Mikataba yote hiyo ni dhaifu tu Vunjabei ni mkataba wa utengenezaji jezi ambao kila timu wanao kuna wale wana mkataba na Uhlsports na wengineo..Mo29 na Mo eXtra ni under METL ambao mikataba yao thamani yake haijulikani hadi leo wamechafua jezi tu,ATCL ni kuhusu usafiri wa anga,Africarriers walitoa mabasi mawili,mikataba yote hii ni ya ungaunga mwana huwezi kufananisha na mkataba mmoja tu wa yanga ambayo ni dhahiri ina thamani kubwa hata ukicombine mikataba yote ya Simba,,mfano mkataba wa azam na yanga wa billioni 36 hata thamani ya club yenu haingii ndani