Ingekuwa uongo leo Msigwa au Mwigulu wangeshaita press conference kukanusha.Kama hii ni kweli, basi awamu hii ya sita Tanzania ni serikali ya hovyo sana. Nchi hikutakiwa kufikia hali hii; chema hujiuza chenyewe, hii ya kujitembeza ni ujinga sana
Kuna member alisema kwenye hili sakata hadi liishe Kombo atakula pesa ndefu sana.Wanatapeliwa kwa mara nyengine
Sio Sh 45,000/= ni $45,000 kwa mwezi sawa na Tshs. 120,000,000/= kwa mwezi.Appendix A Iko wap?
Anyway watapaswa kulipwa Dola 45,000/-kila mwezi kwa miezi 24 yaani miaka 2.
Mnisaidie ku convert hicho kiasi
Mama asemewe kwani yeye hana mdomo au akili?Bi tozo View attachment 3531081ameenda beyond na Mama asemewe kaenda internationally saiv 🤣🤣🤣
Kukanusha sio kigezo. Those mazafakas have a tradition of dismissing (as fake news) any news that doesn’t reflect well on them, even if it’s true!Ingekuwa uongo leo Msigwa au Mwigulu wangeshaita press conference kukanusha.
Wangeshaandika fake newsKukanusha sio kigezo. Those mazafakas have a tradition of dismissing (as fake news) any news that doesn’t reflect well on them, even if it’s true!