Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Kuna mapunguani humu yalikuwa yanashikiwa akili na gaidi Netanyahu yanashingilia tu.

Alisema ataifuta Hezbollah na Hamas na watawanyanganya silaha Hezbollah😅

Kiko wapi???
Yuko mmoja humu anamsikiliza Shetanyahu hawajui ni muongo 😄 🤣

Huyu katika members of parliament Lebanon ambaye anawakilisha Hezbullah, anasema silaha za Hezbullah hakuna wakuzigusa, nizitabaki kama kawaida yake.

View: https://youtu.be/Cr_K5K2At_g?si=s5Q0uEGZC6SYqCp-
 
Israel wamepigika kwa kiwango cha kimataifa. Safi sana Hezbollah. Mpaka hapo, Hezbollah wameshinda vita kwa kishindo kama walivyoshinda mwaka 2006.
Hongera sana sana Hezbollah kwa kiwashikisha adabu Israel.
 
Huyu katika members of parliament Lebanon ambaye anawakilisha Hezbullah,
Hezbola ni Mbwa wa Ayatolah, kama mwenye Mbwa mwenyewe kakubali Amani hawa Mbwa wadogo wadogo hakuna anaewasikiliza.
 
Kama vile Israel ni mbwa kwa America, kama mwenye mbwa ndiye alienda kuongea na Hezbullah kwa adabu lazima mbwa mwenyewe akubali amani. Huyo mbwa lazima akubali hakuna ataye mjali.
 
Hahahaha jibu murua.
 
Ni kinyume chake, Grow up tumia hekima au ukikua ndio utaelewa.
‎⚡️⭕️ Hezbollah:

‎To our honorable people

‎O the most generous, purest, and most honorable of people, O our dear and proud people, O free sons of our homeland, O you who, with your legendary steadfastness and sacrifices that did not stop at the enemy's illusions, shattered, so victory from God Almighty was an ally of the true cause that you embraced and carried, returning to your villages and homes with pride and vigour; you roam the corners of the world with victory, and you carry the lofty and steadfast banner in the field and conscience, which will remain resistant to oppression and aggression.

‎The Islamic Resistance, which has offered its best leaders and mujahideen for the sake of Allah and in defense of its land and people, and on the path of supporting the oppressed in Palestine, today addresses you, and all the free people in the world, and the mujahideen in the arenas, with a salute of arms, jihad, martyrdom and victory, and pledges in the name of its mujahideen and knights, all the pure blood and pure souls, to complete the path of resistance with greater determination, and to continue standing by the oppressed, the weak and the mujahideen in Palestine with its capital, the Noble ⁦‪#Jerusalem‬⁩, which will remain a title and a path for generations dreaming of freedom and liberation.

‎﴿And victory is only from Allah, the Almighty, the Wise﴾
‎Wednesday, November 27, 2024 AD
‎Corresponding to Jumada al-Ula 24, 1446 AH
 
Kwahiyo Kaswida mumeanza kuimba Kizungu?!😀😄
 
Basi huna Hekima punguza Kahawa inapandisha Presha unakuwa kubwa jinga ashakum si matusi.
Ujinga ni bora kuliko kuwa kenge, ukienda Tabora kuna sehemu wenye akili wanatengeneza pesa kwa kulita soko lao soko mjinga. Tatizo we kenge utabaki kuwa kenge, ndio kama yule kenge wa israel anasema eti atamshambulia Hezbullah hahaha.

Hivi yule kenge zimo kweli kichwani, si angendeleza vita kuliko kubweka kama mbwa, kakimbia uwanjani Afu ana bweka bweka. Kenge atabaki kuwa kenge.
 
Trump atafanya nini zaidi ya Biden, israel kagusa tena Lebanon ni ndoto.
Trump hana huruma hata kidogo baada ya siku 60 kuisha Trump atamruhusu Netanyahu asafishe kila kitu na Vita ya US na Washirika wake na Iran inakuja, Ayatolah anayetemeka ndani ya Kanzu😂
 
Back
Top Bottom