wa Lebanon. na kumbuka pia pesa zimetumika ili Nyau aonekane kapata ushindi kutoka kwa Hezbullah, ile kuwachana na kesi ya Gaza. Je huo ndio ushindi?
Kuhusu Nyau kujisifu anahaki ya kuishambulia Lebanon, huyo US Envoy kasema si kweli. Kutakuwa na Nchi zitatazama nani kakosea watakuwepò US, France na badhi ya nchi za kiaraɓu kutazama kweli kuna kosa, na kaendelea kusema Israel na Lebanon wote wana haki ya self-defence, lakini mpaa kuwe kumethibitika mmoja kweli kakosea.
we huoni hapo Israel ndio kakwama, yeye ndio daima ana ingia nchi za watu kuspy.
View: https://youtu.be/hzERdo8omao?si=HqBjotyHFy_3eQQ_
Pia kajibu watu wenye kudai na wewe mmoja wapo kuwa jeshi la US watakuwepo kwenye ardhi ya Lebanon kasema no si kweli, hakuna kitu kama hicho watakuwepo tu badhi ya askari kwenye US Embassy kufatilia nini serekali ya Lebanon inahitajia ili kuhakisha border iko salama.
Wewe jana ulisema US na UN watapeleka majeshi Lebanon, huyo US Envoy kasema si kweli, ni UNIFIL itabaki hapo. US na France wao watakuwa ndio kwenye idara ya kuwasikiliza mahitaji yao. Kwa hio hapo hakuna sijui kuidisarmed Hezbullah kwenye hi ceasefire. Wacheni kumsikiliza Nyau. Nyau lazima ajisifie kwa watu wake yeye ndio kashinda, na pia Hezbullah naye upande wake ni vile vile anasema Israel ndio ka surrender.
Ukweli wote huyu US Envoy ndio kaongea. Wacha maneno mengi eti Hezbullah kakubali kuvunja silaha, si kweli Resolution 1701 iko very clear ni Hezbullah ndio mshindi.
Hezbullah atakuwa disarmed pale resolution 1701 ikitekelezwa na hapo Israel ndipo anapo failed 🤣