Mpira wa Bongo kwa unumla umejaa ubabaishaji, sio tifutifu, yanga au SimbaSasa mpuuzi ni nani?wpuuzi hapo ni simba wote au Aveva na kundi lake?
Yaani kila mwaka almost 1B? Hiyo si dili ya kuikataaAround 4.6 bilions + other bonus / 5 yrs!
Tafuta nakala ya barua waliyopewa Simba ili uone kama kadi tatu zilithibitika ama la. Ipo humu jukwaani. Achana na hadithi za vijiwe vya kashataNakukumbusha tu sababu za simba kukataliwa rufani yake ni kutuiwasilisha kwa muda na kulipia gharama zake. Kadi 3 zilidhibitika. Asante
ushawai nunua ata soksi ya mchezaji simbaYeye na Mo hawatakiwi karibishwa tena Simba waende zao wao wanataka simba iwe na shida ili wao wafaidi baadae, ili waonekane miungu
huu mkataba mdogo sana mil 888 kwa mwaka pia aveva ajawashirikisha wenzake uhoni Yanga wamekataa pesa za madafuKuna kitu sijakielewa hapa!
Klabu inapata mkataba wa +5 bilions, alafu 'mfadhili' na baadhi ya viongozi wanakuwa against bila hata ya kutuelewesha mapungufu ya huo mkataba
acha hizo mil 888 kwa mwaka sio pesa za kuendeleza club kubwa kama SimbaYaani kila mwaka almost 1B? Hiyo si dili ya kuikataa
Mo na Hans wakubali tu kwa faida ya Club
Simba ni timu kubwa sana tukiweza kupata safu nzuri ya uongozi wala hatuhitaji msaadaa au kuwa ombaomba tatizo ni hawa viongozi njaa akina Aveva wapo pale kujaza matumbo yao tuu wala hawana mpango wa kusaidia timu. Tuwangoe waje watu creative wanaofikiria na vichwa sio tumboShenz type, upuuzi ndio maana Mpira wa wa bongo hauendelei
Mkia utakuzalisha wewe gashoMo the billionaire wasamehe Mikia wenzio kwa maana hawajui walitendalo. Ikiwezekana waongezee kama 500 M kwa ajili ya usajili ujao maana inaonekana mtakua wa Kimataifa in case Mbao wakiwaachia zile dk 10 za mwisho.
Swala La Mikataba Bongo Bado Sana Elim Hakuna Vitu Watu Wanepelekesha Kana kwamba Hakuna Utaratibu
Kabisa yaani wameniuzi sana wachumia tumbo hawa, yaani uongozi ni tatizo kubwa sana TzSimba ni timu kubwa sana tukiweza kupata safu nzuri ya uongozi wala hatuhitaji msaadaa au kuwa ombaomba tatizo ni hawa viongozi njaa akina Aveva wapo pale kujaza matumbo yao tuu wala hawana mpango wa kusaidia timu. Tuwangoe waje watu creative wanaofikiria na vichwa sio tumbo
Soma vizuri na ukome kunipa timu ya ovyoKwa taarifa yako yanga ndio walikuwa wa kwanza kukubaliana na sportpesa lkn wenzenu yanga wakatumia akili na kusubiri kumaliza ligi ndiyo wasaini sasa simba kwa ulimbukeni mkaona nyie ndio wajanja wa kariakoo
MO Dewji hakuwa sponsor ,bali alikuwa kwenye mchakato wa kuwa mmiliki wa timu na tayari yeye ndio alikuwa anatoa fedha za kuihudumia timu tangu mchakato uanze.So kama kuna jambo lolote linaloihusu klabu alipaswa kushirikishwa