Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

Afrika hatufanyi vitu kwa mikataba. Mo Dewji, bilionea la kimataifa, tena dollar bilionea, limesoma Marekani lakini kaingia mahusiano ya kulipa mishahara ya taasisi ambayo haijulikani analipa kama nani, hana mkataba nayo!

Nilidhani MO Dewji ni msomi mwenye ma exposure ambayo viongozi wa mipira wa Kiswahili hawana.

"I put blood for the club."

What do you mean you put blood for the club, umemwaga damu kwa ajili ya timu au umechangia damu wachezaji majeruhi?
 
Huyu Mo na Manji waache kulialia,waige mfano wa Bakhresa kwa kuanzisha timu zao wenyewe badala ya kuzengea timu kongwe alafu wanategemea kuwe na profesionalism.
 
Tunatema big g kwa Karanga za kuonjeshwa...mchakato wa Mo ulikuwa wa muda mrefu na mfumo mzima wa uendeshaji wa klabu tunauacha kwa udhamini wa miaka 5...mkataba ukiisha wanasepa kama walivyofanya Kilimanjaro...tunabaki na shida zetu hawa viongozi wetu no kichefuchefu kwa kweli!
 
Nakukumbusha tu sababu za simba kukataliwa rufani yake ni kutuiwasilisha kwa muda na kulipia gharama zake. Kadi 3 zilidhibitika. Asante
Tafuta nakala ya barua waliyopewa Simba ili uone kama kadi tatu zilithibitika ama la. Ipo humu jukwaani. Achana na hadithi za vijiwe vya kashata
 
Kuna kitu sijakielewa hapa!
Klabu inapata mkataba wa +5 bilions, alafu 'mfadhili' na baadhi ya viongozi wanakuwa against bila hata ya kutuelewesha mapungufu ya huo mkataba
huu mkataba mdogo sana mil 888 kwa mwaka pia aveva ajawashirikisha wenzake uhoni Yanga wamekataa pesa za madafu
 
Shenz type, upuuzi ndio maana Mpira wa wa bongo hauendelei
Simba ni timu kubwa sana tukiweza kupata safu nzuri ya uongozi wala hatuhitaji msaadaa au kuwa ombaomba tatizo ni hawa viongozi njaa akina Aveva wapo pale kujaza matumbo yao tuu wala hawana mpango wa kusaidia timu. Tuwangoe waje watu creative wanaofikiria na vichwa sio tumbo
 
Mo the billionaire wasamehe Mikia wenzio kwa maana hawajui walitendalo. Ikiwezekana waongezee kama 500 M kwa ajili ya usajili ujao maana inaonekana mtakua wa Kimataifa in case Mbao wakiwaachia zile dk 10 za mwisho.
Mkia utakuzalisha wewe gasho
Swala La Mikataba Bongo Bado Sana Elim Hakuna Vitu Watu Wanepelekesha Kana kwamba Hakuna Utaratibu
 
Hans Poppe, Mo Dewji walidhani simba itakuwa bingwa ndio maana wameingia mitini ndoto zao za simba kuwa bingwa zimeyeyushwa na Mbeya City ndio maana wameingia mitini mapema kukwema lawama. Sportpesa si kama wamenunua simba bali wao wamelipia sehemu ya kifua kwa ajili ya matangazo, Mo ana bidhaa nyingi lakini hakutaka kuinunua hiyo sehemu ili aweke matangazo yake sasa ameona viongozi wamestuka yeye anajifanya anaondoka yote ni kwa ajili ya maslahi yake na si ya klabu akitaka achukue kwa bei ndogo.
 
Simba ni timu kubwa sana tukiweza kupata safu nzuri ya uongozi wala hatuhitaji msaadaa au kuwa ombaomba tatizo ni hawa viongozi njaa akina Aveva wapo pale kujaza matumbo yao tuu wala hawana mpango wa kusaidia timu. Tuwangoe waje watu creative wanaofikiria na vichwa sio tumbo
Kabisa yaani wameniuzi sana wachumia tumbo hawa, yaani uongozi ni tatizo kubwa sana Tz
 
Hili sakata lingeanza ktkt ya ligi,ili kufikia kipindi km mikia wawe washashuka daraja,msimu ujao wachezee mechi zao uwanja wa karume na tandika mabatini
 
Kwa taarifa yako yanga ndio walikuwa wa kwanza kukubaliana na sportpesa lkn wenzenu yanga wakatumia akili na kusubiri kumaliza ligi ndiyo wasaini sasa simba kwa ulimbukeni mkaona nyie ndio wajanja wa kariakoo
Soma vizuri na ukome kunipa timu ya ovyo
 
MO Dewji hakuwa sponsor ,bali alikuwa kwenye mchakato wa kuwa mmiliki wa timu na tayari yeye ndio alikuwa anatoa fedha za kuihudumia timu tangu mchakato uanze.So kama kuna jambo lolote linaloihusu klabu alipaswa kushirikishwa

Sure
 
Back
Top Bottom