Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

Hans Poppe, Mo Dewji walidhani simba itakuwa bingwa ndio maana wameingia mitini ndoto zao za simba kuwa bingwa zimeyeyushwa na Mbeya City ndio maana wameingia mitini mapema kukwema lawama. Sportpesa si kama wamenunua simba bali wao wamelipia sehemu ya kifua kwa ajili ya matangazo, Mo ana bidhaa nyingi lakini hakutaka kuinunua hiyo sehemu ili aweke matangazo yake sasa ameona viongozi wamestuka yeye anajifanya anaondoka yote ni kwa ajili ya maslahi yake na si ya klabu akitaka achukue kwa bei ndogo.
Mnataka mumuuzie hisa na mshaingia pre contract halafu mnaingia mkataba na mdhamini ,vipi kama mkataba una pesa mbuzi ,yeye kama shareholder mwakani si ataumia kuona mkataba una maslahi madogo

800M kwa mwaka huenda angeshirikishwa angetia pressure 1.5 Billion kwa mwaka
 
Kwa jicho la kisheria huo mkataba unaweza ukawa ni batili ...au kisheria wanasema void contract..... kwa kawaida mikataba ya vilabu vya michezo inatakiwa kusainiwa na Bodi ya Wadhamini lakini mkataba ule ulisainiwa na Aveva ambaye kisheria hana nguvu ya kufanya hivyo.....Kwa Muundo na sheria inayosimamia Timu zetu hizi pendwa Bodi ya Wadhamini ndiyo walipaswa kusaini huo mkataba na siyo vinginevyo.....
 
Back
Top Bottom