Mkataba wa Simba na Sportpesa ulikuwa dhaifu

Mkataba wa Simba na Sportpesa ulikuwa dhaifu

Tarimba anakubaliana na simba kwamba watapata hela nyingi kuliko yanga halafu akifika jangwani anabadilisha kibao anawapa yanga dau kubwa kuliko simba kwasababu ya ushabiki wakati simba anawakilisha kimataifa simba walikuwa wavunje mkataba ila wakasubiria mpaka uishe ila alichofanya tarimba kwa simba ni ujinga wawape yanga hzo hela tuone watafika wapi CAF champion's league.
Hivi unaakili wewe? Simba akienda kimataifa anavaa sportpesa?
 
Azam media hana mkataba na Simba

Mo extra na Mo29 ni kampuni ya mtu mmoja, na ndio kusema Yanga watangaze, MAX, GSM FORM ambazo zote ni GSM

Mikataba yao mingi ni ya kifamilia ya Dewji, yaan Mlango wa mbele na Nyumba lkn nyumba ni hiyo hiyo.

Hii inapelekea timu kutegemea zaidi pesa za kutoka mfukoni kwa mtu.
Yaani umetaja wadhamini wawili kati ya 8 halafu useme simba inategemea pesa zamfukoni kwa mtu? Hao yanga hawategemei pesa za mfukoni kwa mtu?
 
Mkataba wa simba na azam tv ulitangazwa lin? Shiling ngap?
Mzee jitahidi kutunza kumbukumbu, unakumbuka manara aliwadhihaki simba kuwa wamesaini mkataba na azam wa milioni 350 wakati wao yanga wamesaini wa bilioni?
 
Hapo kabla ulikuwa umeolewa! Baadaye ukaanza kumlalamikia mumeo hafai! Anakupa fedha kidogo tu ya matumizi!

Hivyo ukaona bora uombe talaka! Ukapewa. Ndani ya muda mfupi tu, ukapata mwanaume mwingine wa ndoto yako! Ukaolewa naye ili maisha yaendelee! Lakini cha kushangaza baada ya kuolewa, kila siku ni kumlalamikia tu yule mume wako wa zamani mbele za watu, huku ukiwa tayari katika ndoa na mwanaume mwingine.

Samahani bosi pwilo, nimeona nitumie mfano huu ili maoni yangu yaeleweke kwa uzuri zaidi. Maneno mwanamke na mwanaume yametumika kufikisha tu ujumbe. Hayahusiani kabisa na wewe
Uliemquote ana mimba ya mapacha unadahani angeandika nini zaidi ya ile pumba
 
Last time I checked Simba wana:
1. VunjaBei
2. Mo29
3. Mo Extra
4. ATCL
5. Emirates Aluminium
6. Africarriers
7. Azam Media
8. M-Bet

Kama hawa wameletwa kwa "chuki za Mo", basi kumbe hizo ni Chuki zenye manufaa
Mikataba yote hiyo ni dhaifu tu Vunjabei ni mkataba wa utengenezaji jezi ambao kila timu wanao kuna wale wana mkataba na Uhlsports na wengineo..Mo29 na Mo eXtra ni under METL ambao mikataba yao thamani yake haijulikani hadi leo wamechafua jezi tu,ATCL ni kuhusu usafiri wa anga,Africarriers walitoa mabasi mawili,mikataba yote hii ni ya ungaunga mwana huwezi kufananisha na mkataba mmoja tu wa yanga ambayo ni dhahiri ina thamani kubwa hata ukicombine mikataba yote ya Simba,,mfano mkataba wa azam na yanga wa billioni 36 hata thamani ya club yenu haingii ndani
 
Sawa mkuu. Uko sahihi sana. Asante
 
Uzuri ni kwamba hamna hata hela ya kuwalipa waturuki 200 mil licha ya kuwa na mkataba na azam tv[emoji23]
 
Back
Top Bottom