Mkataba wa Serikali na kampuni ya Marekani kumsafisha Samia huu hapa.

Appendix A Iko wap?


Anyway watapaswa kulipwa Dola 45,000/-kila mwezi kwa miezi 24 yaani miaka 2.

Mnisaidie ku convert hicho kiasi
 
Wazir wa mambo ya nje ndyo kashaur hili bila shaka

Bas lazma ana 10% yake had utawala wa bitozo uishe atakuwa ashamaliza ujenz wa ghorofa zake pale mwanakwerekwe na hapo maeneo ya mkunguni k/koo
 
The so called mkataba huu Ni utapeli kama utapeli mwingine

Waache kumdanganya atashinda case
iliyo mbele yake. Kibaya amekubali mbele ya umma kwamba ilibidi ifanyike.

ICC wana case nyepesi sana
 
Kuna uchafu hata utumie jik hautoki achilia mbali dodoki na magadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…