Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Two nill.Timu za kitanzania zinanichosha hivi hivi!!
Man U kule Hawanifurahishi
Leo huku nyumbani Simba ananipa msongo wa mawazo!!
Kazi kwenu sasa
Aveva ni Jeuri Sidhani kama anaweza kufanya hivyoWakae wayamalize tu mazungumzo ndio kila kitu
Ahaaaa....mjini hapa, mkuu MO na Hans pope wameona mbali sana...daa we jamaaa umeniacha hoi ati kampa kampa tena waswahili wasema kimeumana
Hawachelewi kusema Yanga ndo wamesababisha huu mgogoro....Simba walikuwa wanapitia kipindi kigumu sana sababu ya ukata wa pesa mpaka baadhi ya wachezaji walikuwa kwenye mgomo wakidai mishahara ,kila mtu ni shahidi wa hili.
Tukishuhudia namna mashabiki na wanachama wa simba wakilia mo mo mo kama vile Ng'ombe kwenye mkutano wakimshinikiza Dewji akubaliwe wakiamini shida zao zingeondoka ,kama kifuta jasho Deuji akatoa 100M pesa kwaajili ya usajili na hiyo ilikuwa ni pesa ya mchango tu "nje ya budget" na hiyo pesa ndio ilimleta Mavugo.
![]()
Kulikuwa na mkataba wa awali Kati ya simba na Mo na ndio maana mishahara ya wachezaji,usajili nk ilikuwa inafanywa na Mo.
Ilikuwa busara Mo ashirikishwe.
View attachment 509323
Poppe aachia ngazi:
View attachment 509324
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Simba, Zacharia Hans Poppe ameachia ngazi.
Habari za uhakika zimeeleza kuwa Hans Poppe ameandika barua ya kuachia ngazi akiona mambo yanaendeshwa ndivyo sivyo.
“Hans Poppe ameachia ngazi kwa kuwa hakufurahishwa na mlolongo ulivyokuwa hadi Simba kuingia mkataba wa SportPesa,” kilieleza chanzo.
"Hans Poppe ameandika barua kujiuzulu kwenye kamati ya utendaji, maana yake anaondoka automatically katika nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya usajili.
"Kilichomchukiza, kuna kundi lililoongozwa na Rais Evans Aveva na makamu Geofrey Nyange Kaburu, lilifanya mambo kimya kimya na Hans Poppe amesema hana Mo Dewji aliyeisaidia Simba mishahara naye hakushirikishwa hata kiungwana tu, hivyo amepinga hilo."
Mkuu, hizo ni njama za Yanga na TFF.Hawachelewi kusema Yanga ndo wamesababisha huu mgogoro....
Mimi ni mwanachama na shabiki wa Simba S.C. Mara tu baada ya kuelezwa rasmi mambo ya sport pesa, nilikosoa na sikukubaliana na hilo.... Nasikitika wenzangu walinisakama sana juu ya ukosoaji wangu.Simba walikuwa wanapitia kipindi kigumu sana sababu ya ukata wa pesa mpaka baadhi ya wachezaji walikuwa kwenye mgomo wakidai mishahara ,kila mtu ni shahidi wa hili.