py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
- Thread starter
- #141
Mnataka mumuuzie hisa na mshaingia pre contract halafu mnaingia mkataba na mdhamini ,vipi kama mkataba una pesa mbuzi ,yeye kama shareholder mwakani si ataumia kuona mkataba una maslahi madogoHans Poppe, Mo Dewji walidhani simba itakuwa bingwa ndio maana wameingia mitini ndoto zao za simba kuwa bingwa zimeyeyushwa na Mbeya City ndio maana wameingia mitini mapema kukwema lawama. Sportpesa si kama wamenunua simba bali wao wamelipia sehemu ya kifua kwa ajili ya matangazo, Mo ana bidhaa nyingi lakini hakutaka kuinunua hiyo sehemu ili aweke matangazo yake sasa ameona viongozi wamestuka yeye anajifanya anaondoka yote ni kwa ajili ya maslahi yake na si ya klabu akitaka achukue kwa bei ndogo.
800M kwa mwaka huenda angeshirikishwa angetia pressure 1.5 Billion kwa mwaka