Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
NETANYAHU mjanja ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wameamua kuachana na ile Idiolojia inayosema wakiuwawa na Israel wanaenda kujizolea Mabirkra 73?!🤣🤣😂Kwenye kufa hakuna urafiki Hezbollah wameamua kujisalimisha
WakoNa huu ndio ukweli mchungu ambao wazayuni wa jf hawataki kuusikia
Mimi nilijua tu hayo Magaidi yatachemka tu.NETANYAHU mjanja ujue
Usishangae wakaanzisha uhusiano wa Amani na IsraelKwa hiyo wameamua kuachana na ile Idiolojia inayosema wakiuwawa na Israel wanaenda kujizolea Mabirkra 73?!🤣🤣😂
Wewe mtu wa pakaFuta ujumbe wako ww acha kutukana watu wa mungu
Wako
Unauliza makofi polisi sheikh. Hezbollah kabemendwa mpaka kasahau alishasema hataacha vita mpaka vita vikome Gaza.Anga la Lebanon hakuna siku limewahi milikiwa na lebanon sasa aloshindwa nani kwenye hii mbungi
We wacha ujinga msikie huyu US envoy Amos Hochstein aliye wasaidia Israel anasema nini kwenye interview na Al Jazeera. Kwanza anasema 1701 inaongelea Ardhi ya Lebanon yote irudishwe kwenye 1701 safari hi Israel katema bungo lazima atekeleze sharti la resolution 1701. We unayesema Hezbullah ndio walipinga sio kweli. Mtangazaji wa Aljazeera anamuhoji huyo Myahudi ambaye alikuwa mwanajeshi wa Israel na aliwahi pigana vita amevaa gwanda za Israel. Leo eti ndio kawa US envoy kawa mtu wa kupatanisha pande mbili hahaha.Resolution Azimio 1701 lilipitishwa Mwaka 2006 na Israel ikaondoa Vikosi vyake Lebanon lakini Hezbola wakashupaza shingo na haswa Hassan Nasrallah alikuwa ni mbishi sana Gaidi yule.
Kwahiyo hizo Story za "Mipesa ya kwenye Meza za UN" ni story tu za kwenye Kahawa.
The United Nations Security Council unanimously adopted Resolution 1701 on August 11, 2006👈
Wanaukumbi.
Yerusalemu
CNN
-
Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba kupita hatua mbaya.
===============
Jerusalem
CNN
—
A ceasefire deal between Israel and the Lebanese militant group Hezbollah is “very close,” a regional source told CNN on Sunday, even as an uptick in Israeli attacks saw the death toll in Lebanon since mid-September pass a grim milestone
👇🏽
Source: CNN Ceasefire deal between Israel and Hezbollah is ‘very close,’ regional source says, as Lebanon death toll climbs | CNN
========================
UP DATE……
View: https://x.com/suppressednws/status/1861515475827486848?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Shiba Farms ilitekwa katika Vita kama zilivyotekwa Sinai East Jerusalem nk.We wacha ujinga msikie huyu US envoy Amos Hochstein aliye wasaidia Israel anasema nini kwenye interview na Al Jazeera. Kwanza anasema 1701 inaongelea Ardhi ya Lebanon yote irudishwe kwenye 1701 safari hi Israel katema bungo lazima atekeleze sharti la resolution 1701.
Safi sana na hio point ndio ipo kwenye Resolution 1701, Israel anadai ardhi ni ya Syria na Lebanon anasema hio ardhi yake. Umeona hapo Hezbullah hawezi vunja silaha sio kwa njia ya UN au Serekali ya Lebanon mpaa hio ardhi irudishwe LebanonShiba Farms ilitekwa katika Vita kama zilivyotekwa Sinai East Jerusalem nk.
Muisraeli huwa anasubiria Mwarabu aFAFO halafu anachukua Ardhi.😄
Askari wako wapi nusu yao wamekuwa mental na wengine hawataki vita. Hezbullah na Hamas wanachapa mchungaji si mchezo we nenda kaimbishe watu kwaya kanisani.Lengo la Magaidi Hezbola kuingia Vitani lilikuwa ni kuwagawanya IDF ili wapunguze Vikosi vyao Gaza na hilo walifanikiwa, na sasa IDF inarudi Gaza ili iendelee kutoa Dozi dhidi ya Magaidi ya Hamas.😁
Hapa sio Issue ya Hezbola tena hapa kwenye Issue ya Sheba Farms ni kati ya Serikali ya NCHI ya LEBANON na Serikali ya NCHI ya ISRAEL Hezbola atabakia tu Chama cha Kisiasa cha Kishia na hii Ceasefire ni ya muda wa siku 60 Hezbola akishupaza shingo tena KIPIGO kinaendelea😂🤣Umeona hapo Hezbullah hawezi vunja silaha sio kwa njia ya UN au Serekali ya Lebanon mpaa hio ardhi irudishwe Lebanon
Jamaa ni Watu wa Fujo sanaHamas baada ya kipigo KIZITO huko Gaza sasa wamehamia Uingereza
View attachment 3163385View attachment 3163384
Yahaudi jeusi la Makete linaongea fikra zake🤣Hezibollah wamebaki wale Migambo yao waliotoroka na Makombora, hivyo makubaliano ya kusimamisha mapigano ni kati ya Israel na Serikali ya Lebanon, ambayo ndiyo imechukua jukumu la kusimamia kuhakikisha wale Wadudi waliotoroka na makobora hawayarushi tena.
Pia Israel itakapoanza kuondoa majeshi maeneo yaliyokuwa yakishikiliwa na Hezbollah basi itahakikisha kila inapondoka inayakabidhi kwa vikosi vya serikali siyo Hezbollah.
Kwa kifupi amkeni kwenye ndoto yenu mkaanze kutunga zile story kama za mwaka 2006.
Hapa sio Issue ya Hezbola tena hapa kwenye Issue ya Sheba Farms ni kati ya Serikali ya NCHI ya LEBANON na Serikali ya NCHI ya ISRAEL Hezbola atabakia tu Chama cha Kisiasa cha Kishia na hii Ceasefire ni ya muda wa siku 60 Hezbola akishupaza shingo tena KIPIGO kinaendelea😂🤣
Zitaje wewe.Na hasara alizozipata Hezbola mbona huzitaji?!