Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Lumumba nako wanakudai vyeti vya shule!Timu za kitanzania zinanichosha hivi hivi!!
Man U kule Hawanifurahishi
Leo huku nyumbani Simba ananipa msongo wa mawazo!!
Kazi kwenu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lumumba nako wanakudai vyeti vya shule!Timu za kitanzania zinanichosha hivi hivi!!
Man U kule Hawanifurahishi
Leo huku nyumbani Simba ananipa msongo wa mawazo!!
Kazi kwenu sasa
Mo amehojiwa anasema kuna mdhamini wa 2B kwa mwaka walikua kwenye mazungumzo ila j5 Aveva akamwambia kuhusu sportspesa akawaambia wataongea hii weekend to his suprise kesho yake wakasaini mkatabaMkataba wa Simba na Sports Pesa haumzuii yeye MO kuendelea na mazungumzo yake kama kweli yalikuwa na manufaa kwa wana Simba. Kilichofanyika ni kuiongezea thamani club. Sasa kama alitegekea kuipata Simba kwa sh 50 sasa anaweza kuipata kwa sh 1000. Sioni kosa walikofanya viongozi, ashirikishwe kama nani? Kutoa mishahara ama pesa kidogo kwa club haikupi ticket ya kushirikishwa maamuzi ya club. Hongera Aveva kwa mkataba huu sasa naiona simba mpya. Mtu anayeitaka Simba ipo tu na aje na dau zuri, what we did is just adding Simba value. Wanaoona Mo kaonewa bmilango ipo wazi.
Yaani Tarimba kuamua kuisaidia simba lkn anaonekana ndio kumwaga petrol kwenye moto wa nyika?Mkuu, hizo ni njama za Yanga na TFF.
Haiwezekani mambo yawe hivi. Ni Yanga tu hao. The teh teh!
Walikuwa wanawaona Yanga hawajui mipango wakati Tarimba ndio yupo jikoniYanga wanahusika kwa 100% kujiuzulu kwa hans tehtehteh
Na mbao lazima awatandikeMo hakuwa exclusive and solely sponsor wa Simba na hakukuwa na makubaliano rasmi kwamba yeye ndiye mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu udhamini wa Simba sasa alitaka ashirikishwe kivipi wakati hao wadhamini wengine wanafanya biashara tofauti isiyofanana na zake.
Tarimba ameajiriwa tu hana decision wabongo msitake ku mislead hii Kampuni imeingia mikataba hadi na team ya premier league ya England na Kenya: Akina Aveva hawakujipangaYaani Tarimba kuamua kuisaidia simba lkn anaonekana ndio kumwaga petrol kwenye moto wa nyika?
Tayari mbao washafanya yao na mkiingia uwanjani tu mnalishwa vitasaMo na huyo Pope ni wakupuuzwa kabisa
Maana yake walitaka timu iwe inaenda kuwaomba kila wakitaka mishahara yaani watu waache dili la. 4.5 bilioni kisa Mo na Pope
Si wangeidhamini wao ili makampuni yao yawe hapo kifuani
Mpira Tanzania kuendelea yahitaji miujiza
Tayari mbao washafanya yao na mkiingia uwanjani tu mnalishwa vitasaMo na huyo Pope ni wakupuuzwa kabisa
Maana yake walitaka timu iwe inaenda kuwaomba kila wakitaka mishahara yaani watu waache dili la. 4.5 bilioni kisa Mo na Pope
Si wangeidhamini wao ili makampuni yao yawe hapo kifuani
Mpira Tanzania kuendelea yahitaji miujiza
Nenda uidhamini wewe basiMkataba wa Simba na Sports Pesa haumzuii yeye MO kuendelea na mazungumzo yake kama kweli yalikuwa na manufaa kwa wana Simba. Kilichofanyika ni kuiongezea thamani club. Sasa kama alitegekea kuipata Simba kwa sh 50 sasa anaweza kuipata kwa sh 1000. Sioni kosa walikofanya viongozi, ashirikishwe kama nani? Kutoa mishahara ama pesa kidogo kwa club haikupi ticket ya kushirikishwa maamuzi ya club. Hongera Aveva kwa mkataba huu sasa naiona simba mpya. Mtu anayeitaka Simba ipo tu na aje na dau zuri, what we did is just adding Simba value. Wanaoona Mo kaonewa bmilango ipo wazi.
Tena hapo mbao wanajichukulia kombe lao asubuhiBora kaondoka Mbao achukue FA jamàa alikuwa kikwazo
Mbona Yanga hawakushobokea fasta kama simba?wakati Tarimba angeweza kuinjinia yanga wakaingia kwenye huo uidhamini fastaTarimba ameajiriwa na SportPesa ,hawa jamaa wameingia kuwekeza soka la bongo so huwezi kuja wekeza soka la bongo ukawaacha Simba na Yanga
Mkuu kulikuwa na mkataba wa awali kati ya simba na MO ili auziwe 51% ya share za simba. so baada ya makubaliano hayo mo akamwaga mpunga mrefu kusaidia usajiri na mishahara ya wachezaji. Ilikubaliwa kuwa kama kutakuwa na makubaliano mengine kwenye kipindi hiki cha mpito ni lazima mo ajulishwe ili awe sehemu ya makubalino hayo. sasa rais na makamu wake wakasign mkataba mrefu (5 years) na sportpesa kinyemela bila kuhusisha kamati tendaji wala Mo. Mi nimeelewa hivyoMo hakuwa exclusive and solely sponsor wa Simba na hakukuwa na makubaliano rasmi kwamba yeye ndiye mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu udhamini wa Simba sasa alitaka ashirikishwe kivipi wakati hao wadhamini wengine wanafanya biashara tofauti isiyofanana na zake.
Timu ya kwanza kufanya mazungumzo na SportPesa hapa Tanzania ilikuwa Yanga na inasemekana walishakubaliana lakini waliwaambia wasubiri kwanza mpaka ligi iisheMbona Yanga hawakushobokea fasta kama simba?wakati Tarimba angeweza kuinjinia yanga wakaingia kwenye huo uidhamini fasta
Uongozi wa Rage ulipitia upya mikataba na kuirekebisha baada ya majadilianoWewe sasa ndio unaetaka kupotosha hapa.. Rage alifuta mikataba kwa uwezo upi..? Nani alilipwa pale fidia..?
Yanga inaongozwa na viongozi wasomiTimu ya kwanza kufanya mazungumzo na SportPesa hapa Tanzania ilikuwa Yanga na inasemekana walishakubaliana lakini waliwaambia wasubiri kwanza mpaka ligi iishe
Kwa taarifa yako yanga ndio walikuwa wa kwanza kukubaliana na sportpesa lkn wenzenu yanga wakatumia akili na kusubiri kumaliza ligi ndiyo wasaini sasa simba kwa ulimbukeni mkaona nyie ndio wajanja wa kariakooTarimba ameajiriwa tu hana decision wabongo msitake ku mislead hii Kampuni imeingia mikataba hadi na team ya premier league ya England na Kenya: Akina Aveva hawakujipanga