Salary slip uko sahihi kabisa ila hilo haliwezekani hata kidogo!!! Watu wanahitaji kula bwana sasa huko si kufunga mfereji? nimeipenda hii
“Ukitazama sakata hili, the main issue (jambo la msingi) ni fedha zilizochukuliwa ukilinganisha na kazi iliyofanywa, suala hapa si mashine za vidole hoja ni fedha.
“Kwa msingi huo, Kamati ya PAC ndiyo yenye jukumu la kukagua hesabu za Serikali, tangu lini Kamati ya Mambo ya Nje ikashughulika na hesabu?
“Wao kazi yao ni kuangalia diplomasia na masuala ya usalama, sisi hatuko huko shida yetu tunataka kujua kuhusu fedha za umma zilizopigwa mchana kweupe,”