Mkataba wa Simba na Sportpesa ulikuwa dhaifu

Hivi unaakili wewe? Simba akienda kimataifa anavaa sportpesa?
 
Yaani umetaja wadhamini wawili kati ya 8 halafu useme simba inategemea pesa zamfukoni kwa mtu? Hao yanga hawategemei pesa za mfukoni kwa mtu?
 
Mkataba wa simba na azam tv ulitangazwa lin? Shiling ngap?
Mzee jitahidi kutunza kumbukumbu, unakumbuka manara aliwadhihaki simba kuwa wamesaini mkataba na azam wa milioni 350 wakati wao yanga wamesaini wa bilioni?
 
Uliemquote ana mimba ya mapacha unadahani angeandika nini zaidi ya ile pumba
 
Last time I checked Simba wana:
1. VunjaBei
2. Mo29
3. Mo Extra
4. ATCL
5. Emirates Aluminium
6. Africarriers
7. Azam Media
8. M-Bet

Kama hawa wameletwa kwa "chuki za Mo", basi kumbe hizo ni Chuki zenye manufaa
Mikataba yote hiyo ni dhaifu tu Vunjabei ni mkataba wa utengenezaji jezi ambao kila timu wanao kuna wale wana mkataba na Uhlsports na wengineo..Mo29 na Mo eXtra ni under METL ambao mikataba yao thamani yake haijulikani hadi leo wamechafua jezi tu,ATCL ni kuhusu usafiri wa anga,Africarriers walitoa mabasi mawili,mikataba yote hii ni ya ungaunga mwana huwezi kufananisha na mkataba mmoja tu wa yanga ambayo ni dhahiri ina thamani kubwa hata ukicombine mikataba yote ya Simba,,mfano mkataba wa azam na yanga wa billioni 36 hata thamani ya club yenu haingii ndani
 
Sawa mkuu. Uko sahihi sana. Asante
 

Uzuri ni kwamba hamna hata hela ya kuwalipa waturuki 200 mil licha ya kuwa na mkataba na azam tv[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…